Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Tunategemea tarehe 23 Januari 2024 Jeshi likafanye usafi katika maeneo hayo tutakayoandamana tarehe 24 Januari 2024, na sisi tutashirikiana nao kwa kuwapa ushirikiano, tutawaambia wanachama wetu...
10 Reactions
30 Replies
19K Views
Wakati vita na mauaji yanashika kasi kule Gaza, viongozi wa dini, viongozi wa kisiasa na waafrika walichukua upande, kutoa neno na kuomba. Vivyo hivyo hivyo wakati mambo yakishika kasi zaidi kule...
3 Reactions
1 Replies
123 Views
Kuna ugumu mkubwa kumzuia Tundu Lissu kusambaa kwenye mioyo ya Watanzania
4 Reactions
12 Replies
414 Views
Kuna tuhuma kuwa baadhi ya viongozi wa awamu iliyopita na wengine wa awamu hii wako kwenye payroll ya serikali ya Egypt ili kuzima au ku sabotage kwa namna mbali mbali miradi ya kilimo cha...
22 Reactions
133 Replies
17K Views
Hapo bandarini Dar wanashindwaje ku-handle mzigo wa ku-export Parachichi (cold room)? Yaan Parachichi litoke Njombe likasafirishwe Mombasa port? NB: nalazimika kukodi trucks za MAERSK kutokea...
13 Reactions
59 Replies
3K Views
Napita Kinyerezi watu na ndoo kichwani. Nauliza vipi naambiwa mara ya mwisho maji yalitoka January hadi Leo tar 5 March 2023 hayajatoka. Maboza yanakimbizana njiani kupelekea watu maji majumbani...
4 Reactions
25 Replies
2K Views
Huu ni ukweli ambao kama Nape angeutafakari basi angekuwa ana heshima kubwa sana kwa Watanzania na kuepuka kutenda au kuongea mambo yenye kuleta karaha kwa wananchi. Nape katika maisha yake yote...
30 Reactions
83 Replies
8K Views
Mojawapo ya dalili kwamba huwezi kufaa kuongoza hata familia ni roho mbaya na visasi! Kisingizio kwamba wewe ni mwanaume ndio maana watu wanakudharau kwa hiyo unaamua kutumia upanga ukijua...
4 Reactions
24 Replies
646 Views
Kuna Video Ina Trend Mtandaoni ya Nape Nnauye akisema kwamba Yeye ni Mtaalamu na Mzoefu wa kuiba kura na kutangaza Matokeo ambayo sio halisi na kisha kuomba Msamaha kwa Mungu. Lengo la Uzi huu ni...
1 Reactions
23 Replies
1K Views
Katibu Mkuu CHADEMA, John Mnyika amempongeza Freeman Mbowe kwa kugharamia shughuli zote za Uchaguzi CHADEMA
9 Reactions
87 Replies
4K Views
Huu ndio ushauri wangu kwa CHADEMA mpya chini ya Mwenyekiti, Tundu Lissu. Nakumbuka makama wake, John Heche, siku Lissu anaingia ofisini kwa mara ya kwanza, aliahid kuwa wataanza kuanika madudu...
1 Reactions
4 Replies
228 Views
Amesema TUSITISHANE, TUVUMILIANE. TUEPUKE MACHAWA NA WAPAMBE NA WABANBAIZAJI.
1 Reactions
50 Replies
2K Views
=== MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema Chama na serikali yake haitakubaliana na azimio lolote litakalotolewa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
2 Reactions
16 Replies
972 Views
14 Januari 2024 Wakili wa Mahakama Kuu achaguliwa kuwa mwenyekiti mpya wa BAVICHA Chadema leo 14.01.25. Je Wakili msomi Deogratius Mahinyila ni nani ? Picha maktaba : Deogratius Cosmas...
9 Reactions
48 Replies
3K Views
Mama kama utasoma mwandiko wangu huu hapa jukwaani! Mtu pekee ambae atakuwa loyal kwako kutokana na hofu aliyonayo baada ya yale ya kipindi kile ni Dkt. Bashiru Ally kakurwa hebu mpe nafasi...
3 Reactions
41 Replies
1K Views
Katiba ya sasa ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na sheria zetu za uchaguzi zinataka mtu ukigombea nafasi yoyote ya kisiasa ni lazima uwe mwanachama wa chama cha siasa kilichosajiliwa na...
3 Reactions
9 Replies
403 Views
Wanaokusudia kutetea nafasi zao kwa kutegemea pesa, bila kua na hoja mahususi, kuibua au kuchangia mijadala yenye maslahi mapana kwa wananchi wao majimboni na Taifa kwa ujumla, hali ya thank you...
0 Reactions
11 Replies
180 Views
Wakuu Hashim Rungwe, Mwenyekiti wa CHAUMMA Taifa amesema watoto wangepata chakula vizuri, wangesoma vizuri. Sasa watoto wanapata ziro hawawezi chochote. Soma: Hashim Rungwe: Kama wanajeshi...
4 Reactions
7 Replies
280 Views
CEO wa PPP Bw David Kafulila amesema Mpango wa Serikali ya Tanzania wa Miaka Mitano umelenga kutekeleza jumla ya miradi yenye thamani ya TZS 114 Trilioni, TZS 40.6Trilioni zitatoka katika...
25 Reactions
113 Replies
4K Views
Ni vita ya ndani kwa ndani, kuna Wabunge wanaende kupigwa hostile take over na wenzao Kuna Wabunge wanaende kukutana na ushindani mkali wa kubakiza nafasi zao za kugombea ubunge 2025.
0 Reactions
1 Replies
134 Views
Back
Top Bottom