Wakuu,
Leo akiwa anazungumza, Rais Samia amesema kuwa kuna wale wafanyabiashara ambao wakitakiwa kutoa kodi wanasema kuna maelekezo kutoka juu.
Rais Samia amesema kuwa kwa Tanzania, uongozi wa...
Wanabodi kuna sehemu nimekuta watu wanaponda kuteuliwa kwa mzee wetu Wassira katika nafasi nyeti ya chama
Nikajiuliza vipi unaweza kupata kijana mwenye maono ya kuwa kiongozi,ikiwa wote fikra...
Salaam Wakuu,
Sasa nataka kuona hii ngoma Membe ataichezaje.
Bernard Membe
Baada ya Mahakama kuu ya Tanzania, masijala kuu Dar Es Salaam kumtaka Cyrpian Musiba kumlipa Bernard Membe TZS 9.9...
Wakuu,
Leo mbali na kuwa ni Uchaguzi Mkuu wa CHADEMA pia wanasherekea Miaka 32 ya CHADEMA kupata Usajili wa Kudumu, ambapo ulipatikana Januari 21, 1993...
Cyprian Musiba akipata kuwa mshirika mkubwa wa propaganda za Magufuli akimiliki vyombo vya habari kama vile magazeti vilivyokuwa vikimpigia debe Magufuli.
Leo Musiba amegeuka kuwa mwiba kwa...
UHURU WA MAHAKAMA
Kwako Ibrahim Juma , CJ.
MH. JAJI MKUU NAOMBA UPITIE UONE KAMA KUNA HAJA YA KUIGA MFANO HUU WA MAHAKAMA HURU
Jaji wa Mahakama ya Wilaya ya Marekani, John Coughenour, ametoa...
MFANYABIASHARA MAARUFU MOHAMMED DEWJI APATIKANA AKIWA HAI
Amepatikana akiwa ametelekezwa kwenye viwanja vya Gymkhana
Baada ya kutekwa, Gari la watekaji liliendeshwa kwa kasi sana na kwenda...
Mimi si muumini wa siasa za CCM, nilichukizwa zaidi na CCM ya Magufuli kuliko utawala wowote ule.
•Mambo ya watu kuishi kwa kutegemea uchawa Tanzania tulikuwa hatuyajui lakini kwenye utawala wa...
Kuna ujanja fulani unafanywa na CHADEMA Ili waendelee kutrend hata baada ya uchaguzi wao
Kwa mfano mwanzoni tu mwa Mkutano wa Nishati wa Dunia Katibu mkuu wa CHADEMA Mhe. mnyika akaitisha Press...
Rais Samia Suluhu Hassan akipokea Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali na Ripoti ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa, ametoa agizo la kusimamishwa Mkurugenzi Mkuu wa Bandari(TPA)...
1. Natazama Mkutano wa Africa Energy Summit mawaziri toka Zambia, Nigeria, Ivory Coast, Afrika Kusini na Kenya wazee tupu.
2. Vijana wapo bize wanabet wengine wanapakazana uchafu tu. Inasikitisha
Haya maneno yamekuwa yakisikika sana midomoni mwa Wanasiasa wakubwa na wadogo.
Kuna mahali watu wanayachanganya wengine kwa kujua na kutokujua.
Wadau wa siasa za Tanzani tujitokeze hapa angalau...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amesema Watu wenye umri wa miaka 40 au zaidi na hawana hela hawapaswi kumlaumu Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwakuwa Watu hao...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema kuwa Mpango Mahususi wa Kitaifa kuhusu Nishati (National Energy Compact) uliozinduliwa leo unalenga kuwiwezesha...
Akiongea asubuhi hii kupitia television ya ITV mkuu wa mkoa wa dar es salaam ndugu Albert chalamila amesema kuwa wamewakamata wakuu kabisa wa madawa ya kulevya aina ya heroin baada ya kukamata...
Mtangazi wa kipindi cha Jana na Leo cha Wasafi FM Oscar Oscar amezugumza pointi nzuri sana, kuliko wale machawa wakina Kitenge kufika hatua ya kuimba hadi nimbo za CCM mbele kwa mbele...
Tundu Lissu akizungumza na BBC Swahili kuelekea Uchaguzi wa ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa uliofanyika Januari 21, kuhusu mabango na tofauti ya Kenya na Tanzania...
Benki ya Dunia imesema ipo tayari kutoa mitaji, dhamana na usaidizi wowote ili kuhakikisha Sekta binafsi inakuwa kipaumbele hususani katika kuwasaidia Vijana wa Afrika kufikia ndoto zao na maono...
Kuna hizi habari kwamba Mfanyabiashara Mohamed Dewji ametekwa leo asubuhi maeneo ya Collosium Gym , Oysterbay alipokuwa ameenda kufanya mazoezi..
Mwenye habari kamili atujuze.
======
UPDATES...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.