Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Kuna wimbi la ongezeko la biashara na matumizi ya madawa ya kulevya toka Samia angie madarakani. Wanasiasa na wafanyabiashara wanajihusisha na biashara ya madawa ya kulevya waziwazi. Vijana...
21 Reactions
55 Replies
6K Views
TANZANIA MWENYEJI MKUTANO WA NISHATI WA WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA Tanzania inatarajia kuwa Mwenyeji wa Mkutano wa Nishati wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Nishati baada ya Mheshimiwa Dkt. Samia...
2 Reactions
47 Replies
1K Views
Hivi hizi kauli zao za kuongeza watoto zimekuwa ajenda? Lakini upande wa pili bado hali ni tete sanakwenye mazingira ya huduma za afya. ============ Mwenyekii wa chama cha Mapinduzi Mkoa wa Njombe...
0 Reactions
5 Replies
158 Views
Deusdedith Soka Kijana wa watu mmemficha wapi au mmemuuwa hatujasahau ya kijana wa watu Ben Saanane mpaka leo hata shati lake halionekani achana na mwili. Tuambieni tujue mtoto huyu mmemuua au?
12 Reactions
54 Replies
2K Views
Deusdedith Soka amepotea kimzaha mzaha. Miaka ya nyuma alitoweka Ben Saanane kama utani mpaka leo hatujawahi kumuona tena. Je ndio washamalizana na Soka? Pia soma Soka yupo wapi? Tuambieni kama...
17 Reactions
126 Replies
5K Views
Rais Dr. Samia amezindua Mapango Mahsusi wa Kitaifa Kuhusu Nishati (National Energy Compact)
1 Reactions
2 Replies
112 Views
Huku Kwa ground , mambo hayaendi, watu wana njaa ya Pesa, watu hawajaliwi Tena kwenye Taasisi za Umma, ongezeko kubwa la ujalifu mtaani, Viongozi wamekua na dharau zilizopitiliza, Ufisadi...
14 Reactions
80 Replies
3K Views
Mkuu wa Wilaya ya Chunya, Mubarak Batenga, amefanya ziara katika vijiji vya Matondo na Itumbi na kugundua changamoto kubwa zinazokabili jamii katika maeneo haya. Katika ziara hiyo, alikuta hali...
1 Reactions
6 Replies
322 Views
Nimewaza sana na ninafikiri ni muda Sasa wa Dunia kututambua USA amesema kwa mwaka Jana pekee alichangia kiasi Cha Dola za Marekani milioni 500 pesa ambazo ni kama tilioni moja nukta 2 za...
1 Reactions
13 Replies
319 Views
Tumeona marais wa Kiafrika wakienda Ulaya/marekani wanakwenda na kundi kubwa la watu. Wanakwenda kutalii, kufanya shopping and the like.... wamepata nafasi ya kutalii. Je Mkutano unaoendela Dar...
3 Reactions
10 Replies
451 Views
Leo nimependa kuwasimulia mkasa wakutisha ulio likumba Taifa la Zambia na kwanini kama Taifa na idara za usalama yatupasa kujifunza kwa Zambia nakuliepusha Taifa ktk mkwamo. Ktk Taifa la Zambia...
5 Reactions
17 Replies
2K Views
Wakuu, Hapa, watangazaji wa Crown FM wanadhihirisha jinsi ambavyo baadhi ya vyombo vya habari vimesahau wajibu wao wa msingi na kugeuka kuwa vyombo vya matumizi ya kisiasa. Soma: Wasafi, Clouds...
4 Reactions
21 Replies
842 Views
Wakuu habari zenu? Wakuu nimekaa nimetafakari kuhusu hili jambo linalo itwa "UCHAWA" linavyo shika Kasi ndani ya nchi hii, naliona linaenda kuangamiza Taifa , hasa kwa vizazi vijavyo. Kwa muda...
5 Reactions
20 Replies
549 Views
𝗟𝗜𝗩𝗘: 𝗠𝗸𝘂𝘁𝗮𝗻𝗼 𝘄𝗮 𝗡𝗶𝘀𝗵𝗮𝘁𝗶 𝗔𝗳𝗿𝗶𝗸𝗮 (𝗔𝗳𝗿𝗶𝗰𝗮 𝗘𝗻𝗲𝗿𝗴𝘆 𝗦𝘂𝗺𝗺𝗶𝘁) 𝟮𝟳-𝟮𝟴 𝗝𝗮𝗻𝘂𝗮𝗿𝗶, 𝟮𝟬𝟮𝟱 Tazama live Hapa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika Kuhusu Nishati (Africa Energy Summit) Utakaofanyika Jijini Dar...
9 Reactions
52 Replies
2K Views
Yupo kwenye mtandao flani hivi maarufu Duniani, anajiita "Spy" Eti alikimbilia Ughaibuni lest he would be safe, Eti akiwa Bongo atadhurika. Huyo mtu ni HATARI zaidi ya nyoka, kazi yake kubwa ni...
42 Reactions
185 Replies
31K Views
Kwa wiki iliyopita, tuilipekenyua maeneo yote muhimu na kukumbana na mambo mapya kuhusu habari za ‘unga' huku taarifa zikionesha kuwa, hali katika viwanja vye ndege duniani kote ni tete...
6 Reactions
39 Replies
11K Views
Baada ya bondia na footballer sasa musichana ya movie (maana kila asiyekuwa na address mjini sasa anataka awe muigizaji ili atoke khaa ) na toto ya town imekwisha Brazil eeh wasichana nyie wadogo...
3 Reactions
192 Replies
40K Views
Kwa Mujibu wa Katiba ya Chadema hakuna Kiongozi wa ngazi yoyote wa Chama hicho anayeweza kufanya Maamuzi ya Peke yake (Maamuzi Binafsi) ambayo yanaweza kutengua adhabu aliyopewa Mwanachama yeyote...
28 Reactions
134 Replies
3K Views
Katika vitu ambavyo vimeifanya CCM isurvive, au kupata ahueni ya kisiasa ni kwa sababu CHADEMA ya uongozi uliopita haikuchagua kuisagia kunguni CCM kisawasawa kwa wananchi juu ya kero...
10 Reactions
48 Replies
985 Views
Rais Kikwete akiwa Marekani ameongea na watanzania na kukanusha madai kuwa alimuokoa mwanae Ridhiwani nchimi China baada ya kukutwa na dawa za kulevya. Rais amesema huo ni upuuzi na hawezi...
8 Reactions
362 Replies
94K Views
Back
Top Bottom