MPINA anaanzia pale alipoishia Bungeni, Sasa anawakumbusha Serikali, katika kujitetea waliahidi IGA yenyewe italetwa Bungeni kabla ya Utekelezaji, kwanini wapi kimya??.
Hata Ahadi yao wenyewe...
WAZO: FOMU YA MAKAZI NA HATI YA MKAZI KIDIGITALI. FAIDA ZA KIUSALAMA NA KIMAPATO.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Niliwahi kuandika hapa mwaka Juzi, nikasema wanaolipa Kodi nchi hii ya...
Leo tarehe 29 Januari 2025, Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea, Mhe. Mohamed Hassan Moyo, ameshiriki kikamilifu katika zoezi la uboreshaji daftari la kudumu la wapiga kura.
Mhe. Moyo amewashauri...
Watu wengi hawafuatilii takwimu na hawa ndio wanapiga kelele kuwa Tanzania sii nchi maskini inayohitaji misaada na mikopo. Je unajua kati ya watanzania Milion 65, ni watanzania milion 25.7 pekee...
Waziri Kivuli wa Kazi na Ajira kutoka kambi ya upinzani ameweka wazi kuwa sheria ya marekebisho haikuwemo katika mswaada iletwa kinyemela na ni wabunge 30 tu waliochangia hoja ya mabadiriko lakini...
Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Albert Msando, ameagiza Mwandishi wa Habari wa ITV kukamatwa na kuamuru kufutwa kwa kazi zote zilizokuwa zimerekodiwa na Mwandishi huyo ambaye Alikuwa anafuatitilia...
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Mheshimiwa Wakili TUNDU LISSU, leo tarehe 30 Januari 2025 ataungana na WAPENDA HAKI WENGI katika KUPOKEA Uamuzi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar Es Salaam...
Nchi yetu Ina maajabu mengi sana ,nilitegemea kuona tweet na posti nyingi tangia jana kutoka kwa wasanii wakipaza sauti juu ya Hali hii lakini nimeishia kuona Lady jaydee, zuchu na Idrisa tu...
Kutoka Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam leo, Ijumaa Januari 24.2025 shauri lililofunguliwa Mahakamani hapo na Mwanaharakati Dkt. Willbroad Slaa dhidi ya Jamhuri, akiiomba...
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Morogoro Joseph Masunga amekemea vikali tabia inayofanywa na baadhi ya viongozi kufanya kampeni za chini chini kabla ya wakati kwani ni kinyume na Sheria za uchaguzi...
“Nimemuona Mzee Wasira, amekuwa Serikalini kwa zaidi ya miaka sitini sijui sabini tangu akiwa na miaka sijui ishirini mimi sijazaliwa, anataka atengeneze kwamba anataka kutengeneza kama mabishano...
Huyu ni Rais wa 6 Tangu Tanganyika ilipoungana na Zanzibar na kuunda nchi mpya Tanzania.
Marais 5 waliopita wote walizaliwa na huyu wa Sasa alivyozaliwa. Lakini hatujawahi kuona sherehe za...
Tunamkumbusha tu Mzee Wassira Kiongozi wetu kipenzi hapa CCM kwamba Mzee Aikael Mbowe asingetoa Nauli huenda Zanzibar ingepata Uhuru kabla ya Tanganyika
Ahsanteni
Partnership (PPP) in Tanzania is a collaboration between the public and private sectors to deliver public services or infrastructure. PPPs are a way to combine the public sector's oversight with...
Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa BAWACHA. Kama unataka na wewe, au mwanamke mwenzako anayefaa nae apate fursa za uongozi bungeni au kwenye udiwani miaka ijayo, nakushauri upige kura ya mabadiliko kwenye...
Wewe ni Kijana Me au Ke, Umeajiriwa au haujaajiriwa , Amka nasema Sasa basi !!.
Umasikini na Ukosefu wa Ajira Nchini kwetu ni wa kutengeneza tu na kua na viongozi wasio Wazalendo, wasowajibika...
Ktk mahojiano yake ya hivi juzi alisema No reform no election maana yake kwamba atafanya maandamano makubwa kuzuia uchaguzi. Mwandishi aliposema hio itakuwa vurugu? Akajibu kwamba ndani ya Katiba...
Jana Mwenyekiti Mpya wa CHADEMA Tundu Lissu, alikwenda kwa mara ya kwanza makao Makuu ya CHADEMA kama Mwenyekiti wa chama hicho.
Lakini tangu ashinde nafasi hiyo mambo mengi yamesemwa dhidi yake...
Wakuu,
Hivi karibuni nimeona miradi mingi ya barabara inazinduliwa kwenye sehemu mbalimbali za Tanzania. Kila kitu cha habari ni wabunge na Mameya wa CCM wakizindua miradi mbalimbali ya barabara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.