Wanabodi,
Niko kwenye voluntariy lockdown, hivyo leo nimepata fursa ya kuangalia TV ya Zanzibar, ZBC, Mwandishi wa habari wa CCM Zanzibar, Daudi Ismail anamhoji Makamo wa Rais wa JMT, Mhe. Samia...
Mgombea Ubunge wa Chadema Jimbo la Rombo ambaye pia ni Meneja wa Mtangazaji maarufu nchini Joyce Kiria Mh Henry Kilewo amemshukia vikali mjumbe wa CC ya Chadema Mh Godbless Lema Kwa kutomuunga...
Wanabodi,
Makala ya Leo ya Kwa Maslahi ya Taifa, Inaanza na A Declaration of Interest
Kumezuka huu mtindo wa mtu akisifia jambo lolote kumhusu rais wa JMT, ananyooshewa vidole vya kutafuta...
Kurugenzi ya Mapato ya Ujasusi nchini India (DRI) imewakamata Raia wawili kutokea nchini Tanzania kwa madai ya kuhusika na usafirishaji wa kilo 1.5 ya madawa ya kulevya aina ya Cocaine yenye...
Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Iringa Vijijini, Sure Mwasanguti, amewataka wenezi wa chama hicho kuzingatia kanuni na miongozo ya CCM na kutokujihusisha na masuala ya kuwa machawa...
Kwa mujibu wa taarifa ya Oakland Institute kama ilivyonukuliwa na MongaBay ni kwamba Wananchi wa eneo la hifadhi ya Ruaha walipeleka malalamiko Benki ya Dunia Kisha kufunguliwa Kwa kesi Kwa...
Mkuu wa mkoa wa DSM Albert Chalamila amewaomba wananchi wa Dar kuwa wakarimu Kwa wageni wetu
RC Chalamila amesema Wingi wa police mitaani ni katika kuimarisha Ulinzi lakini wananchi wasiwe na...
Kitendo cha kufunga barabara na kuzuia watu kwenda kazini kwa siku mbili za mkutano wa nishati wa viongozi wa Africa kimrdhihirisha ufinyu mkubwa wa miundombinu ya jiji la Dar es Salaam. Ufinyu...
Pia soma
Freeman Mbowe akamatwa na Jeshi la Polisi akielekea Mbozi mkoani Songwe
LGE2024 - CHADEMA yatoa tamko baada ya Freeman Mbowe kukamatwa na Jeshi La Polisi
Mataifa yanayoheshimika duniani kwa kuwa na intelejensia ya kiwango cha juu duniani kwa sasa ni Marekani, Urusi, Israel, China na Uingereza.
Intelejensia ya kiwango cha juu katika mataifa haya...
Aga Khan Hospital, iliyopo Dar es Salaam, imekuwa katika habari kutokana na kuvunjwa kwa mkataba wake na Bima ya Afya ya Taifa (NHIF) wa kuwahudumia Watanzania maskini.
Hali hii inatia wasiwasi...
Kwanza ieleweke wazi kwamba kazi kubwa ya serikali katika uwanda wa biashara ni KURATIBU, KUWEZESHA NA KUTOA MIONGOZO NAMNA BORA YA UWEKEZAJI kwa wafanyabishara wazawa na wageni kutoka nje...
Ni mambo ya kushangaza kidogo, je tumerogwa? ama tumejiroga?
Ni hali ya hatari kwa kweli inakuwaje serikali imetumia pesa nyingi kwenye michezo lakini imeshindwa kununua vifaa vya kujifungilia...
Miaka 10 iliyopita dr slaa alikua ni mwanasiasa wa upinzani maarufu hakuna aliyemfikia na dr slaa ni moja ya watu aliowafanya watu wengi hasa vijana kupenda siasa za upinzani
Baada ya miaka 15...
Sarakasi zilizotokea kwenye kumpitisha Samia kuwa mgombea wa CCM kwenye uchaguzi Mkuu ni za kutia aibu kubwa sana.
Lakini nimekuwa najiuliza nini hasa sababu ya CCM kumpitisha bibi harusi huyu...
Hii najua haitawapendeza wengi wanaotaka mabadiliko katika nchi yetu.
Lakini siasa za uzandiki, fitina, Majungu na kuchafuana mimi sio muumini wake..
toka kipindi Lowassa anaitwa Fisadi, hizi ni...
Binafsi nimuombe Rais Samia S. Hassan aongeze kasi ya kuijenga Dodoma ili shughuli zote za kiserikali including zake mwenyewe zifanyikie Dodoma.
Dar es Salaam tuiache ipanuke kibiashara zaidi...
Sheikh Yahya Hussein alitabiri kuwa mtu yeyote ataeshindana na Kikwete atakufa. watu wengi walikanusha na kumbeza, wengine walidiriki kusema mzee amechoka na hana mpya.
kumbe utabiri wake una...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.