Wanabodi,
Baada ya Rais Samia kuruhusu mikutano ya siasa, sasa ni nderemo na vifijo nchi mzima!. Na mimi kama Mtanzania mzalendo wa taifa letu, pale linapofanywa jambo jema lolote la kheri kwa...
Wanabodi!
Japo mimi ni mwanachama wa chama cha siasa na sio Chadema, ila mimi ni political advisor mzuri tuu, nimeisha wahi kuwa hired kuwa a political advisor wa taasisi mbalimbali kubwa tuu za...
Wanabodi
Hii ni makala yangu ya Kwa Maslahi ya Taifa kwenye Gazeti la NIPASHE la Jumapili ya leo
Kama kawa kila siku za Jumapili hutiririka na makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa
zenye swali...
Wanabodi,
Asubuhi hii nimeguswa na bandiko la mwana jf huyu, Naishauri serikali Kesho isije Ikatumia mabavu, iache CHADEMA wafanye maandamano yao kwa Amani
Kwema Wakuu!
Nimeona nami kwa nafasi...
Wanabodi
Naomba kuanza kwa angalizo kwa mode kuhusu kuchanganya lugha.
Japo sasa jf ni mainstream media ukichanganya lugha kwenye heading mode ana edit, neno "Mama Don't Preach, practice what you...
Wanabodi,
Kwa Maslahi ya Taifa kwenye Nipashe ya leo 5/02/2023
Makala ya leo, ni kuhusu haki za binaadamu, na kwa wale wenye kumbukumbu mzuri ya safu hii, makala za mwanzo kabisa zilikuwa ni...
Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania alifanya mabadiliko ya kiutendaji ikiwa ni pamoja na kumuondoa aliyekuwa Katibu Mkuu kiongozi Dokta Bashiru Ali na kumteua kuwa mbunge.
Je, wachambuzi...
Wanabodi,
Moja ya matumizi mazuri ya mitandao ya kijamii ni kuhabarishana, kuelimishana, kuburudishana, nakusaidiana.
Ikitokea kuna jambo unalijua, mwenzako halijui, msaidie kumuelimisha kwa...
Tazama ni siku nyingi zimepita miongo na karne zimebadilika toka Uhuru Hadi hapa tulipo.
Mvua ya Chama kimoja hadi Mvua za Demokrasia tumekutana na masika za Utawala bora neema ya kuijenga nchi...
Wanabodi,
Hii ni Nipashe ya wiki iliyopita
Wanabodi,
Hili ni bandiko la Pongezi kwa Rais wetu, Mama Samia.
Kama mtu uliwahi kuandika kuhusu jambo fulani, halafu hilo jambo likafanyika, kwa...
Nashauri Msajili wa Vyama Vya siasa Mh Jaji Mutungi kumzuia katibu mkuu wa Chadema Mh Mnyika Kufanya mkutano wa waandishi wa Habari Kesho
Press ya Chadema ifanyike baada ya wageni kuondoka...
Wanabodi,
Moja ya topic ngumu sana humu JF, ni topic za kitu kinachoitwa Trends Readings za psychoanalysis trends, kinacho tokana na ku Psychoanalyse Trends kisaikolojia kwa kutumia tabia za mtu...
Wanabodi,
Hii ni makala yangu, Gazeti la Nipashe ya Leo.
Makala ya leo ni kutoa shukrani na Asante kwa Rais Samia kwa Sheria Mpya ya Uchaguzi, ila Haki ya Watanzania Kuchagua, na Kuchaguliwa...
Wanabodi,
Kwa kadri siku zinavyokwenda na miaka inavyopita, ndivyo wazee wanavyopita na vijana kuchipukia, hivyo sisi tuliokuwepo enzi za Tume ya Jaji Nyalali kukusanya maoni ya Watanzania kuhusu...
Wanabodi,
Hii ni makala ya Kwa Maslahi ya Taifa, kwenye Nipashe ya leo
Utambulisho
Japo mnanitambua kama mwana jf mwenzenu, kwenye mada very serious kama ubatili wa Katiba na ubatili wa sheria...
Wanabodi,
Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na Makala zangu elimishi za "Kwa Maslahi ya Taifa", Makala ya leo ni jinsi Rais Samia alivyo ni mpango wa Mungu kwa Tanzania: Rais Samia...
Wanabodi,
Kama kawa kila nipatapo fursa huja na makala zangu elimishi za Kwa Maslahi ya Taifa, zinazo zungumzia jambo lolote la kisiasa, kiuchumi au kijamii lenye maslahi kwa taifa. Makala hizi...
Wanabodi,
Utambulisho
Japo sisi wanabodi wa jf, tunaitana wanabodi, na kutambuana kwa majina yetu ya ki jf jf, sio mbaya kunapotokea hoja ya msingi kwa mustakabali mwema ya nchi yetu, watu...
Wanabodi,
Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huwaletea hizi makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa". Makala ya leo ni wito wa ustaarabu kwa Rais Samia, rais Samia Suluhu, sio malaika, ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.