Kwanza nikiri, sikuwahi kuwa mwanachama wa chama chochote Tanzania, nilikuwa tu shabiki wa chama hiki (CHADEMA) lakini nilivunjwa moyo baada ya Hayati Lowassa kupokelewa na kujiunga na chama hiki...
Badala ya kuhoji maamuzi halali na ya Kikatiba ya CCM nadhani Watu wangehoji kama ni halali Kanisa kufanya maamuzi Kwa niaba ya Chadema
Imethibitika aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema Mh Freeman...
Ktk Dunia hii ambayo mbabe ni Mtu mwenye uchumi imara na ustawi wa watu tumezoea kuona Nchi za Asia ya mashariki na mbali ikijikita hasa kwenye siasa za uchumi na maendeleo.
Ni ktk hali hiyo...
Hii ishu ya mgombea urais wa CCM inachekesha kwelikweli kisha inahuzunisha.
Yaani anakuwa mgombea rasmi wa Chama, halafu fomu ya kuomba kugombea anajaza baadae!
Ni kama movie inayochezwa...
Tume huru ya Taifa ya uchanguzi,imetangaza kuwaondoa wapiga kura 594,494 kwenye Daftari la Kudumu la wapiga kutokana na kukosa sifa za kuwa wapiga kura .
Miongoni mwa wataoondolewa ni wenye...
Ndiyo. Hatumtaki Lissu CHADEMA sababu Lissu atakiua chama.na Lissu ataleta migogoro CHADEMA. Sisi CCM Tukifikiria hilo tunaona si sawa. Si jambo jema.
Kama nasi tutaruhusiwa kupiga kura basi...
Tanzania kuna mrundikano mkubwa wa Machawa dalili ambayo siyo ya kufurahisha
Nimeona Ruto akiliambia Kanisa la Kenya kuwa Serikali yake inaungana na Rais Trump wa US katika kutambua Jenda mbili...
Ni wakati muafaka sasa kuanza kupanda miba ya kutosha kuhakikisha huyu ndugu hapati nafasi ya kuwa Rais na pia kusuka hujuma za kila aina ndani ya chama ili kumkwamisha na kumbomoa.
Hii Vita...
Serikali inazo Hospitali zake katika ngazi mbalimbali. Inaendelea kuongeza idadi na ufanisi wa hospitali hizo kwa kadri ya upatikanaji wa fedha.
Kitendo cha Kamati ya Bunge ya Huduma za Afya...
LEO 07/12/205 gazeti la Mwanahalisi kwenye ukurasa wa mbele limeandika kichwa cha habari kinachosema "MAWAZIRI WAVUJA" huku kukiwa na picha ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe...
Mbunge wa Chalinze kupitia chama cha mapinduzi Ridhiwani Kikwete ametoa kauli zinazooneshwa wazi kutothamini wala kujali michango inayofanywa na vyombo vya habari nchini.
Alipokuwa akiwahutubia...
Wakuu,
Kunaanza kunoga huko😂😂😂.
=====
Wamachinga wa Soko la Wazi la Machinga Complex, jijini Dodoma, wameandaa sherehe ya kipekee kuadhimisha siku ya kuzaliwa kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano...
Kupiga kampeni ya kugombea ubunge Tanzania ni mchakato unaohitaji maandalizi mazuri, mkakati wa kina, na kuzingatia sheria na taratibu za uchaguzi. Fuata hatua zifuatazo:
1. Elewa Sheria na...
Polisi mmetoa tangazo la kufunga barabara za mjini sasa swali langu je shughuli za kikazi zitasimama?
kuna Wanafunzi wanasoma mjini huko je na wenyewe waje shule au wakae nyumbani? wekeni wazi...
Siku chache baada ya baadhi ya Wananchi kumjia juu Mbunge wao wa Jimbo la Namtumbo, Vita Rashid Kawawa, ameamua kujibu.
Wananchi wao wa Kijiji cha Mlalamiwa na Matepwende waligoma kupokea zawadi...
Wakuu,
Kupitia ukurasa wake wa X, Fatma Karume ameweka post ya kuwashukuru wote waliyohakikisha Sarungi anakuwa salama, na kwamba ameambiwa Sarungi amerejea nyumbani kwake.
Soma Pia...
Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa unaofanyika kwa siku mbili kuanzia leo Jumamosi, Julai 11, 2020 jijini Dodoma, Wajumbe 1,846 wanatarajiwa kushiriki. Mkutano huo unongozwa na...
Akihojiwa na kituo cha Wasafi Media Mkongwe Profesa Tibaijuka amekiri wazi kuwa historia ya Tanganyika ameficha mchango wa Bibi Titi na Oscar Kambona. Amesema kulikuwa na kutokuelewa na Mwalimu...
Mwaka 2025 ni mwaka wa ukombozi wa Umma .
Tundu lissu na CHADEMA itashinda kwa imani kwamba yatafanyika yafuatayo:-
1.Tundu lissu ataimarisha umoja chamani , kuongeza wanachama hai na kuwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.