Tuwashukuru Trump na Elon Musk kwa jaribio hili nyeti la kutuondishea wahuni kwa jina la misaada.
sasa ni wakati na fursa wa Serikali yetu kufanya upembuzi yakinifu kuhusu misaada sio tu ya USAID...
Huyu mwandishi amezindua kitabu chake Leo na amechapisha Tuhuma nzito dhidi ya Marehemu Rais Magufuli kuwa yeye Binafsi alimuita Ben Saa nane ikulu na kumpiga Risasi ya kichwa Kisha mwili wake...
Wakati Rais wa nchi anakula maisha na private jet, Na kufurahia tuzo zisizokuwa na tija kwa watanzania ambao wengi bado wanaishi chini ya dola moja, jiji la Dar es Salaam lenye shule za sekondari...
Maadhimisho ya Miaka 48 ya Chama cha Mapinduzi (CCM)
Miaka 48 iliyopita hali haikuwa kama iliyokuwa sasa hivi kwenye Shirika la Ndege
Hivi sasa Shirika la Ndege la Taifa (ATCL) limeendelea...
Ndugu zangu Watanzania,
Maneno haya yanaweza kuwa na maumivu makubwa sana kwa upinzani wa Nchi hii na kuonyesha pengine kuwakatisha Tamaa. Lakini huo ndio ukweli wenyewe na ndio uhalisia wenyewe...
Hii ni hotuba tamu ya mheshimiwa Jenister Joachim Mhagama waziri wa Afya wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania wakati wa mkutano wa WHO Africa huko Brazaville
Hapo alikua anasoma nimejiuliza sana...
Salamu!
Mimi ni muumini na mdau kindakindaki wa huduma endelevu za afya chini ya uwekezaji wa Watanzania wenyewe. Nimesimama na hoja hii kwa muda mrefu na nitasimama nayo hadi kieleweke...
Leo siwalaumu wanasiasa wa pande zote na pia siwalaumu wananchi ...siwalaumu kwa kuwa ni vyema kukosea na kujifunza...mimi najitoa kwenye makundi hayo mawili kwani nimeshawahi kuchangia mara...
Eric Shigongo amemshauri Rais wa Marekani, Donald Trump kusitisha uamuzi wake wa kuzuia misaada kwa nchi za Afrika, kwa sababu akifanya hivyo Waafrika wengi watapoteza maisha.
Akiwa nchini...
Kwa sababu watanzania wengi ni wajinga, wamezoea kudanganywa, wanadanganyika, wanapenda kudanganywa na hawapendi kuambiwa ukweli.
Kumekuwa na changamoto ya sera ya afya inayotaka huduma za uzazi...
Kwa jinsi CCM wanazovyotuona mazwazwa wananchi na walipa kodi wa taifa hili kwa kuchezea pesa zetu namna hili ni hali halisi Tanzania ni tajiri sana.
Hii nchi ina pesa nyingi sana.
Pesa za...
Ni muda sasa tangu polisi waseme wanawatafuta walotaka kumteka Bonge.
Pamoja na sura zao kuonekana na zaidi kutambuliwa kwa majina hadi leo hakuna kinachoendelea sii kwa polisi au Bonge nae...
Wakuu
Mzee Stephen Wasira anasema nia ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ni kuwapatia Wananchi Maisha mazuri, huwezi kuwa na nchi watu wanatembea uchi.
Soma, Pia: Wasira: Lissu aje, tufanye Mdahalo...
Mungu ni Alfa na Omega. Sijui ikiwa CCM ni lango la ufalme wa mbinguni wanaheri wanaoikimbilia! Ole wenu ikiwa CCM ni lango la kuzimu nisawa na kumwabudu mfalme Sanekarebu kwa kuogopa kuuawa...
Wakuu
Uchaguzi unakuja, Oktoba 2025 sio mbali, lakini wote tunashuhudia vijana wengi wamegeuka "machawa" na kupoteza mwelekeo wa kisiasa. Badala ya kujadili sera, ajira, elimu, na uchumi...
Ndugu zangu Watanzania,
Sote tumeyasikia maneno na kauli za Waziri wa Elimu Mheshimiwa Profesa Adolph Mkenda akilalamika kuwa alizungushwa kupata nafasi ya kuonana na Mheshimiwa Rais wetu Mpendwa...
Mzee Kipara huko alipo Bombuli atakua anakumbuka safari za nje na CHIEF. Mpaka sasa amemiss ile ya;
1. Kagame Inauguration, Rwanda.
2. SADC Summit Zimbabwe,
3. Kenya kwa Odinga AUC
4. China...
Mapigano Goma, Congo vikao kwenye majiji mengine barani mara Harare na sasa Dar es Salaam ambako viongozi toka SADC na EAC (joint summit) watakutana physically Dar kujadili mgogoro ule ule...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.