Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Jeshi la polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limezuia mkutano wa waandishi wa habari wa Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema John Mnyika uliopangwa kufanyika leo Jumatatu...
19 Reactions
327 Replies
11K Views
Mimi huwa nalia na watendaji na washauri wa mamlaka za juu. Imagine ziara ya Marais kuja mkutanoni Tz ilifahamika miezi kadhaa nyuma. Halafu taarifa ya kufunga shule na vyuo Jijini Dar imetolewa...
5 Reactions
35 Replies
1K Views
Afadhali Mzee Wassira yeye hakuwepo kabisa ofisi za CCM hivyo ni mtu mpya Sasa utakuta mtu alikuwa Makamu Mwenyekiti Kwa mfano sasa Cheo kimepanda Kawa Mwenyekiti kamili na yeye anaenda kuripoti...
1 Reactions
15 Replies
408 Views
Baraza la Wanawake CHADEMA (BAWACHA) taifa limeeleza masikitiko yake makubwa juu ya kauli iliyotolewa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, aliyesema kuwa, “Wajawazito wasiotaka...
2 Reactions
6 Replies
476 Views
Kama ilivyokuwa kwa Nguza Samike katibu binafsi wa Rais Magufuli na sasa tuna Waziri Rajab Salum katibu binafsi wa Rais Samia. Huyu ndiye mtendaji wa shughuli zote binafsi za Rais Samia katika...
20 Reactions
256 Replies
44K Views
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema Tanzania ipo katika hatua kadhaa mbele kwenye masuala ya nishati ya umeme kwani mpaka sasa vijiji vyote vimefikiwa na huduma ya...
0 Reactions
0 Replies
133 Views
Tanzania inakuwa nchi mwenyeji wa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika Kuhusu Nishati (Africa Energy Summit) utakaofanyika Jijini Dar es Salaam tarehe kwa siku mbili 27-28 Januari, 2025. Mkutano...
5 Reactions
70 Replies
3K Views
Ni suala la muda muafaka na nyakati kutimia tu, Lakini uhalisia wa mambo na hisabati na sayansi ya siasa ina dhihirisha kwamba kuanzia Oct.2025, Dr. Samia Suluhu Hassan atakua Rais, Dr. Emanuel...
1 Reactions
31 Replies
1K Views
Hilo ndilo swali la msingi 1. Je Raisi anataka kukumbukwa maisha kwa kujenga mifumo na kutupa katiba bora Tanzania 2. Atasahaulika kwa kuiba kura na kugushi uchaguzi na kujipa 80% ya ushindi...
4 Reactions
30 Replies
2K Views
Kwa ufupi Mdogo wake na mchungaji Josephat Gwajima wa Kanisa la ufufuo na uzima, amesema mchungaji huyo anatakiwa aache kutumika na kuhoji kuna nani nyuma yake. Amedai mchungaji hawezi kujiingiza...
25 Reactions
467 Replies
46K Views
..Fuatilia habari hapa. https://www.youtube.com/watch?v=Fs7jEBnCRJU https://www.youtube.com/watch?v=Pr3V84gfU6s
15 Reactions
130 Replies
6K Views
Mbunge wa Iringa Mjini Jesca Msambatavangu ameiuliza Serikali kuwa imejipanga vipi kudhibiti kile alichokiita kuwa wizi wa binadamu (utekaji) nchini Tanzania. Swali hilo lilielekezwa Wizara ya...
2 Reactions
7 Replies
709 Views
Mkutano wa nishati uliowashirikisha wakuu wa nchi za Afrika unamalizika leo jijini Dar es Salaam. Mkutano huu muhimu kabisa kwa Tanzania na bara zima la Afrika wenye malengo ya kuwezesha waafrika...
1 Reactions
2 Replies
343 Views
Mkutano wa Nishati Afrika: Kuwapatia Umeme Watu Milioni 300 ifikapo 2030 Mkutano wa Nishati Afrika ni tukio la kihistoria lililowakutanisha viongozi wa kimataifa, watunga sera, na washirika wa...
1 Reactions
5 Replies
692 Views
Haya mambo ya kiwaki hawapaswi kuchukuliwa poa wazee. Mtu Gani anatukana wananchi ambao wanalipa Kodi na ndiyo nguzo ya taifa lolote. Hivi huyu chalamila anavuta bangi? Au ana matatizo Gani ya...
3 Reactions
4 Replies
216 Views
Demokrasia Marekani kubwa sababu wanasiasa wana shughuli za kuwaingizia vipato vya kutosha nje ya siasa tofauti na Tanzania Kwa Tanzania ukianzia upinzani hadi Chama tawala wengi waganga njaa...
5 Reactions
33 Replies
548 Views
Ndugu zangu ,Watanganyika, kuna hali inayoleta maswali mengi kuhusu matumizi ya muda na fedha zetu. Siku hizi, tunaona watu wengi wakijitokeza kusherehekea "birthday" ya Saa100, lakini ni muhimu...
0 Reactions
10 Replies
377 Views
Jamani CCM ifike pahala muwe na huruma na nchi hii hata kama mna mpango wa kutawala milele. Itafika kipindi jamii ya nchi hii iwe kama jamii ya mazombi, maana hawa mazezeta mnaowaandaa ndio...
3 Reactions
26 Replies
654 Views
Kwa namna Shujaa Magufuli alivyotuandaa Kupambana katika Mazingira magumu ya Africa kutengwa na Wazungu huyu Trump na mikwara yake tutakabiliana naye kiulalo ulalo 🐼 Trump anafuta mikataba ya...
2 Reactions
10 Replies
462 Views
Huwezi kunikuta hata siku moja nikisema Asante Samia kwa kujenga hospitali, au barabara au shule. Hata siku moja huwezi kuniona nikisema asante Samia kwa kupeleka maji sehemu ya Tanzania au...
6 Reactions
45 Replies
1K Views
Back
Top Bottom