Wengi mnaweza kudhani ni Wenje pekee ndiye msanii sanii kwenye kile Chama jambo ambalo si kweli kabisa.
Yupo mdau mwenzake kwenye uga huo al-maarufu kwa majina Joseph Mbilinya a.k.a Sugu. Mwamba...
Inside story of why President Kikwete deployed Tanzanian troops in DRC
———
At an urgent summit of the International Conference on the Great Lakes Region (ICGLR) in Kampala in late September...
Kwa namna ninavyo mfahamu Boniface mwabukusi itapendeza sana kama akawa mgombea urais wa chadema.
Aina ya misimamo yake na ujasiri wake wakiwa jukwaa Moja wanaweza kumachi vizuri sana na Tundu...
Haya ni mawazo na mtazamo wangu Tu na sio lazima ukubaliane na mimi!
Kwa jinsi mambo ya uvunguni ya shirika kubwa la misaada la USAID yanavyozidi kuweka wazi na jinsi myororo WA ushahidi...
Rais Samia akishiriki Maadhimisho ya Siku ya Sheria Nchini katika viwanja vya Chinangali-Park Dodoma Februari 3, 2025.
https://www.youtube.com/live/fqCi2-5SDmA?si=jG8QMcgHcUv5YYNN
Rais wa...
Kagame anajua kuna beef la South Africa na USA kwasababu ya BRICS. Sasa kajioendekeza kwa Marco Rubio ambaye ni kama waziri wa mambo ya nje wa USA. Yaani migogoro yetu wanajenshi wetu wanakufa...
Stendi ya Magufuli hakuna maji siku ya tatu leo, watu wanalazimika kwenda stendi ya daladala ya Mbezi Luis na kule kwenye maduka stendi ya Malamba kujisaidia kwenye vyoo vya vya watu binafsi...
Wanasiasa waliobahatika kupata PhD za MCHONGO kwenye utawala wa awamu ya Tano na sita ni hao watatu. Niliowataja hapo juu
Kiukweli upatikanaji wa PhD zao hata Profesa Mark Mwandosya alitia neno...
Chama Cha Mapinduzi (CCM), kinatarajia kuwatambulisha kwa Wanachama Wagombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 katika...
Habari Zenu wakuu,
Kuna kipindi nilikuwa sipendi kabisa habari za siasa but kutokana na maisha yanavyozidi kwenda nimekuwa nikivutiwa sana na Siasa.
Nimekuwa mfuatiliaji sana wa mambo mbali...
Malipo ya ruzuku huanzia ushindi wa 5% sasa kama CCM itaviachia Vyama Vya upinzani vigawane hiyo 2% basi ni Trump ataeleweka Kona ZOTE
Tundu Lisu ana Kazi ya ziada ya Kufanya
Nimeogopa sana 🐼
Mbunge wa Jimbo la Kilombero Mhe Abubakar Asenga amesema kuwa hawezi kuchukua fomu ya Kugombea ubunge wa uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2025 kama hatokamilisha ujenzi wa Barabara ya Kata ya Lumemo...
Gari zimehamisha route zinaenda kwa Mwamposa
Njiani kuna foleni kubwa
Gari za kawaida kubeba watu ktk route ya Bunju, tegeta, kunduchi hakuna. Wananchi wanateseka
Hivi kwa nini serikali...
Bado nasisitiza Ikulu Kuna changamoto Hasa huyu msaidizi wa Rais analeta mno Uzanzibar Zaidi,
Uwezi amini wakati Mh proffesa Mkenda, anahutubia alipofika hatua ya kusema changamoto walizokutana...
Waziri wangu wa elimu malipo ni hapa hapa duniani.
Nakumbuka niliteseka sana kukupata ofisini kwako. Nilikusumbukia ndani ya wiki nzima bila ya mafanikio.
Jumatatu moja nilikaa ofisini kwako...
Wakuu,
Aliyewahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Lupembe mkoani Njombe ambaye kwa sasa ni Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji Jumuiya ya Wazazi mkoa wa Njombe Jolam Hongoli amewataka Watanzania kuacha...
Huko CCM nikadhani uchawa ni kwa mwenyekiti wao tu kumbe hadi wabunge sasa hivi wanafanyiwa uchawa?
Madiwani mmekuwaje lakini?
========================================
Diwani kata ya Zingiziwa...
Rais wa Mabunge yote Duniani anatarajia kushinda kwa kishindo Uchaguzi ujao Jimbo la Mbeya (M) kwa kutimiza vyote aliyoahidi kwenye kampeni za 2020.
**Sugu tafuta kazi za kufanya. Tukutane 2030
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.