Kukosa Kura na Kuangushwa kwa Celestine Malley-Simba: Pigo Kubwa kwa Tundu Lissu katika Uchaguzi Mkuu wa CHADEMA
Katika uchaguzi mkuu wa hivi karibuni wa CHADEMA, matokeo ya kukosa kura na...
Ni kumchana live tu.
Mwenyekiti wa Baraza la Wazee CHADEMA amesema uzalendo sio kuvaa tai ya bendera. Amemwambia Dr. Mwigulu Nchemba asiwadanganye raia kwa kuvaa bendera na kumtuhumu kuwa yeye...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Tundu Lissu, amesema kuwa chama hicho hakitaruhusu kufanyika kwa uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 endapo hakutakuwa na mabadiliko ya matukio yatakayolenga kuhakikisha...
Jimbo la Moshi Mjini imeongozwa na upinzani tangu kuanza kwa vyama vingi. Kutokana na itikadi hiyo rais wa awamu iliyopita Magufuli 2020 akaenda na kusema Moshi iko vilevile sababu ya kuongozwa na...
Kama taifa tusijipeleke kichwa kichwa huko Eastern Congo hawa Rwanda-EAC member (kupitia Banyamulenge M23) wanachota utajiri wa Congo na kwenda kujenga Kigali huku SADC (ikiwemo Tanganyika na...
Nafikiria kuwa, kama hakutakuwa na wizi wa kura basi ni wazi Jimbo la Mbeya litarudi Kwa Sugu, Kwa Hali ninavyoiona, kwahiyo ni vyema Sasa mikakati ya kutafuta Spika mpya ianze mapema chamani...
Rais Samia amesema Serikali imejipanga kujenga Soko kubwa kama la Kariakoo eneo la Jangwani kupitia pesa za utekelezaji wa mradi ya DMDP ambapo baadhi ya wafanyabiashara (Machinga) watahamishiwa...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Bara, Stephen Wasira, amemjibu Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, kuhusu hoja ya umri wake, akisisitiza kuwa uwezo wa mtu hautokani na miaka...
Wahusika andaeni mdahalo kati ya Heche na Mzee Wassira. Uwe live kwenye tv, radio na mitandaoni. Chief odemba uwepo. Watiane spana vizuri
Mdahalo uzungumzie
1. Masuala ya vijana
2. Hali ya...
Wakuu
Wimbo wanaoimba CHADEMA hivi sasa ni "No Reform, No Election", wakishinikiza mabadiliko ya Katiba pamoja na Sheria za Uchaguzi kabla ya Oktoba 2025, hoja ambayo CCM wanaipiga dana dana...
Moja ya maombi ninayoomba kila Leo kwa Mungu ni kuipa nguvu kamati Mhe. Rais aliyomwagiza waziri Mkuu kuundwa ili kuchuguza uimara na ubora wa majengo ya kariakoo na Mhe.Rais aligusia kwamba...
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imesema zoezi la kuwarejesha wafanyabiashara kwenye soko la Kariakoo lililopata ajali ya moto Julai 10, 2021 na kusababisha wafanyabiashara hao...
Habari,
Kwa ambao tumesoma shule zilizojengwa na Wazungu hii mada haitakuwa ngumu kwenu.
Mimi nimesoma shule iliyojengwa 1923 na Waingereza. Ile shule mpaka sasa ina majengo ya mkoloni yenye...
Steven Wasira Arudi Kortini Kumng’ang’ania Bulaya........Rufaa Yake Itasikilizwa Kesho
Mahakama ya Rufaa Tanzania imepanga kusikiliza rufaa ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa Jimbo la Bunda...
Ijapokuwa Rais Samia atamtumia Rais Trump salamu za pongezi kinafiki, ushindi wa Trump ni mwiba mkali kwa serikali ya Tanzania na CCM.
Sote tunafahamu kuwa serikali ya CCM inapenda misaada na...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
UFAFANUZI KUHUSU SISI KUJIUNGA NA CHADEMA NA MALUMBANO KUHUSU MAJINA YETU
Tarehe 30/09/2012 mimi Esther Wasira na dada yangu Lilian Wasira tulijiunga na CHADEMA na...
Rushwa imekuwa kikwazo kikubwa katika mchakato wa uchaguzi, hasa ndani ya vyama vya siasa. Hii si tu inavuruga mchakato wa Kidemokrasia, bali pia inazima ndoto na juhudi za Vijana ambao wangependa...
Wakuu,
Kuna namna viongozi wetu wanatuchukulia sisi ni wasahaulifu au hatutilii maanani yale maneno ambayo wanayasema. Wanatuchukuliaje?
Baada ya jengo la kariakoo kuanguka tuliambiwa kuna tume...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.