Kwa Mara ya kwanza tangu mfumo wa Vyama Vingi uanze Mgombea Mwenza wa kupigiwa Kura za Wananchi atatoka Tanganyika
Makamu wa Rais wa Sasa Dr Mpango aliteuliwa na kuthibitishwa na Bunge
Dr...
Ikiwa ni wiki moja imepita tangu chama cha mapinduzi CCM kimpitishe Rais Samia kuwa mgombea pekee wa Urais kwa tiketi ya chama hicho na Dr Emmanuel Nchimbi kuwa mgombea Mwenza kwa nafasi ya Makamu...
Leo ni balaa hapa Kivukoni. Foleni na usumbufu mkubwa sana kwa wasafiri na wasafirishaji. Hakuna kiongozi yeyote aliyefika kutatua hili tatizo la vivuko kukwama.
Nashauri, kama Daraja hili la...
Huyu ndiye kinara wa kuharibu matokeo ya uchaguzi mkuu wa Tanzania 2015 , hakuna aliyesahau , alipandikiza watu wake kwenye Tume ya Uchaguzi ili kuwabeba wagombea wa chama chake, aliamuru...
Wakuu,
Hivi badala ya kutumia social media, redio na TV au njia nyingine za kufikia wananchi unaamua kwenda kufanya Marathon kuhamasisha wananchi kushiriki kwenye Uchaguzi?
Vihoja hivi utavipata...
Kuna wakati ninajihoji na kujiuliza kuhusu mfumo wetu wa Haki Jinai najisikia Aibu sana kuwa Mwanasheria .
Ukijiuliza logic ya uwepo wa sheria inayokataza bayana kupelekwa kwa mashtaka Mahakamani...
Mfanyabiashara maarufu mkoa wa Mara na mmiliki wa Mabasi ya Zakaria, Peter Zacharia amepewa dhamana kwa kesi ya kujeruhi watu wawili, kisha kusomewa mashitaka mengine ya Uhujumu uchumi pamoja na...
Taarifa kutoka Mbeya ni kuwa kijana Chaula aliyefungwa miaka miwili jela kwa kosa la kuchoma picha ya Rais Samia, na baadaye kuachiwa baada ya kuhangiwa na wananchi amechukuliwa na watu...
Tarime. Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana CCM (UVCCM) Wilaya ya Tarime, Godfrey Francis atapandishwa kizimbani muda wowote leo Julai 2, 2018 baada ya kukamilika kwa mahojiano na polisi.
Francis...
Naona mambo yanazidi kunoga tu!
===============
Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Iringa kimeonya vikali watu wanaobeza maamuzi ya Mkutano Mkuu wa chama hicho ya kuwateua Rais Dkt. Samia Suluhu...
Ni Imani yangu Deus Soka na wenzake kadhaa waliotekwa katika Mazingira yanayofanana kabisa na Ule utekwaji wa Wana wa Israel watapatikana wakiwa Hai
Hadi sasa Hamas imeshawaachilia Wana wa...
Leo katika uwasilishaji wa bajeti ya Wizara ya nishati na Madini Mama Salma Kikwete alimpongeza Waziri January Makamba kwa kutoa zawadi ya mitungi 100 ya gesi kwa kila Mbunge sintofahamu ikaanza...
Mama Salma Kikwete akichangia bajeti ya nishati na madini leo, alimpongeza January Makamba kwa kuwapa kila mbunge mitungi ya gesi 100.
Lakini baada mwisho wa section ya spika akasimama kutolea...
Mmiliki wa Mabasi ya Zacharia, Peter Zacharia anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kuwapiga risasi maafisa wa Idara ya Usalama wa Taifa wakiwa katika kutimiza majukumu yao.
Habari zaidi...
Hongera TUNDU LISSU, safari ya kwenda Ikulu ianze sasa.
Mbinu za maangamizi;
1. Mobilization ya vijana hasa wapiga kura ianze kwa haraka sana.
Hii ni pamoja na kuandikisha wanachama wapya...
Napenda tu kuwakumbusha watawala wa Tanzania kuwa mambo yanaposhinda si vibaya kutaka msaada wa kiakili kutoka nchi zilizofanya vizuri.
Nasema hivi kwa maana naona gap kubwa ya uongozi mzuri...
Wanabodi,
Kama ambavyo huwa ninajinasibu humu kuwa, japo mimi nina chama, ila sina mtu, kwenye mazuri napongeza, na kwenye mabaya nakosoa, hili ni Bandiko la Pongezi Kwa Mbunge wa Mtera, Mhe...
ASKOFU wa Dayosisi ya Karagwe ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk. Benson Bagonza amechambua ushindi wa Tundu Lissu na kushindwa kwa Freeman Mbowe kwenye uchaguzi wa Mwenyekiti...
CHADEMA wa Kata ya Segerea mkoani Dar es Salaam, Kitomary Steven, amekanusha vikali madai yaliyoenezwa mtandaoni kwamba amepanga kumvua uanachama John Mrema, Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.