Huu ndiyo ukweli kuwa Chadema ikisambaratika CCM itakuwa imara kuliko wakati wo wote tangu mfumo wa vyama vingi uanzishwe.
Ikitokea Mbowe akajitoa katika kinyang'anyiro cha kuwania tena kiti cha...
Mwenyekiti wa CCM Kibaha akimsifia Mbowe na kumtakia aendelee kuwa mwenyekiti wa chadema vinginevyo chadema itakufa.
Huu urafiki unaooneshwa na ccm kwa Mbowe, hasa wakati huu wa uchaguzi wa...
Ni ushauri tu kwamba tusubiri Debe 21 January ila hayo mambo ya Mdahalo achaneni nayo kabisa
Mdahalo unaweza kuwa na afya kwenu Wagombea kama watu binafsi Lakini hauna Afya kabisa Kwa Chadema...
Safari imeanza masaa matatu yaliyopita ilikuwa ni mida ya saa mbili na robo usiku yaani 20:15 abiria wengi walianza kwa matumaini sana lakini imegauka kuwa ni safari ngumu yenye mashaka...
Inside information zinasema baadhi ya wazee wa CCM na wajumbe hawajaridhishwa na uamuzi wa kulazimisha AZIMIO nje ya Katiba ya CCM na Miongozo ya Uchaguzi!
Wajumbe wanajadiliana kuwa tulizuia la...
Pia soma:
~ Wakili Peter Madeleka amtumia Ujumbe Tundu Lissu kuhusu kesi ya Dkt. Slaa
~ Mwendelezo wa kesi ya Dkt. Slaa Mahakama Kuu, leo Januari 24, 2025, Wakili Madeleka ataka Mahakama ifute...
Sasa sio wakati mzuri mama yupo bize na wageni wanaomiminika Dar kwa ajili ya mkutano wa viongozi wa Africa wa nishati.
Baada ya hapo mbivu na mbovu za Chalamila zitajulikana, hasa kuelekea wikiendi.
Wakuu,
1. Francis Kumba Ndulane - Mbunge wa Kilwa Kaskazini
Chama Cha Siasa: Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Matokeo ya Uchaguzi wa 2020: Alishinda kwa kura 20,501, akimshinda Ngombale Vedasto Edgar...
Sikumbuki ni lini baada ya uchafuzi mkubwa wa kilichoitwa uchaguzi wa serikali za mitaa, CCM ilisikika tena popote! Hata matukio ya kutengenezwa ili kuiweka ccm kwenye ramani ya mijadala yalikufa...
Hatukupoa, hatupoi na moto ni uleule
Hakuna nguvu yoyote kubwa inayotumika.. Ni asili imeamua kuchukua mkondo wake.. Imagine hata makada maarufu wa mbogamboga wametekwa bila hiari na CHADEMA...
Mitandao ya kijamii imeanza kusambaza kwa kasi taarifa za kuzuiwa kwa mkutano wa Mnyika. Mjadala umeanza kupamba moto na taarifa za mkutano wa Nishati zimefifishwa.
Je tunaamani na kizazi hiki...
Katibu Mwenezi Makalla amesema leo kuna suprize kubwa ataitangaza kwenye mkutano wao.
Huenda hii suprize ndo ile Tetesi ya Salum Mwalimu kuhama CHADEMA na Kuhamia CCM.
Ngoja tusubirie tujionee...
Wakuu,
Binafsi nawaelewa CCM kwanini wamekataza Press ya Mnyika na wakaenda kuweka polisi mbele ya jengo la CHADEMA ili kuzuia hiyo Press kufanyika.
Whoever made that decision anaelewa ni kiasi...
Tunaweza kusema kama Timu Mbowe wameanza kujichekecha kimtindo baada ya Lissu kuchukua nafasi hiyo ya uwenyekiti wa CHADEMA
===================
Baada ya miaka 10 ya ajabu nikihudumu katika...
1. Je, ni Watanzania wangapi wanalipia LUKU ya umeme kuna kodi mle na kila siku tunalipa?
2. Tunaambiwa watumiaji wa simu tuko zaidi milioni 29 na kila siku unanunua vocha, tunalipia miamala...
Nje ya jengo la Makao Makuu hayo wapo askari wa jeshi la polisi kwa taarifa tulizonazo waandishi wa Jambo TV, Azam TV, Mwananchi wamezuiwa na kuondolewa eneo hilo.
Pia soma
- Pre GE2025 - News...
Mjumbe wa kamati kuu Godbless Lema baada ya kuandika kupitia ukurasa wake wa X akitaka Mwenyekiti mstaafu na mjumbe wa kamati kuu chadema Freeman Mbowe aagwe kwa kununuliwa gari, baadae alifuta...
Leo ni siku iliyosubiriwa kwa hamu kubwa na Watanzania. Siku ya maandamano ya wananchi wakiongozwa na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA. Kwa mujibu wa mwenyekiti wa Chama hiko; amefafanua...
Napenda kusema ya kwamba ushindi wa CHADEMA dhidi ya uharamia wa CCM unakaribia. Ni muda mrefu CCM wamefanya machukizo dhidi ya CHADEMA ila Mungu amekaa kimya. Sasa mwaka huu Mungu atajifunua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.