Nimeona member mmoja anajiita Robert Heriel Mtibeli anaungana na RC chalamila na kusema kuna bima ya Elfu 40 ina cover mpaka uzazi , Ultrasound,X ray ...etc
Naipataje mnaoijua ?
Huu uhuni tumeanza lini ?
Barua ya Katibu Kiongozi inatoka haina mhuri haina signature ?
Unajua hata nzi ameamua kua mhuni tu ndio maana anasambaza kipindupindu lakiji angeamua kua na akili...
Wanaukumbi
Baada ya Uchaguzi wa ndani wa CHADEMA kuisha na kupata viongozi wa wapya Mwenyekiti Tundu Lissu, na Makamu wake John Heche.
Kama tulivyosikia na kuona hotuba ya Mwenyekiti aliyepita...
Wakuu
Mwaka 1933 mpaka mwaka 1945 alipofariki, FDR alikuwa Rais wa Marekani. Alichaguliwa katika chaguzi nne kinyume na tradition za nchi kwasababu mbalimbali ikiwemo WWII.
Alisaidia sana...
Hii Kauli ya kamanda Heche imenihuzunisha sana hasa nikikumbuka Yeriko na Ntobi walivyonunuliwa Suti na Wenje kwenye mdahalo wa Jana
Kumbe ziko damu zinaililia Chadema iliyoko sokoni inauzwa...
Okay, Lissu ameshinda furaha ni kubwa kwa supporters wake lakini kwa wapinzani wake ni msiba mzito. Ni msiba sio kwa kuwa tu wamepoteza nguvu kwenye chama na Mbowe kashindwa, ila msiba mzito ni...
Taarifa zilipofika Bungeni, chap watu wakawahi eneo la tukio kisha Hospital.
Kufika Hospital, Katibu Wizara ya Afya wa wakati huo , this great man , Dr. Ulisubisya , Daktari wa Kuua na Kufufua (...
Amani iwe nanyi wana JF,
Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA ) kijenotyipia ( ki-mtazamo wa ndani ) kimeshakufa kibudu ila kifenotyipia ( ki-mtazamo wa nje ) bado kinaishi hali hii...
Wadau kweli hayati baba wa taifa kaanza kupuuzwa kabisa.Haingii akilini hayati baba wa taifa kazikwa butiama kaburi lipo butiama lakini maombolezo yapo chato na maua yanawekwa kwenye kaburi la...
Kwa vyovyote tulitegemea mbowe awe dictator ndani ya chama mana nje ya siasa hana cha kufanya mana hata form four hakumaliza vile vile mnyika alidisco pale udbs alipokuwa anasoma bba.
Watanzania...
Kupitia maandamano, kwamba tumejifunza hatuna jeshi la polisi lenye uwezo wa kudhibiti watu 5Mil tu walioamua kutafuta haki yao.
Ili kufanikisha maandamano ya watu mil 5 tu , ni lazima Chadema...
Askofu Mwamakula amesema RC Makonda alipopewa nafasi ya kusalimia Waumini kwenye Ibada ya Mwamposa alisema Eliya hakuwa Nabii na Biblia haimtaji popote kama Nabii
Mwamakula amemtaka RC Makonda...
Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika anazungumza na Waandishi wa habari muda huu, Makao Makuu ya Chama hicho, Mikocheni Dar es salaam.
Fuatilia live mazungumzo yake hapa...
Mpo salama!
Watanzania wanaamini Wachagga ni watu wote wanaotokea Kilimanjaro na Arusha bila kujali mikoa hiyo inamakabila mengine kama Wapare, Wameru, Wambulu, Wamasai, Wachagga na Wasambaa...
Kamati Kuu ya CHADEMA, katika kikao chake kilichofanyika tarehe 14 Desemba 2024 jijini Dar es Salaam, ilitangaza uteuzi wa wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi kwa Kanda ya Kaskazini na Kati...
Huyu ndiye Freeman Mbowe Mwenyekiti anayemaliza muda wake.
==
Sasa ni dhahiri mnyukano mkali ndani ya CHADEMA kati ya mafahari wawili waliowahi kuwa wenyeviti wa Baraza la Vijana BAVICHA ngazi ya...
Mwenyekiti wa BAVICHA, John Pambalu amesema amepita kwenye ofisi kadhaa huko Newala na kukuta ofisi zimefungwa. Akitolea mfano Kijiji cha Mnyambe, Kata ya Mnyambe ambapo mpaka saa saba mchana...
Mmoja wa waandishi wa habari leo ndugu Marwa amesema amewahi kuona maazimo ya kamati kuu ya CHADEMA kama yalivyo yakiwa mezani kwa kada wa CCM Mchungaji Msigwa ili ku preempt hotuba za viongozi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.