Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimetoa wito kwa mamlaka zinazohusika na usimamizi wa haki kuhakikisha Dkt. Wilbroad Slaa anapatiwa haki yake ya dhamana, kufuatia kukamatwa kwake...
Lisu kwa nini ulitudanganya kwamba tutashitakiwa MIGA ?
Ulikuwa unataka tuogope tuwaache Acacia waendelee kutunyonya?
Kwa hali hiyo Lisu hufai kabisa na sijui umekula maharage ya wapi.
Elimu...
Hakika jeshi limekuja kivingine, ukiweka ugoko wanaweka jiwe.
Hii ni moja ya zana ya kisasa ya kudhibiti wahuni kipindi cha uchaguzi, nyingine bado hazijaonyeshwa. Nasubiri nione dizaini ya...
Wakuu,
Balaa sana, japokuwa tunajua hii mitungi imetoka CCM, hivi si wakirudi kuanza kulialia kwa watanzania kuomba msaada tuwakache?
=====
Baadhi ya wasanii wa filamu nchini kwa kushirikiana...
Infact,
Itakua ni mwisho wa unafiki, migawanyiko, chuki binafsi, tamaa ya madaraka na vita ya maneno miongoni mwa viongozi wake waandamizi na miongoni mwa wanachadema kwa ujumla.
Itakua ni...
Bado sielewi Vigezo ambavyo vimetumika Kumfanya Emmanuel Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza wa Urais wa CCM.
Nchimbi hana na wala hajawahi kuwa na Ushawishi wowote kwenye siasa za ndani na hata kwenye...
Kwa nini viongozi huwa wanaapishwa?
Unadhani ule ni utani?
Ni agano kati yako na Mungu ukienda kinyume itakutafuna tu,kama sio wewe ni kizazi chako.
Kiapo cha mapadre ni hatari sana nina mifano...
Jambo moja nililoona kuhusu Chadema ni kwamba mnashindwa kutumia matukio ya kila siku kuwafunua macho wananchi kwa nini serikali ya CCM haipo madarakani kwa faida yao. Hii ni pamoja na matumizi ya...
Baada ya Rais Samia kupitishwa na wajumbe wa Ccm kuwa mgombea Urais 2025 ambapo kimsingi walifanya maamuzi ayo bila kufata katiba ya Ccm Kwa Kuwa Mgombea aliyepitushwa kwa mijibu wa katiba ya Ccm...
Hii habari imenisikitisha sana
Kuna mwanafamilia mmoja wa Mwandishi huyo alisoma nae Tambaza anasema Mwandishi huyo maarufu humu JF aliteswa sana baada ya yale maswali.
Ilifika mahali alitamani...
Matembezi haya yenye lengo la kukiimarisha chama na kuleta umoja kati ya Wanachama na makundi mbalimbali ndani ya CHADEMA.
Lengo pia ni kuunga mkono demokrasia ndani ya chama na kusapoti msimamo...
Kitendo cha Jeshi la Polisi kuzuia waandishi wa habari kutozungumza na wanasiasa huu ni ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu, vyombo vya habari na ni uvunjifu wa demokrasia na sio maelekezo ya...
Wanabodi,
Salaam,
Kati ya eneo gumu sana kwenye tasnia ya habari ni eneo la uchambuzi wa habari, news analysis. Japo Tanzania tuna vyombo vingi vya habari, na waandishi wengi wa habari, ni...
Wanabodi,
Hili ni bandiko lililotokana na makala yangu hii, kwenye Safu yangu ya "Kwa Maslahi ya Taifa", kwenye gazeti la Nipashe kila siku za Jumapili. Kila nipatapo muda, huja na hizi makala...
Wanabodi,
Kwa vile hili ndio bandiko langu la kwanza kwa mwaka huu, kwanza tutakiane heri ya mwaka mpya.
Pili tupeana pole sana kwa msiba mkubwa wa kumpoteza JPM.
Tatu, nitoe pongezi kwa...
Wanabodi,
Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za kwa maslahi ya taifa, makala ya leo ni makala elimishi ikielimisha kuhusu heshima ni kitu cha bure, hivyo kuwaelimisha...
Wanabodi,
Kila nipatapo fursa, huwaletea mfufululizo wa makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" Makala ya leo ni bandiko la pongezi na ombi. Pongezi ni kwa Rais Samia, kusafiri kwa kukwea pipa...
Wanabodi,
Hili mada ya ushauri wa bure kwa Chadema, nimesoma humu kuwa wamesusia mkutano wa kesho wa vyama vya siasa kule Dodoma kwa hoja mpaka kesi inayomkabili Mwenyekiti wao ifutwe...
Wanabodi,
Kama kawa,
Ukiangalia nguvu iliyotumika jana kuzuia maandamano ya Chadema, nguvu hiyo ingetumika kuyalinda maandamano hayo badala ya kuyazuia!
Mada ya leo ni kuhusu haki, hakuna haki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.