Sio tu Tanzania Duniani kote huwa kikifika kipindi cha uchaguzi wanasiasa wanatafuta ukaribu sana na wasanii na viongozi wa kidini maana ni makundi yenye ushawishi kwenye Jamii.
Wafanyabishara...
My friends, ladies and gentlemen!
Rushwa inatembezwa kwa wajumbe wa mkutano mkuu wa Chadema Taifa kama njugu, bila aibu au kificho.
Hakuna upande unaogombea uongozi, wa kukemea upande mwingine...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira, amesema kauli mbiu ya "No Reform, No Election" haina maana yoyote kwa sasa, akisisitiza kuwa muda wa kufanya mabadiliko ya kisheria...
Nyerere hakupenda Kabisa tabia za kukurupuka kama zilizoonyeshwa na Kibajaj mkutanoni
Uzuri wa CCM ya sasa hainaga mambo mengi tofauti na kile Chama Cha mitandaoni
Mlale Unono 😀
Sijui kwanini familia ya Mzee Wasira wameruhusu hili la kuendelea na siasa. Kuna umri mtu unafikia familia ndiyo inatakiwa kufanya maamuzi na umri huo ni wa mzee Wasira.
Huyu ni mzee ambaye...
Lissu na kundi lake wakati wa Korona walifikiri suluhisho la Korona kwa haraka ni kufanya lockdown. Hivi aliwaza kwa mazingira ya Watanzania ambao wengi ni machinga, kwamba kula yao ni lazima...
"....Kikeke kapigiwa simu toka juu na kuelezwa akatishe haraka kipindi cha Kasri kilichokuwa Mubashara akimuhoji Tundu Lissu ndiyo maana kipindi kimetoweshwa ghafla."
Duru.
Lissu,
Wewe ni msomi na unajua uchaguzi hakukuwa na mshindi bali ilikuwa ni pande mbili ambazo wewe ulimpita mwenzako wa 31 votes almost.
Sisi tunaona ni muda sasa wa ushindi, mtafute Mbowe na...
Wakuu,
Wabunge wameshaanza maigizo na mazingaombwe kuelekea uchaguzi mkuu 2025, wengine wanapanda baskeli, wengine wanaenda kula kwa mama ntilie, wengine wanapaki viete na kuingia na maguta...
Nimefurahishwa na mabadiliko ya mfumo wa ufanyaji kazi baina ya serikali kupitia Temesa na azam marine kupitia bidhaa yao ya azam tax ferry.
Azam walipata dili la kuvusha watu pale ferry kwenda...
Wakili Peter Madeleka amedai mahakamani hapo kuwa dhamana ni haki ya mtuhumiwa kifungu cha 148 (5) kimeweka masharti yanayoweza takapelekea mtuhumiwa kunyimwa dhamana .
Amedai kuwa Dk. Slaa...
KWANINI NI MBOWE NA SIO LISSU NA KWANINI CHADEMA HAIFI?
Mchakato wa Uchaguzi wa Chama Taifa umeanza, na tayari Makamu Mwenyekiti wa Chadema Taifa Ndugu Tundu Lissu amejitokeza kutangaza nia nia...
Hakuna aliyekugusa wala kukusemesha ila nafsi yako inakusuta.
Kwanini ulikuwa ukitoa taarifa nyeti za wanachama?
Ulijisikiaje wengine mpaka leo hawajulikani walipo? Wengine ndiyo kama vile tena...
NBC ilipogawanywa na Kuzaliwa Benki mbili NBC na NMB zilipigwa kelele nyingi Sana
Lawama nyingi zikamwendea mtemi Chenge akiwa AG wakati huo
Leo NMB Ndio inaongozwa kwa kulipa Kodi TRA
Kongole...
Akihojiwa na Wasafi Tv, bi Tibaijuka pamoja na mambo mengine amedai tabia ya kufichwa kwa Historia nzuri ya baadhi ya wapigania Uhuru wa Nchi yetu ni kwa sababu ya ushamba na woga wa kuwapatia...
Ikitokea akakubali ushauri wa wazee wa Singida eti agombee Ubunge kwenye miongoni mwa majimbo yaliyomo mkoani Singida, Tundu Lisu atashidwa vibaya mno ikiwa atagombea Urais wa Tanzania, huku...
Kuna msemo unaosema no one knows tomorrow!
Lissu kaja na mapendekezo mazuri sana kuhusu mchakato wa mabadiliko ya Katiba kuelekea Uchaguzi Mkuu.
Mapendekezo ya Lissu ni Bunge kuongezewa muda...
Tundu Lissu amesema "Sheria zetu za Uchaguzi ni mbovu, haziwezi kurekebishika zinahitaji kuandikwa upya na , tutazuia Uchaguzi kwa maandamano"
Soma, Pia: Wasira: Hoja ya Chadema kutaka Katiba...
1.Mbowe ana uwezo wa kutumia mbinu tofautitofauti katika kupigania mabadiliko,Kwa kifupi hakuna kipya ambacho atafanya Lissu Mbowe hajakifanya,kama ni kugomea Uchaguzi Mbowe alifanya 2019,kama ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.