Kuna kauli ya Mwenyekiti wa umoja wa vijana wa sjui ni kata au wilaya ya Kinondoni hapa mtandao akiwa SII vijana wa umoja wa vijana ccm waache kujifanya usalama wa taifa Badala yake anawataka...
Naona unahamisha Magoli ! Kwamba mwenye tafsiri sahihi kwamba Maridhiano haya yana tija Kwa Taifa na jamii ni nani ?
Kwamba mwenye kuona faida ya maridhiano ni lazima awe diaspora?
Kwamba...
Wakuu,
Kazi kwelikweli, uchawa unatumaliza!
====
Diwani kata ya Zingiziwa, Maige Maganga amewataka Viongozi na Wananchi wa Zingiziwa na Jimbo la Ukonga kwa ujumla kujivunia uongozi wa Mbunge...
Mwanasiasa mkongwe aliyewahi kuwa M bunge wa Sumbawanga, Paul Kimiti, amesema wanasiasa wanatakiwa kukaa bungeni kwa muda maalum na kuondoka wakiwa bado wanahitajika na wananchi, badala ya...
Mimi kama mtumishi wa serikali nimesimamia uchaguzi toka 2010 mpaka 2024 uchaguzi wa serikali za mitaa.
Mwaka 2020 wakurugenzi walitukusanya wasimamizi wakuu na kutupa muongozo na utaratibu wa...
Hivi ukipost kuhusu kuokosoa uongozi mpya wa chadema basi hujibiwa kwa kejeli badala ya hoja.
Haya yanajitokeza ktk account mbali mbali ikiwemo Ngurumo katika hoja yake kuhusu hujuma anaetaka...
Wakuu,
1. MBUNGE WA BAHI - Kenneth Ernest Ollo
Chama: Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Alishinda Kiti: Mwaka 2020, kwa kura 40,628 dhidi ya Godfrey Job (CUF) aliyepata kura 1,756.
Michango Bungeni...
Heshima kwenu,
Moja kwa moja kwenye mada husika.
Mheshimiwa PM, Mbunge wa Ruangwa "Makomasho"
Napenda kutoa ushauri wangu kwako, kuhusu upepo A.K.A "mbungo" ambayo inavuma katika viunga vya...
Alhamisi ya Januari 18, 2024, Waziri wa Ulinzi na JKT, Dkt. Stergomena Lawrence Tax na Balozi wa China nchini Tanzania, Chen Mingjian kwa pamoja wamesaini mikataba miwili baina ya Wizara ya Ulinzi...
Nashauri Uhamiaji irudishwe Wizara ya ulinzi wafanye kazi na JWTZ.
Katika nyakati hizi ambazo Wizara ya Mambo ya ndani ni very corrupt nashauri Uhamiaji uwe chini ya TPDF.
Maana JWTZ wanahusika...
Watumishi wengi wa serikali hasa watumishi walioajiriwa kwa taaluma yao serikalini ni waadilifu ni wachache sana ambao si waadilifu katika kusimamia miradi ya maendeleo
Wafuatao ndiyo wanapiga...
Nilikuwa napitapita kwenye Youtube nikakutana na video ya ndugu huyu ambaye ni nabii na mchungaji wa huduma iitwayo "Huduma ya Kristo (Christ's Ministry) iliyoko huko Arusha, Tanzania...
Kwa wiki sasa nimekuwa ninasikiliza historia za viongozi madikteta Afrika. Nimesikiliza jinsi walivyoua na kunyanganya uhuru wa watu. Nimesikiliza kuhusu Samuel Doe, Iddi Amin Dada, Mobutu na...
Kwema Wakuu!
Chalamila hapa nitamtaja kama Mhusika bila kuhusisha cheo chake. Ni aina ha watu ambao hawana breki za kuongea na watu wa aina hii mara nyingi huongeaga UKWELI mchungu ambao wakati...
Kumekuwepo na taarifa kuhusiana na mabadiliko ya uongozi ndani ya CCM hasa katika nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara na Katibu Mkuu.kuna fununu kuwa Mzee Kinana ameshaandika barua ya kuomba...
Tumeshaandika nyuzi nyingi sana humu. Sasa kaongea Rais wa Burundi.
Nawakumbusha tu. Mkifanya nao mazungumzo kuhusu Goma na wakafanikiwa kituo kinachofuata ni Kagera na wakulianzisha ni Muhoozi K.
Wanabodi,
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Jacobs Mwambegele, amesisitiza kuwa kujiandikisha zaidi ya mara moja ni kosa la jinai lenye adhabu ya kifungo cha angalau miezi sita...
Safari inaendelea. Vitisho. Haya ndiyo maisha yetu ya Kila siku. Mengine tumetoa Ripoti Polisi huko
Kuna watu hawa miongoni mwa wengi. Yeye anaandika "Ben Saanane unachokitafuta ndani ya Serikali...
Wengi hawajui Kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM wa sasa, Stephen Wassira aliwahi kuhamia NCCR Mageuzi ilikuwa u-Star
Masumbuko Lamwai akahamia CCM ulikuwa u-Star
Juliana Shonza akahamia CCM ulikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.