Bashir Yakub, WAKILI.
+255714047241.
Mama wakati uko bize kujiandaa na mkutano wa Nishati Chalamila amemdihaki na kumdharau mwanamke wa Tanzania.
Mama wewe ni mwanamke, ulipata mimba, ulipata...
Kwanini mnawakataa Halima mdee na kundi lake lkn wakati huo huo mnamkubali Dr Slaa. Au kwa sababu Dr slaa amepingana na mbowe ktk kampeni za uchaguzi wa ndani ndio mnamuona ndio anafaa kurudishwa...
Mahakama Kuu ya Tanzania, masijala kuu jijini Dar Es Salaam imegiza shauri la mwanasiasa Mkongwe Nchini Dkt. Wilbroad Slaa lirejeshwe katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa ajili ya...
Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina amesema wanaomsifia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ndio hao wanaoongoza kwa kumhujumu na kufanya uovu.
Mpina ametoa kauli hiyo...
Wito wa Ado Shaibu wa kuwekwa wazi kwa ripoti ya mauaji ya Mzee Ali Kibao unapaswa kuchambuliwa kwa kina, hasa kwa kuzingatia dhamira ya kweli ya haki na uwajibikaji. Rais Samia Suluhu Hassan...
Fuatilia Bunge la 12 Mkutano wa 18 Kikao cha 4 January 31, 2025
https://www.youtube.com/live/WS3Y4IN-B38?si=uJfr1uzwu_N9XPnM
Bunge limepitisha Muswada wa Marekebisho ya Sheria za Kazi namba 13...
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) Tulia Ackson ameeleza jinsi ambavyo amekuwa akitamani kumuona Mkurugenzi Mtendaji wa ManaraTv Hajji...
Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Sikonge, mkoani Tabora, Felix Liata, ameendelea kusisitiza msimamo wa chama hicho wa kutoshiriki uchaguzi bila kufanyika kwa mageuzi...
1. Katiba hii imewapa nguvu Wanasiasa na Wateuliwa wao kuamua chochote bila kuhojiwa na kuwajibika kwa yeyote. Hili linawawezesha CCM kutumia fedha za Umma kwa shughuli zao bila kuhojiwa na...
Karibu kwenye Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 48 ya Kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) yatakayofanyika Katika uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma Tarehe 05 Februari 2025
Mgeni Rasmi ni...
Tangu mwaka 1964 Tanganyika na Zanzibar ziungane, ni Salim Ahmed Salim tu aliyewahi kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania.
Zaidi ya Salim Ahmed Salim hakuna mzanzibari mwingine aliyewahi kuwa Waziri Mkuu...
Kwa kweli inashangaza jinsi CCM ilivyogeuka na kuwa chama kisichojali habari za wananchi.
Inashangaza nchi hii ina Rais mwanamke, ina Umoja wa wanawake Tanzania (UWT) ina jumuia ya wazazi lakini...
Dar es Salaam. Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete ametaja majina 11 ya wanachama wa CCM wanaofaa kuwania urais kurithi kiti cha baba yake, Rais Jakaya Kikwete anayemaliza muda wake mwakani...
Ili uelewe vizuri iangalie ACT Wazalendo inayounda Serikali ya Mapinduzi Zanzibar ina Wanachama wangapi na vitega Uchumi gani?
Ukubwa wa Chama Cha siasa ni Hazina ya Fikra vichwani mwa Viongozi...
Wakuu,
Wanafunzi wa vyuo vikuu nchini wamefanya harambee ya kuwachangia Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassani pamoja na Rais wa zanziba Dkt.Hussein Mwinyi Fedha za...
Kama CCM imejua kuchagua basi imeteua mtu ambae mtu sahihi hivi sasa. Wasira wanawajua zaidi chadema. Wasira akiongea neno moja CHADEMA 100 mjadala wanauhamishia huko.
Pia Wasira hamungunyi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.