Bunge limepata tuzo ya mshindi wa kwanza wa taarifa bora ya hesabu ya mwaka 2023, ambapo akifungua mkutano huo wa 18 wa Bunge, Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson amesema tuzo hiyo imetolewa na Bodi...
Uchawa kama wa Tanzania,kila waziri akisimama kuongea ni kumsifu trump,muda mchache uliopita trump alikuwa anaongea na waandishi wa habari,kuhusu ajali ya ndege kugongana hewani,yeye kalaumu...
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema Chama na serikali yake haitakubaliana na azimio lolote litakalotolewa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
Baraza la madiwani katika Halmashauri ya Kibaha mji limetoa tamko na kuazimia rasmi kwa pamoja kumpongeza Rais wa awamu ya sita Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuweza kuridhia maombi na kuweza...
Katibu wa UVCCM Wilaya ya Sengerema amewaonya baadhi ya viongozi wa jumuiya wanaotumika kupanga safu za wapiga kura wa maoni ndani ya CCM, akisema wanakiuka taratibu za chama hicho.
Ametoa wito...
Kwako
Rais wa JMT Mhe.Samia Suluhu Hassan
Waziri wa biashara Dkt. Suleiman Jaffo
Nawasalimu kwa jina la JMT,
Awali ya yote nachukua nafasi hii kumshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema na...
Wakuu,
Akizungumza hivi karibuni, Mwenyekiti wa CHAUMMA Hashim Rungwe amesema kuwa hajaweza kuzunguka na kufanya mikutano ya hadhara sehemu mbalimbali nchini Tanzania kwani chama hicho hakina...
Uzuri wa Kiongozi mwenye miaka 80+ anakuwa anapigania future ya Vilembwe
CCM mnaona mbali sana Kwa sababu Vilembwe ndio vinatishiwa na Artificial intelligence
Mlale unono 😀
Vita ya DRC imegeuka kutoka kuwa mgogoro wa kijamii hadi mgogoro wa kimaslahi ya ulinzi na uchumi, taifa letu likiwa eastern na southern Africa linapaswa kutambua yafuatayo.
Kama JWTZ...
Ukiniuliza kama Tanzania ina kiongozi, nitajibu kuwa ina rais lakini si kiongozi. Ukiuliza kama Tanzania ina sera, nitakujibu kuwa ipo sera ya uchawa.
Ukiuliza, kiuchumi Tanzania inaongozwa na...
Balozi Mteule na aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dkt. Wilbroad Slaa amesema tukio la Tundu Lissu kupigwa risasi na watu ‘wasiojulikana’ ni jambo la...
Kuna msemo wa wahenga wa Zamani kuwa kuna kundi la nyani lilishangilia baada ya kusikia mkulima wa mahindi amekufa wakaambiana sasa watakula mahindi kwa uhuru bila kurushiwa mawe. Hawakujua kuwa...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Bara Stephen Wasira, ameikaribisha Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA katika uchaguzi lakini ameipa angalizo kuwa isitatarajie kuambulia...
Lema anatofauti za wazi kati yake na Katibu wake wa Kanda za Kichadema ya Kaskazini Bw AMANI Golugwa akimtuhumu kuwa ni fisadi mkubwa ndani ya CHADEMA anayekingiwa kifua na Freeman Mbowe.
Amani...
===
Kafulila akijibu tuhuma ya Mbunge wa Kisesa CCM Mhe Luhaga Mpina kwamba Waziri wa Fedha ametumia zaidi ya Trilioni Saba (TZS7T) bila fedha hizo kupita katika mfuko mkuu wa Serikali hazina...
Rais Samia amedai Wafanyabiashara wadogo na wakati wengi wao wanakimbia ulipaji kodi hali inayosababisha kuingia kwenye mikopo na "Asiyejua anasema Serikali inakopa tu, kwani tunakopa kununua sare...
Wanabodi,
Siamini ninachokisikia hapa kwa kiongozi
Japo wote tunamasikio inawezekana sio wote tunaweza kusikiliza kitu tukasikia, hivyo kwa faida ya wengine naomba kusema kwa kifupi tuu mimi...
Lema huenda akaingia katika moja ya vitabu vya kumbukumbu kutokana na michango yake yenye kuwa na ukamilifu mkubwa baada ya kutabiri.
Alitabiri vifo vya wakubwa na vikatokea
Ametabiri watu...
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeanza uchunguzi kubaini kashfa ya kontena tisa zenye namba za kulipia kodi TZDL 16-10-25830 zilizoingizwa nchini na Kampuni ya Silent Ocean Ltd ambazo zilinaswa...
We kweli wa kusema Wassira hana kitu? We unamjua Wassira au unamsikia, hivi wewe Heche ukae na Wassira muongee habari za kidunia utamweza Wassira wewe?
Au huyo bosi wako akae na Wassira waongee...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.