Baada ya uchaguzi huru na wa haki ulochukua siku mbili mfululizo na kutoa matokeo ambayo yameushangaza ulimwengu na kuiacha CCM hoi, kazi ilobakia kwa Chadema ni kujijenga uzuri na kuhakikisha...
Niaje niaje................wajumbe kama wajumbe ........kikao chetu sisi pia rangi ya mbilimbi mbichi kilikuwa viral 🤣 pia yaani kitu cha globalist................hebu ncheke kwanzaaaaaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Katika uhalisia ndani ya taifa mgombea wa chama tawala ndio anajiundia tume mwenyewe hii sio demokrasia wakati nchi inawagombea zaidi ya mmoja na inamfumo wa vyama vingi vya siasa na ina wataalamu...
Wale waliokuwa vijana wa Mbowe ndani ya Chadema. Sasa nadhani ni bora kurudi katika chama. Wakubali kuwa Mbowe muda wake ulishapita. Kila zama na nabii wake.
Sasa wawekeze nguvu nyingi...
BAADHI YA VIONGOZI WASHIRIKINA WENYE MACHO YA KICHAWI NDIYO VYANZO VYA UDUMAVU WA UTAWALA BORA NCHINI .
Nakumbuka Tarehe 02/01/2025
Askofu Mkuu
Jimbo katoliki la Dar es salaam
Baba Mhashamu...
A Vision for Electrifying 300 Million Africans: A Message to President Dr. Samia Suluhu Hassan on Harnessing Energy Resources for Sustainable Development
Your Excellency, President Dr. Samia...
Kila Kona mazungumzo ya Chadema ni kulalamika tu kwanini Mkutano mkuu wa CCM umefanya uteuzi wa kushtukiza wa Mgombea uRais na makamu wake
Nawakumbusha tu Chadema Siasa ni Sayansi 😂😂
2030...
Wakuu,
Wassira amesema wanaoesema hakuna kilichofanyika kwa miaka 60 ya uhuru wanatakiwa kusamehewa kwani hawajui walisemalo.
Amesema zamani kulikuwa na barabara tatu pekee Dar -Moro, tanga...
Nyerere alikuja mjini hata kiswahili hajui vizuri ila nyota ikamuangukia wazee wakamuamini wakampa nchi,
Mwinyi aliambiwa achukue fomu kama geresha tu za kisiasa,baadae akaambiwa aondoe jina...
REFORMS za Tundu Lissu endapo Atashinda;
Moja, kufanya reform ya katiba ya Chadema na kuweka UKOMO wa atmost 5 years.
Pili, ni kukirudisha chama kwenye HIMAYA ya wanachama. Ownership iwe kwa...
Tanzania Kituo cha Mageuzi ya Nishati: Mkutano wa Nishati Afrika 2025 na Juhudi za Rais Samia Suluhu Hassan
Ikiwa zimebaki siku 29 kuelekea Mkutano wa Nishati wa Wakuu wa Nchi za Afrika, Tanzania...
Waziri wa Afya nadhani umeona kauli ya RC. Naamini huo siyo msimamo wa CCm na serikali yake. Wewe kama Waziri mwenye dhamana unapaswa aidha kukemea au kuweka taarifa sawa la sivyo haya maelekezo...
Watanzania wamesikia kauli ya mkoa wa Dar, Albert Chalamila kuwa, mjawazito atawajibika kuchangia matibabu na akishindwa aende akajifungulie nyumbani. Japokuwa imetolewa kwa kebehi lakini ni kauli...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Balozi Khamis Sued Kagasheki kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Parole kuanzia tarehe 18 Aprili, 2023.
Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imeongeza urefu wa mtandao wa barabara za lami za mikoa na wilaya kutoka kilomita 13,235.1 mwaka 2020 hadi 15,366.36 mwaka 2024...
Naam, hili wala halina ubishi. Katika watu ambao hawawezi kukwepa lawama katika kuvuruga chama cha Mapinduzi na hatimaye kuiweka nchi katika sintofahamu na kupelekea nchi kukosa muelekeo ni huyu...
Mmiliki wa mabasi ya ‘Zacharia’, Peter Zacharia, Juni 30, 2018 alishikiliwa na vyombo vya dola mkoani Mara kwa tuhuma za kuwamimini risasi maofisa wa Idara ya Usalama wa Taifa waliodai walikuwa...
Rais Samia amefurahishwa na kuendelea kuhimiza jamii ya Watanzania Kuunga mkono juhudi alizozianzisha za Matumizi ya Nishati Safi.
Akizungumza huko Namtumbo wakati wa uzinduzi wa Shule ya...
Wakuu,
Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Stephen Wassira mkoani Dar yanaendelea wakati huumkoani Dar es Salaam January 26, 2025.
Wacha tuone nini watatuchia na neno gani leo Jumapili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.