Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Naibu waziri mkuu na waziri wa Nishati anatuambia nchi Ina umeme wa ziada, Cha ajabu kukatika kwa umeme kupo pale pale. Huku Arusha wilaya ya Arumeru halmashauri ya Meru tangia usiku mpaka sahizi...
1 Reactions
5 Replies
334 Views
Kwanza nitoe pongezi kwa viongozi wote waliochaguliwa na kuteuliwa katika uchaguzi huu wa CDM 2025 . Pili mwaka huu ni mwaka wa Uchaguzi mkuu , pesa zinahitajika sana na adhani hutuna uhakika...
16 Reactions
43 Replies
665 Views
Baadhi ya vijana wa UVCCM kutoka mkoa wa Kilimanjaro wameeleza kutoridhishwa na uteuzi wa Rais na Makamu wake kwa mwaka 2025. Kauli zao zinaonyesha kushangazwa na sababu za kutekelezwa kwa...
5 Reactions
52 Replies
2K Views
Wakuu, Januari 21 ulifanyika Uchaguzi Mkuu CHADEMA kwenye nafasi ya Mwenyekiti na Makamu Wenyeviti kwa Bara na Zanzibar, ambako Lissu alitangazwa kuwa Mwenyekiti mpya CHADEMA, siku hiyo pia...
6 Reactions
31 Replies
2K Views
Nimemuona Lissu anawashambulia sana akina Halima Mdee na wenzake badala ya kutengeneza Mazingira rafiki ya kurudisha wale Viongozi ambao CHADEMA imetumia muda wake mwingi kuwaandaa, na hasa...
2 Reactions
46 Replies
1K Views
Chama cha ACT–Wazalendo leo tarehe 05 Agust 2020 kinafanya Mkutano wake Mkuu Diamond Jubilee–VIP Hall. #MkutanoMkuuACT2020 #KaziNaBata #TheFutureIsPurple ===== UPDATES ====== #UCHAGUZI2020...
11 Reactions
221 Replies
24K Views
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu, Ndugu Shemsa Mohamed, ameongoza kwa mafanikio matembezi ya kuunga mkono maamuzi ya Chama kwa kuteua Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugu Dkt...
0 Reactions
7 Replies
222 Views
Na Mwandhishi Wetu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt. Hassan Abbas amewahamisisha Wataalamu wa utafiti wa Taasisi ya Utafiti wa Misitu Tanzania (TAFORI), kuandaa miradi mbalimbali...
0 Reactions
6 Replies
221 Views
1:Chaguzi Dodoma vs Mlimani city. Hapa naipongeza chadema kama chama,wajumbe kama watoa maamuzi na wagombea Kwa kuwa kuonyesha utayari wa kupokea matokeo yoyote ambayo wangeyapata. PONGEZI zaidi...
2 Reactions
2 Replies
278 Views
MJEE/MZEE WA MUSOMA. Katika wilaya ya Musoma kuna eneo mashuhuri kwa uvuvi na shughuli za kilimo linaitwa Majita,hili ni eneo linalokaliwa na Wajita kwa sehemu kubwa na Wakwaya ambao pia ni jamii...
7 Reactions
92 Replies
8K Views
Mheshimiwa anaenda Kula uteuzi DC Mbozi kupoza maumivu ya kushindwa uchaguzi
13 Reactions
95 Replies
4K Views
Kahama, Tanzania TANZANITE NI RASILIMALI INAYOPATIKANA TANZANIA PEKEE, HIVYO TUWEZE KUONGEZA THAMANI YAKE https://m.youtube.com/watch?v=TAir66Cw5X8 Sekta ya madini tupo nyuma katika kuongeza...
0 Reactions
5 Replies
221 Views
Ukistaajabu ya Musa hakika utayaona ya Filauni! Kinana (76Yrs) kampisha Mzee Wassira (80Yrs) kwenye nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM.
7 Reactions
29 Replies
654 Views
Msemaji wa Serikali Mh Msigwa amesema kimsingi ATCL inapata Faida kutokana na kusababisha Watalii kuongezeka mara Sugu Msigwa amesema huwezi kupima faida ya ATCL Kwa kuangalia mauzo ya ticket...
5 Reactions
20 Replies
385 Views
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, na Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amesema Serikali tayari imeshanunua treni 10 za mchongoko ambapo treni 8 zimeshawasili na...
1 Reactions
31 Replies
828 Views
▪️Awapatia miradi ya Kiuchumi na kutunisha mfuko wa Kikundi. ▪️Wafanyabiashara wamshukuru kwa kuwajali na kuwaendeleza kiuchumi ▪️Wampongeza Rais Samia kuboresha miundombinu ya masoko Jijini...
0 Reactions
0 Replies
170 Views
Mbowe ameumiza watu wengi sana kwenye hizi siasa za Upinzani safari hii asiruhisiwe kabisa. Mzee Mbowe Kamfukuza Zitto Kabwe Kisha jamaa kaanzisha chama Cha ACT Wazalendo Sasa Kinaongoza Serikali...
15 Reactions
46 Replies
2K Views
Prediction: Huo mkono wa huyo kijana naona kama una ujumbe fulani au hoja kinzani Prediction: Naona mpaka mpambe wa Rais anasubiri amri tu hapo...... Disclaimer: Picha haina lengo la...
19 Reactions
85 Replies
5K Views
Ni kauli ya kushangaza kidogo kama mahakama Haina mamlaka ya kusikiliza kesi hiyo Watuhumiwa mmewapeleka hapo kufanya Nini kwanini wasiende moja kwa moja mahakama yenye nguvu kisheria ya...
8 Reactions
13 Replies
358 Views
Huyu Tundu Lissu ni mwanasiasa mwenye uchu sana na madaraka na ninawasi wasi na jinsi alivyomtuhumu Mbowe kuendesha siasa za maridhiano kama kweli ilitoka moyoni au alitaka kupata uungwaji wa...
2 Reactions
14 Replies
394 Views
Back
Top Bottom