Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

My friends, ladies and gentlemen, Kuuna hali ya wazi kabisa ya kukata taamaa na kupoteza matumani na uelekeo kwa upinzani nchini, hasa baada ya chama tawala CCM kumteua Stephen Wasira kama Makamu...
0 Reactions
15 Replies
572 Views
Kusalimisha Diplomatic Passport yake haraka iwezekanavyo. Yeye sio signatory tena wa Chama pesa zinazoingia na kutoka hana access nazo tena. Popote pale duniani au mbinguni wakiitwa viongozi wa...
44 Reactions
124 Replies
6K Views
Ifwatayo ni orodha ya walipa kodi wakubwa ikihusisha taasisi za serikali, wizara na mashirika ya serikali. Je kama ni walipa kodi wakubwa ni nini maana yake? Wana manunuzi mengi wanayolipia...
1 Reactions
94 Replies
17K Views
Asalaam aleykum, Nianze moja kwa moja, historia hii ya kuama vyama na kwenda kwingine siyo hadithi ngeni, hata Makamu mwenyekiti CCM, bara aliwahi kuwepo chadema kwa mapumziko, na ilipo fika...
2 Reactions
11 Replies
454 Views
Wakuu, Tunaposema kwamba CCM wameanza kampeni kabla ya muda elekezi hii ndio maana yake. ========================================================= Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Christian...
0 Reactions
19 Replies
453 Views
Wakuu Salam, Naanzisha uzi huu maalum kwaajili ya kupata matukio yote ya kiusalama kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025. Tunajua mambo mengi hutokea na kashkash huwa nyingi, hivyo uzi huu utatumika kama...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Madeni a ahadi yanayodaiwa mbunge wa Moshi Mjini. Kumbukumbu kwa Katibu wa CCM, Frida: Tunaomba ufanye juhudi za kumsaidia Mbunge wetu kumaliza madeni yake ili tusikumbane na changamoto wakati...
1 Reactions
6 Replies
284 Views
Jumanne wiki hii ndani ya ofisi za chama cha mapinduzi(ccm) moshi mjini,kulitokea tukio ambalo siyo la kistaarabu pale kada wa chama hicho,Ibrahim Shayo a.k.a Ibraline alipomporomoshea matusi...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Hali si swari ndani ya chama cha mapinduzi(CCM)jimbo la moshi mjini ambako kada wa chama hicho na mtia nia wa kiti cha ubunge hapo mwakani kumporomoshea matusi mstahiki meya wa Manipsaa ya...
0 Reactions
4 Replies
486 Views
MBUNGE WA MOSHI AWA GUMZO MITAA YA MIEMBENI UTANGULIZI Katika hali isiyo ya kawaida Mbunge wa Moshi Mjini Mhe. Priscus Tarimo amekuwa gumzo katika mitaa mbalimbali ya Miembeni na Njoro baada ya...
0 Reactions
4 Replies
459 Views
MAPYA YAIBUKA MOSHI, NI BAADA YA MBUNGE KUSHITAKI BENDI YA POLISI Katika hali isiyo ya kawaida, Priscuss Tarimo ambaye ni Mbunge wa jimbo la Moshi Mjini amewashtaki watumbuizaji wa bendi ya Chuo...
3 Reactions
14 Replies
985 Views
Wakuu, Nimeangalia tu kwa angle nyingine, nafasi zile 19 ingekuwa ni kwaajili ya wanaume, unadhani wasingeenga wakamdindishia anko Magu? Wakina Halima huenda walikosea kwa kwenda wenyewe bila...
0 Reactions
23 Replies
448 Views
CHADEMA ingeweka utaratibu hawa viongozi wa kuteuliwa wanaolipwa mshahara Uongozi unapobadilika wabakie walau kwa miezi 6 kabla ya kuwaondoa Fikiria mtu kama Mrema au Kigaila wataishije mtaani...
1 Reactions
5 Replies
533 Views
Jana nilikwenda kumsalimia ndugu yangu Kibamba nikasikia kwenye gari la kampeni za uchaguzi serikali za mitaa gari lilikuwa la chadema. Kuna baadhi ya chenja wametohoa na wanazipiga katika gari...
1 Reactions
55 Replies
923 Views
Wakuu, Majirani zetu nchini Rwanda tayari wametuonyesha kwamba inawezekana kubadilisha hali ya siasa inayowabagua wanawake. Wamefanikiwa kufikia asilimia 63.75 ya wabunge wanawake katika nchi...
1 Reactions
14 Replies
351 Views
Nimekumbuka miaka ile aliyekuwa Katibu Mkuu wa CCM, Horace Kolimba aliposema CCM imekosa dira Historia imejirudia,ila sasa wameitwa makatibu wakuu wawili,Makamba na Kinana wakajieleze Mh...
6 Reactions
106 Replies
17K Views
Serikali imeimarisha sekta ya madini kwa kuweka mazingira wezeshi ili kuwavutia wawekezaji wa ndani na nje ya nchi. Katika kipindi cha miaka minne, Serikali imedhibiti na imesimamia uchimbaji wa...
0 Reactions
0 Replies
101 Views
Serikali imeendelea Kuboresha Mipango Miji na Vijiji kwa maendeleo ya nyumba na makazi Kupitia programu ya Kupanga, Kupima na Kumilikisha (KKK). Program hiyo imeweza kupima viwanja 538,429 katika...
0 Reactions
0 Replies
85 Views
Baada ya Uchaguzi wa ndani wa Chadema Wadau kadhaa wameeleza namna walivyoshangazwa na ukomavu wa Freeman Mbowe. Sina haja ya kuongeza chumvi, zaidi someni wenyewe.
3 Reactions
16 Replies
371 Views
Halmashauri ya Jiji la Tanga imetoa zaidi ya shilingi bilioni 2.6 kwa vikundi 315 ikiwa ni mikopo ya asilimia 10 ya mapato ya Halmashauri ambayo ni mpango wa serikali wa kuinuia wananchi wake...
0 Reactions
0 Replies
129 Views
Back
Top Bottom