Wakuu,
Kunazidi kuchangamka huko, mwishowe waje na kauli mbiu yenye matusi mradi tu kampeni zifanyike😂:BearLaugh::BearLaugh:
======
Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Damas Ndumbaro amesema kuwa...
Nilikuwa nafuatilia kwa karibu bei za mafuta ya petroli, dizeli, na mafuta ya taa zilizotangazwa na EWURA mwezi huu.
Baada ya kuchunguza kwa kina, nimegundua bei ya mafuta ya taa imekuwa chini...
At least yeye ni Rais pekee aliyeweza kuonesha nafasi adhimu ya Tanzania katika kuhakikisha kwa majirani na rafiki zetu kuna amani.
Mwaka 2012 wakati kikundi cha M23 wanaleta fyoko fyoko Congo...
Taarifa za siri za CIA za miaka ya 1953 zinaonyesha kwamba shirika hilo liliamini kwamba baada ya Wakoloni Waingereza kuondoka Tanganyika, mtu aliyepaswa kukabidhiwa nchi alikuwa ni kiongozi wa...
Freeman Mbowe ni Kiongozi mzuri ila kama walivyo Wafanyabiashara wengine wote anaangalia kwanza Faida katika jambo lolote Lile na CCM iliutumia vizuri sana huu udhaifu wake.
Tundu Lisu ni tofauti...
Wakuu,
1. Deus Clement Sangu – Mbunge wa Kwela
Chama Cha Siasa: Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Matokeo ya Uchaguzi wa 2020: Alishinda kwa kura 48,918, akimshinda Ngogo Naftal Daniel kutoka CHADEMA...
Ukipost jambo lolote baya dhidi ya serikali hawa ndugu zetu ambao hawajakubali matokeo lazima wa-comment hivi ; " Andamaneni Dr. Slaa atoke, andamaneni mpate tume huru ya uchaguzi".
Sasa hawa...
Wakuu,
Huyu Nchimbi na mgombea mwenza wa Samia ni ndugu au majina tu?
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amesema chama hicho ni chama kiongozi cha ukombozi na hakikatai mazungumzo na kitafanya na mtu au taasisi yoyote, si vyama vya...
Mimi binafsi kwenye jambo lolote la kitaifa siweki udini au uchama.
Kiongozi akifanya vizuri nitampa pongezi zake lakini siwezi kugeuka kuwa mtumwa wa mtu. Never
Sitakuwa mtumwa wa mwanasiasa...
NAIBU Waziri wa Maliasili na Utalii, Danstan Kitandula ana wakati mgumu kutetea jimbo lake la Mkinga, Tanga kwa kinachoelezwa ni kukwama utekelezaji wa miradi ya maendeleo aliyoahidi.
Hali hiyo...
Ukanda wa SADC na Africa Mashariki umewahi kuwa na watawala nguli sana wa geopolitics na diplomasia mwaka 2015 kurudi nyuma.
Nyerere, Mandela, Thabo Mbeki, Mkapa, Chisano na Kikwete ambaye ni...
Ni Aibu sana Kwa Nchi kama DR Congo kukodi wapiganaji wa Kigeni kutoka Romania kuja kupigana na M23.
Hiyo Nchi watu wake wanachoweza ni kukata mauno tuu na kujipodoa ndio maana inatia aibu...
Nipo hapa Mikocheni opposite na CHADEMA HQ na ninashuhudia idadi kubwa ya Watu wakiwemo waandishi wa Habari ninaowafahamu wakiingia ofisi za Chadema
Wote wanasema wamekuja kupata Neno la Kwanza...
Wakati Trump amesitisha kugharamia shughuli nyingi ambazo zilikuwa zinafanywa na USAID ni wakati wa kujiuliza kwa umakini kitu gani ni muhimu. Hii pesa ilikuwa inasaidia kutoa dawa wa wagojwa wa...
Rais Trump amesema haoni sababu ya Serikali za Nchi za Africa kuwa na Matumizi ya fedha Yasiyofaa Kwa sababu YEYE Sera yake ndani ya Marekani ni kupata Hesabu za kiukaguzi hadi Senti ya Mwisho...
Kutokana na misimamo yao na kwa kauli ya Lissu ya leo ya kusema watatumia "shuruti" kuleta mageuzi, sitashangaa watawala wakaja na plani hiyo ya kuwaweka ndani mpaka uchaguzi mkuu upite ingawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.