Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Viongozi wengi wazalendo wa kweli waliopita walisisitiza juu ya Afrika kujitegemea na kuacha kutegemea mataifa ya magharibi. J.K Nyerere, Kwame Nkrumah, Thomas Sankara, John Magufuli na viongozi...
1 Reactions
4 Replies
293 Views
CHADEMA kuanzia 1992 hadi Leo imekuwa na wenyeviti watatu takribani miaka 22 ambao ni Mtei,Makani na sasa Mbowe. TANU/CCM kuanzia 1954 hadi Leo imekuwa na wenyeviti 4 takribani miaka 60 amabao...
4 Reactions
15 Replies
7K Views
2015 baada ya CCM kumpata mgombea uRais shujaa Magufuli Wafuasi wa Lowassa aliyekatwa mapema hawakuendeleza tena malumbano walitulia Ili Chama kipate Ushindi Ndio Leo umeona Alhaj Kimbisa anatoa...
1 Reactions
5 Replies
259 Views
Mchakato uchaguzi wa kidemokrasia huishia na makabidhiano ya mamlaka, madaraka na ofisi. Leo Lissu kaingia ofisini na mtangulizi wake Mbowe hakuwepo kumkabidhi mamlaka, madaraka na ofisi. Hii...
0 Reactions
0 Replies
152 Views
Courtesy: MwanaHalisi Online TV Duuh, sasa mambo yameanza kufumuka na kunoga. Siri siyo siri tena... Wote tunakumbuka tuhuma za Tundu Lissu kwa mtoto wa Rais Samia Suluhu Hassan aitwaye Abdul...
14 Reactions
98 Replies
5K Views
Habari JF , leo katika pitapita zangu nimekutana na kauli iliyozua maswali mengi sana kutoka kwa RC Chalamila , kwa ataeshindwa kununua gloves akajifungulie nyumbani . Kimsingi inawezekana ni...
3 Reactions
22 Replies
873 Views
Hakika ni Umoja wetu; Ndio Unafikisha Chama Kikubwa Zaidi Afrika; Chama Chenye Wafuasi zaidi ya Milioni 12 ; Chama Imara ; Chama Madhubuti Katika kusheherekea Miaka 48 Tangu kuzaliwa kwake Karibu...
0 Reactions
0 Replies
162 Views
Ndugu zangu Watanzania, Unaweza kushindana na yeyote yule na ukafanikiwa kushinda vita yako. Lakini kamwe huwezi kushindana na mtu ambaye anapiganiwa,kutetewa na kulindwa na Mungu. Huwezi...
3 Reactions
71 Replies
1K Views
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam imemfutia kesi na kumwachia huru dereva taksi Mousa Twaleb aliyekuwa akituhumiwa kuhusika na tukio la kutekwa kwa mfanyabiashara maarufu...
3 Reactions
36 Replies
5K Views
Leo tunajenga reli ya SGR kwa dhumuni ifike Mashariki mwa Congo. Swali ni Je hiyo reli itakuwa na faida kama Mashariki mwa Congo kukiendelea kuwa vitani namna hii? Tuache suala la reli. Hivi Je...
28 Reactions
252 Replies
7K Views
Hii ni kauli ya John Heche leo wakati Mwenyekiti mpya wa CHADEMA akikabidhiwa ofisi. Amesema wanakwenda kuweka mambo mbalimbali hadharani na kwamba wanarudisha CHADEMA ya zamani. Kasisitiza...
1 Reactions
0 Replies
297 Views
Hii kauli ya bure iliyoanza katika elimu awamu ya tano na sasa imeshika kasi haifai kabisa, imekaa kisiasa zaidi, kilaghai na kipropaganda. Inazua tafrani kubwa kama zilivyotokea kwa kauli ya...
11 Reactions
37 Replies
892 Views
1. Maprofesa wetu wapo wapi waelezee tafiti zao za Nishati kupitia energy summit? UDSM, MUST, Mzumbe, UDOM? 2. PhD holder level zenu si kujadili uchaguzi Serikali za mitaa, Hizi ndio level zenu...
29 Reactions
101 Replies
3K Views
Taarifa iliyosambazwa na Chama chake kote Duniani hii hapa Soma: Pre GE2025 - Kauli ya kwanza ya Tundu Lissu na John Heche baada ya Freeman Mbowe kukubali matokeo ya Uchaguzi
15 Reactions
97 Replies
3K Views
Akaunt hiyo imerudi hewani jana majira ya saa tano na dk 31 Usiku ikiwa verified "Magufuli atashinda kwa zaidi ya 80%. Lissu atasaidia kuijenga upya CHADEMA lakini itatokea mifarakano ya...
2 Reactions
24 Replies
1K Views
"Juzi (Jumatatu Januari 27, 2025) ilikuwa nizungumze kama mtendaji mkuu nieleze katika kuingia huku upya katika uongozi kama Katibu Mkuu ni mambo gani ningeyapa kipaumbele kama Katibu Mkuu lakini...
0 Reactions
0 Replies
180 Views
Katika kutimiza malengo ya taasisi, taasisi huwa na mifumo ya uendeshaji wa mambo mbalimbali ya taasisi. Mifumo hiyo huwa na procedures ambazo wahusika ni lazima wapitie katika kutekeleza jambo...
23 Reactions
54 Replies
1K Views
Mara nyingi nakutana na habari za kisiasa zinazosemwa na David Kafulila, nijuavyo huyu ni mteule wa Rais asimamie taasisi ya serikali, nijuavyo hawa wateule ni tofauti na na Mawaziri ambao...
3 Reactions
17 Replies
490 Views
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Januari 29, 2025 linaendelea na mkutano wake wa 18 ambapo, pamoja na Kipindi cha Maswali na Majibu, linatazamiwa kujadili miswada miwili ya sheria...
1 Reactions
7 Replies
322 Views
Back
Top Bottom