Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Mwaka 2010, Tundu Lissu aligombea kwa mara ya kwanza nafasi ya ubunge wa Singida Mashariki kwa tiketi ya CHADEMA akiwa na umri wa miaka 42. Mgombea wa Urais wa CHADEMA alikuwa Dr. Wilbrod Slaa na...
35 Reactions
48 Replies
2K Views
Pichani: Juu ni wageni wa Chadema na chini ni wageni wa CCM. Tafakari!
14 Reactions
13 Replies
726 Views
Waziri Kitila Mkumbo akihojiwa na Wasafi FM amesema kuwa Boniface Jacob hana uwezo wa kumshinda katika Ubunge jimbo la Ubungo. Anatia huruma sana, Hata kushinda kura za maoni ndani ya chama chake...
0 Reactions
1 Replies
263 Views
Ndugu zangu Watanzania, Nikiri wazi kuwa sijawahi kufikiria wala kuwazia wala kutizamia wala kuota wala kutarajia wala kuona Eti Lissu akichukua Fomu ya Kuomba Kuongoza CHADEMA kama Mwenyekiti...
10 Reactions
336 Replies
4K Views
Huyu mwamba alipaswa kuwa Bungeni ili awe bize kujadili mambo ya Bungeni. Asahau mengine. Huku kukaa nje ya Bungeni kumemjenga Sana. 2025-2029 veggies tujipange
7 Reactions
9 Replies
454 Views
Nimefatilia sana nikaona Saikolojia ya Waandishi wa Habari yaani vile wanavyojisikia pindi wawapo na mazingumzo au mahojiano na Mwenyekiti Wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Mh Tundu Antiphas...
1 Reactions
1 Replies
148 Views
Wakuu, MBUNGE WA ARUMERU MAGHARIBI - Noah Lemburis Saputi Mollel Chama: Chama Cha Mapinduzi (CCM) Elimu: Shule ya Msingi Olturumet (1986) CSEE, Shule ya Sekondari Ilboru (2012) Cheti cha...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Chama cha Demokrasia na Maendelea kimefanya uchaguzi wa kumpata Mwenyekiti wa Chama Taifa, licha ya chaguzi zingine kufanyika ndani ya Chama ila mafahari hawa wawili walitikisa anga la Siasa ndani...
1 Reactions
3 Replies
328 Views
Nimepenyezewa taarifa jana usiku na mdau wangu kwamba Lema ndio anaye shinikiza na pia hadi kuratibu ba kutoa orodha ya wanachama wa kufukuzwa ndani ya Chadema hasa wale ambao alikuwa haelewani...
2 Reactions
32 Replies
1K Views
Kama kichwa cha habari kinavyosema wakuu. 1 John Joseph Pombe Magufuli a.k.a JIWE R.I.P jiwe waliokuchukia wapo hoi bin wa taabani. 2 Kim Jong UN 🔥🔥🔥🔥🔥 3 Vladimir Putin 🔥🔥🔥🔥 4 Ibrahim...
6 Reactions
39 Replies
981 Views
Tanzania = Tanganyika + Zanzibar 🙏 • Mke wa Mwl, Julius K. Nyerere, Maria Nyerere. • Wake wa Ali H. Mwinyi, Sitti na Khadija Mwinyi. • Mke wa Benjamin W. Mkapa, Anna Mkapa • Mke wa Jakaya M...
18 Reactions
141 Replies
8K Views
TAARIFA KWA UMMA Wizara ya Elimu iwache kuwatumia wanafunzi katika shughuli za CCM ACT Wazalendo tunalaani vitendo vinavyoanza kushamiri kwa kasi vya kuwashirikisha wanafunzi katika shughuli za...
3 Reactions
6 Replies
509 Views
Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (MSLAC) imezinduliwa rasmi tarehe 24 Januari 2025 katika mikoa sita ya Tanzania, ambayo ni Kigoma, Geita, Kilimanjaro, Tabora, Katavi, na Mtwara...
0 Reactions
7 Replies
247 Views
HIZI NDIZO KAZI ZA SERIKALI YA KISASA https://x.com/urtupdates/status/1882732188799799422
3 Reactions
2 Replies
80 Views
Leo huko DODOMA wametangaza rasmi wagombea wa CCM wa nafasi ya rais wa JMT na rais wa Zanzibar. Kama mnavyojua kwenye siasa hakuna kitu cha bahati mbaya, ni dhahiri huo mpango wa kumpitisha Samia...
85 Reactions
252 Replies
14K Views
Dada Catherine, wee ni Moja ya Wanawake makini, wachapa Kazi ,wawazi, na Wafia chama ,majasiri na makini. Inawezekana ni kupitiwa tu na ushawishi , Binadamu tunakosea. Ninaamini Kwa Kariba yako...
4 Reactions
11 Replies
773 Views
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema maeneo yanayopata mvua za chini ya wastani hadi juu ya wastani yanatarajiwa kuwa na matukio ya hali mbaya ya hewa, kutokana na mabadiliko ya hali ya...
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Wakuu, CCM soon inaelekea kutimiza miaka 50. Lakini kuna mambo ndani ya chama hicho bado haya-make sense kabisa. Kwa hivi karibuni, huko Dodoma kulikuwa na tukio la kumsimika Steven Wasira kama...
0 Reactions
5 Replies
196 Views
Amani iwe nanyi wana wa MUNGU Leo nikifatilia kongamano la Ekaristi takatifu nimemuona baba Padre Kitima akiwapandisha madhabahuni katibu mkuu wa CCM Dkt. Emmanuel Nchimbi, Katibu Mkuu wa CHADEMA...
19 Reactions
119 Replies
7K Views
Wakuu, Nimekaa nimetafakari sana Tundu Lissu ataiongozaje CHADEMA wakati anaishi Ubelgiji? Mke wake anafanya kazi huko na watoto wake wanasoma huko sio rahisi kuondoka kawa ghafla sasa huyu...
9 Reactions
143 Replies
3K Views
Back
Top Bottom