Mh Uhuru Kenyatta amewaonya watu wanaolalamika Trump kukata misaada ya Fedha Kwa Nchi zao
Kenyatta anasema " Ile siyo Serikali yenu wala ile siyo Nchi yenu na Nyie siyo Walipakodi wa Marekani...
Wanajamvi huyu Mkurugenzi amekuwa kimya kwa ubovu wa Barabara Nanga-Migato haswa haswa eneo la darajani karibu na kanisa la Roma, eneo hili limekuwa kikwazo kikubwa sana kwetu wafanyabiashara...
Baada ya dollar ya Marekani kupanda mfululizo mwaka huu hadi kufika 2750 kutoka 2250 hatimaye wiki hii imeanza kushuka kwa kasi nakufikia muda huu naandika nakala, hii imefikia 2375 huku...
Hongera Sana Tundu Lissu kwa Ushindi Wako—Lakini Changamoto Zinaanza
Timu yako ilitumia mbinu ngumu na zenye madhara kwa demokrasia nchini, hasa dhidi ya mlezi na kiongozi wenu ndani ya chama...
Kama hakuwahi maana yake Urais huu ni matokeo ya Mwenyezi Mungu, kwamba Iliamuliwa aipitishe Nchi Kwa kipindi fulani, na hii pengine ilichagizwa na Upole, Unyenyekevu, Uanaharakati wake kuhusu...
Serikali lazima itoe tamko kwenye hili jambo.
Wenyewe wanaita Miradi Misonge ( Vertical Programs) , dawa na vifaa tiba chini ya hii miradi ipo kwa Ufadhili wa USAID kwa zaid ya 80%.
ARVs, TB...
Wakuu.
Ccm ilikuwa inafanya umafia Ila alipoingia Dr Bashiru alianzisha mfumo mchafu wa kuhakikisha wagombea wa Ccm wanapita bila kupingwa.
Huyu jamaa kiufupi ni mtu ambaye hastahili kupewa...
Inawezekana ikawa ni muendelezo uleule tu wa Viongozi wa wenye Uwezo wa kawaida kiakili kuwaonea wivu watu wenye akili nyingi na hivo kuogopa kuzungukwa nao.
Majuzi nilisikia MTU anasema, na...
Kama Mama ana nia ya dhati kutekeleza 4R basi atafute wasaidizi sahihi watakaofanya naye kazi ktk chama.
Binafsi naona mtu kama Jaji Joseph Warioba angekuwa mtu muhimu sana katika kusimamia...
Mbunge wa Geita (CCM), Joseph Kasheku Msukuma, amejibu hoja ya CHADEMA kupitia Makamu Mwenyekiti wake, John Heche, kuhusu kauli ya Makamu Mwenyekiti wa CCM kuzeeka, akisema wamuache mzee wao kwa...
Wanabodi,
Naangalia kipindi cha Jicho Letu Ndani ya Habari kinachorushwa na Star TV, ambapo mwandishi Mkongwe, Deo Masakilija, amealikwa.
Dotto Bulendu ameanza kwa hoja 'Je media imetimiza...
Naona kuna watu wanajaribu kutwist uhalisia wa mambo yalivyo mahospitalini kutokana na aliyoongea mkuu wa mkoa wa Dar, Mhe. Chalamila.
Ila huo ndiyo uhalisia wa mambo ulivyo kwenye mahospitali...
Msafara wa Rais wa Liberia umesimama kwa muda baada ya kutokea purukushani wakati anaingia getini JNICC. Sintofahamu hiyo imetokea au imeletwa na wanausalama wa Tz walipokuwa wanamzuia kuingia...
Tatizo la nchi yetu ni viongozi wengi ni wabinafsi nilishangaa kwa utamaduni mfano wa kuwajengea wa Raisi wastaafu mahekalu kwa pesa ya walipa kodi na kulipa wenza wao wakati hii sio kazi ya...
Kampeni ya Samia Legal Aid Campaign (MSLAC) imepiga hatua kubwa tangu ilipoanzishwa, na uzinduzi wa mkoa wa 17 Kilimanjaro mnamo 29 Januari 2025 ni uthibitisho wa mafanikio yake katika kuenea...
Mama mjamzito aliambiwa na Hospital atoe 50,000 kununua vifaa vya kujifungulia baada ya kuambiwa havipo Hospital.
Chalamila akapigiwa simu na Mama huyo, Chalamila akamjibu huyo mama arudi...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Stevin Wasira, amesema kauli mbiu ya "No Reform, No Election" haina maana yoyote kwa sasa, akisisitiza kuwa muda wa kufanya mabadiliko ya kisheria...
Makamu Mwenyekiti wa wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche amesema chama hicho kitashirikiana na kila mwanachama na yeyote mwenye nia ya kufanya nacho kazi bila kuangalia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.