Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Naona Kila jambo ni lazima liitwe Samia. Hivi Serikali inafanya kazi gani kama kila kitu kinafanywa na Samia Hassan Suluhu!? Nasikia "Birthday" yake baadhi ya huduma za Afya zitatolewa Bure!
4 Reactions
22 Replies
539 Views
Wanabodi, Nami niko hapa Dodoma Jiji kuhudhuria Mkutano Mkuu wa CCM. Rais Samia katupiga bonge la surprise ya mwaka kututeulia Stephen Wasira kuwa M/Mwenyekiti CCM Bara!. Wakati Comred Kinana...
18 Reactions
56 Replies
2K Views
Tunapoelekea uchaguzi mkuu safu mpya zinazokuja kuziba mapengo ni pamoja na Nape kuchukua nafasi ya Nchimbi huku Pole pole akirejea nchini kumsaidia Kazi Mzee Amos. Makongoro Nyerere anakwenda...
5 Reactions
27 Replies
1K Views
Upinzani mpaka sasa haupo tayari kuungana kuikabili CCM na kuishinda, hawa ni kwa sababu ni wabinafsi na hawana ajenda ya Pamoja lakini pia hawana fedha, uchaguzi ni fedha. Lakini kwa maoni yangu...
12 Reactions
261 Replies
18K Views
Kwa hakika, Tundu Lissu ana Power na ushawishi mkubwa sana. Kuchaguliwa tu, majoka yameanza kutoka mashimoni na kuanza kurandaranda mitaani. Sipati picha Lissu atakapoanza kazi rasmi.
8 Reactions
9 Replies
663 Views
Wakuu, TAARIFA KWA UMMA Tanzania imepata fursa na heshima ya kuwa nchi mwenyeji wa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika Kuhusu Nishati (Africa Energy Summit) utakaofanyika Jijini Dar es Salaam...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Huyu mfa maji aliwekeza siasa zake katika kumshambulia Mbowe binafsi kupunguza maumivu yake badala ya kunadi sera za Chama chake.CCM walifurahia sana mambo hayo kiasi cha kuambatana nae katika...
2 Reactions
5 Replies
331 Views
“Kaka yangu Jafo [Waziri Selemani Jafo] unafahamu 2020 niligombea kule Kigamboni, sina uhakika sana kama nitaenda kwenye jimbo Kigamboni, ni kama vile nimenogewa na hii kazi aliyonipa Dkt. Samia...
3 Reactions
3 Replies
400 Views
Ili Mkutano Mkuu wa CCM Taifa 2025 uweze kufanyika, ni muhimu kwamba vikao vya chama viwe vimetangulia ili kubaini agenda zitakazozungumziwa. Utaratibu huu ni wa muhimu kwani unahakikisha kwamba...
12 Reactions
66 Replies
2K Views
Kigamboni ni eneo potential ambalo kama serikali ikiamua kutengeneza conference facility ya kimataifa, itaondoa kero ya kufanyia mikutano katikati ya jiji na kuathiri shughuli za kijamii...
1 Reactions
1 Replies
126 Views
Vivyo hivyo waweza kumsamehe Dr Slaa kama ametubu Mimi siyo mwanachadema ila ni mdau wa SIASA za Haki Mungu wa Mbinguni mbariki Tundu Lissu. Ahsanteni sana 😀
1 Reactions
6 Replies
232 Views
Nimemsikia akisema No Reform,No Election, Akaongeza kuwa vinginevyo ataitisha maandamano nchi nzima. Hao watu wa kuandamana atawatoa waoi? Nchi imejaa chawa na waoga.mara ya mwisho kuona...
3 Reactions
44 Replies
944 Views
Sijaisikia jumuiya hii ikitoa kauli au kuitisha kikao cha dharura dhidi ya huyu mla nyama za watu na mnywa damu za binadamu. Wote ni wanachama wa jumuiya ya Afrika mashariki. N. B: for the first...
2 Reactions
2 Replies
160 Views
Ikiwa kakumbukwa Adadi Rajabu kwanini na Dr Mary Nagu asipewe maisha Tena? Soma >> Rais Samia ateua Wenyeviti na Makamu Wenyeviti wa Bodi za TMA, Mkonge na Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi...
8 Reactions
138 Replies
10K Views
Wajawazito wanaojifungulia kwenye Hospitali ya Rufaa ya Temeke , wale wanaojifungua kwa njia ya kawaida inawalazimu kulipia pesa taslimu ya kitanzania shilingi elfu 75 kama gharama ya kuzaa ...
24 Reactions
132 Replies
62K Views
Muda mfupi kabla ya kuondolewa kwa Mkuu wa Mkoa wa DAR es salaam nafsi za mteua na mteuliwa zitakuwa zinajiuliza maswali haya mawili Mwanangu Chalamila kwanini umenigombanisha na wananchi ...
5 Reactions
24 Replies
1K Views
A Vision for Africa's Sustainable Energy Future: A Message to President Samia Suluhu Hassan on Innovation, Minerals, and Collaboration Your Excellency, President Dr. Samia Suluhu Hassan, As we...
2 Reactions
17 Replies
613 Views
Hiii ni aibu watu tuna ndugu ikifika mwezi wa kumi na mbili mnazajazana vijijini tuna washangaa tunawaona wa maana kumbe hamnazo kabisa. Mtu unaishi dar unamtia mtoto wa kike mimba ila huna uwezo...
1 Reactions
4 Replies
158 Views
Hili suala la kukatika umeme limeanza upya mbali na kuaminishwa na Naibu Waziri Mkuu kuwa limekwisha baada ya Mitambo kuanza kufanya kazi Rufiji. je kulikoni leo huku Kabuhoro wamekata muda mrefu...
1 Reactions
5 Replies
150 Views
Back
Top Bottom