I hereby declare my interest, mimi ni muumini wa damu kabisa wa Magufulification of Tanzania.
JPM was a kind of President tulomuhitaji kwa miaka mingi, he was a man of his words, a Man who made...
Kwanza kabisa Mzee wetu Maarufu Mh. Makamo Mwenyekiti, Stephen Wassira Alimaarufu kama mzee wa Afro Shiraz Part na TANU, ametoa hotuba ambayo kimsingi baadhi ya vitu amedanganya ikiwemo suala la...
Kinachofanyika kwa sasa ni propaganda inayolenga kuhusisha makundi yote katika jamii ionekane yanamkubali
Samia ili uchaguzi wa Octoba hata yakitokea ya 2020 waseme mgombea alikuwa anakubalika...
Katika watu wanaokula Kwa Urefu wa Kamba zao Hela za Watanzania nihawa viumbe .
Alafu wajanja sana, unakuta wametengeneza ka cheini hivi ka ulaji kanakowahusisha mpaka na Ma DC husika .
Wewe...
Ipo hoja inaendelezwa kutoka kwenye Makala yangu ya juzi licha ya kuijibu vizuri katika makala ile ya kwanini Tundu Lissu hana sifa ya kuwa Mwenyekiti wa Chadema taifa,
Wanajenga hoja ya...
Wanajukwaa mambo kama yanaendelea kunoga!
Maana uchawa huu sasa ni balaa, unaambukizwa hadi kwa watoto kwa lazima sana Cute Wife unalipi la kusema hapa?
=====================
Wanafunzi wa Shule...
Wanabodi,
Baada ya Rais Samia kuhutubia Kikao cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa jijini New York nchini Marekani kwa kutumia lugha ya Kiingereza safi kilichonyooka, kuna wajinga fulani huku...
At the invitation of the President, Mr. Fletcher-Cooke, special representative of the Administering
Authority for the Trust Territory of Tanganyika, Marealle II, Paramount Chief of the...
Uchaguzi wa viongozi wa CHADEMA Taifa uliteka watu wengi mithili ya uchaguzi Mkuu wa Nchi.
Uliteka kuanzia vijana, wazee, akina baba, akina mama, Watanzania wote pamoja na watu wa mataifa...
Haya ni maoni yangu binafsi, kuna watu walipanga kumumaliza kisiasa kabisa Lissu ,bahati nzuri kwake kwa nguvu ya umma akaibuka kidedea.
Hata huyo Mbowe mnayemsifia ukifuatilia interviews zake...
Wanaukumbi.
Kauli ya Lema kuwa wamnunulie Mbowe gari kama zawadi kumuaga ni kauli ya hovyo na mawazo haya ni ya kipuuzi sana kuwahi kusikika duniani.. Yaani ikifikia kumnunulia gari Mbowe basi...
Wakuu,
Sijaelewa hapa, huko Chamwino ndio mpaka wanafunzi nae wameingizwa kwenye zoezi hilo la kumtakia heri Rais Samia kwenye siku yake ya kuzaliwa. Hii inakuaje mpaka kukatisha ratiba ya siku...
Nimesikiliza utetezi wa Chalamila kuhusu kauli yake kwamba yule mama mjamzito aliemwambia kama hatoi Tshs 50,000 achukue bajaji aende kwa mume wake atumie kisu na mikasi kumzalisha ni wa ovyo...
Vyama vya upinzani vijifunze ulaya na Marekani kunapokuwa na swala la kitaifa wamoja na Chama tawala
Mfano nchi za ulaya na marekani wakiamua kuinyonya Africa au nchi ikishambuliwa vyama vyote...
Wakuu,
Polisi walivamia ofisi za CHADEMA mapema leo asubuhi na kuzuia mkutano huo kufanyika wakisema wataleta usumbufu wakati mkutano wa nishati unaendelea, na kwamba wanatakiwa kughairisha...
Ndio hivyo..!😎
Katika kusherekea siku ya kuzaliwa ya Rais Samia, Jumuiya ya Wanawake wa CCM (UWT) mkoa wa Iringa imetoa msaada wa vitu mbalimbali kwa Wanafunzi wenye Ulemavu na usonji wanaosoma...
Wakuu
Mwanaharakati huru Cyprian Musiba amesema kitendo cha Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuamini kwenye nguvu ya wasanii katika mikutano yake hakina msaada kwa chama hicho hata kwenye uchaguzi wa...
Wale watuhumiwa wa ufisadi na wizi wa mali za umma wengi wapo mitandaoni wanamshauri Mwanamziki Gozibeth asingechoma moto gari bali angewapa wahitaji au kulirejesha.
Kuna baadhi ya wanafiki...
Katika hatua iliyoshangaza wengi, Rais wa Marekani, Donald Trump, ametoa agizo maalum la kuwekwa hadharani kwa taarifa za siri zilizofichwa kwa miongo kadhaa.
Kuhusu mauaji ya Rais John F...
Wanabodi,
Nilikuwa napitia list ya wanawake 10 majabali Afrika waliowahi kuongoza nchi zao kwenye nafasi ya urais。Hii ni C&P
List of Female Africa Presidents – Updated July 2021
by AFJN Intern |...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.