Mjumbe Wa Mkutano Mkuu Wa Wazazi CCM Taifa Ndugu Mrisho Kamba amesema Chama Cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA ) kinajaribu kueneza na kupandikiza chuki kati ya vijana na wazee kwa maslahi yao...
Trump amesema binadamu wa Leo wamejikita Kwenye Maigizo ndio sababu Wanasayansi wanaleta Artificial intelligence Kwenye kila sekta Ili walau kupata uhalisia Fulani
Trump amedai ataiondoa dunia...
Wanaukumbi.
Kwa hali ilivyo ni wazi kuwa Chadema, hawawezi kujipanga na uchaguzi kwa muda uliobakia kwa sababu nyingi sana zikiwemo za kuwa ombaomba na kukosa fedha za kuendesha zoezi la...
"Ndani ya nchi yetu kuna vibaraka ambao wanasema CCM
imekaa muda mrefu sana, na mimi nawauliza walikuwa wapi wakati tunadai uhuru, nawauliza tulipokabidhiwa uhuru tulipatana nao tutakaa kwa muda...
Wapiga kura wapya 102,668 wanatarajiwa kuandikishwa kwenye daftari la kudumu la wapiga kura Manispaa ya Lindi kupitia zoezi la uandikishaji na uboreshaji wa taarifa za wapiga kura lililoanza...
Lisingekuwa Vuguvugu la kumng'oa Mbowe hizi Dakika za Mwisho kwangu mimi ungeniuliza nani anastahili kuwa Mwenyekiti baada ya Mbowe ningesema ni Heche.
Leo nimewasikiliza wote(Lissu&Heche) Hotuba...
Nimekaa na kutafakari na hii hali inavyo enda jambo moja limenijia nikuwakumbuka mashujaa wetu ktk tansinia ya usalama wa taifa.
Neno au wazo limenijia nikuwaambia macho yenu yafunguweni tena...
Wakuu,
Uchawa ni kansa ambayo tunaulea, siku vikibumbuluka tutajita sana!
=====
Kupitia ukurasa wake wa Insta@Gerson Msigwa ameandika haya;
Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na...
Tukiwaambia kwamba hakuna alichofanya Cha maana Mwendazake kwenye Barabara za lami wakati wa Uongozi wake muwe mnaelewa.
Imagine Hadi Leo hii huwezi fika Kigoma bila kutembea kwenye mavumbi na...
Na Cathbert Kajuna - Kajunason Blog/Michuzi TV, Manyara.
Mkuu wa mkoa wa Manyara Mhe. Queen Cuthbert Sendiga (kwanza kushoto) leo Januari 29, 2025 amemuapisha Mkuu wa Wilaya ya Mbulu Bw. Michael...
Albert Chalamila, akiwa Mkuu wa Mkoa katika mikoa tofauti, alijipatia umaarufu kutokana na kauli zake tata na zingine ambazo mara nyingi ziliwaacha watu hoi. Akiwa katika Mkoa wa Mbeya, aliwahi...
#HABARI Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Albert Chalamila amesema kuwa anaunga mkono mabadiliko ya Katiba Mpya akieleza, Katiba ya sasa inasema Rais akifa Makamo ndiye anakua Rais, amedai...
Katika siasa, neno "chawa" hutumiwa kama matusi au dhihaka kumwelezea mtu anayemuunga mkono au kumtetea kiongozi fulani kwa upofu, bila kuuliza maswali au kuzingatia ukweli.
Tujiulize Lissu na...
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu ameeleza sababu za kuacha wazi nafasi moja ya Mjumbe wa Kamati Kuu baada ya kuteua Wajumbe Watano (Godbless Lema, Dr Rugemeleza Nshala, Rose Mayemba, Salma...
Wapo wavivu na wajinga wanaolalamika na kulaani kwanini Rais Donald Trump amesitisha misaada.
Kwa wanaojua utajiri uliokaliwa na Afrika, wanashangaa nani alituroga. Anachofanya Trump, kwa wenye...
Mbunge wa Kisesa Luhaga Mpina amesema misamaha holela ya kodi katika bei za bidhaa ikiwemo biashara ya sukari imepelekea serikali kupoteza mapato na kwamba vitendo hivyo ni wizi kati ya...
Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Bw. Albert Msando, ameagiza mwandishi wa Habari wa ITV kukamatwa na kuamuru kufutwa kwa material yote yaliyokuwa yamerekodiwa na mwandishi huyo ambaye anafuatitilia...
Mwigulu Nchemba ameandika kwamba alifahamu kwamba mwaka 2024 Mh. Rais atachafuliwa mitandaoni. Ameeleza mambo mengi aliyofanya Mhe. Rais, Najiuli amefahamu vipi uwepo wa wachafuzi 2024? na hao...
Adai wizi wa Rasilimali , Ufisadi na Uozo unaoendelea na matokeo ya Katiba yetu kua na matobotobo.
Machawa wa Samia watamshambulia, wanasahau kua Tume ya Jaji Warioba, ilipendekeza KATIBA MPYA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.