Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Zoezi la kusitisha uvuvi kwa muda katika ziwa Tanganyika limeongeza uzalishaji wa samaki kutoka tani 4,700 mwaka 2023 hadi zaidi ya tani 15,000 mwaka 2024, likitoa fursa za ajira na viwanda vya...
0 Reactions
0 Replies
110 Views
Nimesoma Nipashe Kwamba Mizigo ya Wajumbe wa Chadema imezuiliwa mahotelini Hadi madeni yote yalipwe Sasa Freeman Mbowe na rafiki zake waligharamia Mkutano mkuu upi? Jumaa Mubarak πŸ˜‚ Nimekaa pale 🐼
8 Reactions
100 Replies
3K Views
Tanzania tubadili mfumo wa elimu uendane na mazingira ya sasa. Tuwekeze zaidi elimu kwa vitendo kuliko kukariri. Leo nikiwa mkoani Mwanza nimeenda shule flan kufuatilia tender , kwa bahati mbaya...
0 Reactions
1 Replies
141 Views
hapa Ubalozini (Washington DC) hatupati ushirikiano wa enzi zile za Awamu ya 4 maana kila mtu anatetemeka tu sijui ndo nn Tuajirini sisi Diaspora muone damu mpya na mawazo mapya katika utendaji wa...
8 Reactions
322 Replies
38K Views
Serikali inayofanya kazi https://www.youtube.com/live/yosk_mQCWz4?si=iszIUWOsKRLtKyqz
0 Reactions
1 Replies
126 Views
Ndugu zangu wa Kaskazini kununa hakutusaidii chochote maji ndio yameshamwagika Tushukuru Mungu Lema bado yuko Kwenye game anawakilisha Mlale unono πŸ˜€
2 Reactions
11 Replies
378 Views
Ukiangalia vizuri kabisa katika picha hii jicho la kiroho ,utagundua kuwa kuna mengi sana yaliyojificha nyuma yake. Pengine ndio root ya kilichofanyika Dodoma.
6 Reactions
13 Replies
1K Views
Na Mwandishi Wetu -Asema Tanzania inaingia kwenye historia nyingine ya kuwa mwenyeji wa Mkutano mkubwa wa Marais wa Afrika -Atoa taarifa ya kufungwa kwa baadhi ya barabara siku chache ambazo...
0 Reactions
6 Replies
284 Views
Na Mwandishi Wetu KATIBU MKUU WAZAZI ALLY HAPI AWATAKA VIONGOZI KUTOA USHIRIKIANO KWA MBUNGE KATAMBI. KATIBU Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi CCM Taifa, Ndugu. Ally Salum Hapi (MNEC) amewataka viongozi...
0 Reactions
0 Replies
121 Views
Na Mwandishi Wetu Gombati amesema hayo jana Januari 24, 2025 Mkoani hapo alipokuwa akifungua mafunzo ya wataalam hao kunolewa kuelekea kampeni hiyo itakayotekelezwa katika Halmashauri zote za...
0 Reactions
0 Replies
118 Views
Huu utendaji wa mazoea mazoea ulikua umeisha kabisa kipindi cha Hayati Magufuli naona sasa umerudi , mtu anaingia ofisini kitu cha kupitisha kwenye mfumo ata login kisha atakua anaitizama kompyuta...
1 Reactions
4 Replies
197 Views
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Katibu Mkuu mpya wa Chadema atatangazwa mchana huu Bado haijajulikana ni nani hasa, japo kuna Majina kadhaa yanatajwa. Juhudi zangu za kulazimisha...
25 Reactions
145 Replies
7K Views
Dar es Salaam, aliyekuwa Mwenyekiti wa bodi ya wadhamini Chadema, Arcado Ntagazwa amezikwa nyumbani kwake Kimara jijini Dar es Salaam huku sababu ya kifo chake ikielezwa kuwa ni changamoto ya...
3 Reactions
41 Replies
7K Views
Kuna kero ya maji sana na Dawasco hawasemi chochote hakuna taarifa rasmi wala maelezo. Kuna namna watendaji wa chini wa serikalini wanafanya kazi kimazoea hii hali iliisha kipindi cha Hayati Magu...
0 Reactions
1 Replies
87 Views
Mbunge Lusinde atangazwe shujaa Afrika kama kijana mtaka mabadiliko ya wabunge kumpiga chini Waziri Mkuu Malecela mwenye Cv kibao na Pesa Malecela Livingstone Lusinde darasa la saba alimbwaga...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Ameandika Mrema kupotia ukurasa wake wa X, "Nimejulishwa na mwenyekiti wa tawi langu, ameagizwa anifute uanachama kabla ya kesho ili kama nitaendelea na nia yangu ya kuzungumza na vyombo vya...
21 Reactions
137 Replies
6K Views
Katika kutazama formation ya Chadema, Moja ya udhaifu mkubwa walionao ni kukosa uenezi hasa wa kazi zao za siasa. Hii kurugenzi ilivyo, imekaa zaidi kitechnocrat badala ya kukaa kisiasa zaidi...
0 Reactions
4 Replies
276 Views
Kuna habari inaenea kwamba uchaguzi wa wajumbe wa kamati kuu umeshindikana sababu hakuna pesa. Bajeti ya kuendesha uchaguzi huo ni million 50 lakini uongozi mpya wa Lissu hizi pesa kidogo...
4 Reactions
155 Replies
4K Views
Najiuliza tu, huyu mzee hana familia? Maana mahakamani yuko peke yake tu, hana ndugu, wala mtoto au mke anayeonekana kuja kuntembelea au kufuatilia kesi yake. Dk Slaa alikuwa anatuna mitandaoni...
2 Reactions
28 Replies
1K Views
Mwenyeketi wa CHADEMA, Tundu Lissu amesema wao kama chama kikuu cha upinzani hawamutegemea Steven Wasira kwa ajili ya mabadiliko bali watapambana na Rais na serikali. Hakika CHADEMA ilichelewa...
27 Reactions
98 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…