Wakuu,
Akiwa anazungumza kwenye hafla ya utoaji wa tuzo za walipa kodi Makamu Mwenyekiti wa Wamaching Tanzania amedokeza kuwa kwa niaba ya wafanyabiashara wadogo wanamuunga mkono Rais Samia...
Unaweza ukawa ni mvutano mpya kuhusu Katiba kati ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), baada ya Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara, Stephen Wasira, kusema kuwa...
Dkt. Willbroad Slaa tayari amefikishwa kwenye chumba cha Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam kwa ajili ya kusikiliza maombi yake aliyowasilisha Mahakamani hapo.
Soma, Pia...
Ninashangaa sana wanaomkazania na kumpa chepuo mgombea urais wa chama cha mapinduzi mpaka inafika wakati unajaribu kuhoji uwezo wa akili zao.Leo hii Tanzania imefikia hatua CCM hata wakimsimamisha...
Wajumbe ndiyo Kada usiyopaswa kuiamini japo kwa 10%.
Kada hiyo ndiyo yenye uwezo wa kukuua kwa shinikizo la damu endapo afya yako ni mgogoro.
Wajumbe ni watu ambao wao neno lao huwa ni moja...
Hii combination hata CCM wanaomba isitokee. Sina haja ya kuandika wasifu wao kwa kirefu maana sifa zao zinajulikana, Lissu hakopeshi, Heche jasiri, Lema mwanaharakati na hana bei, Mnyika anakijua...
Kuna watu wameanza kuleta hoja yakumtuhumu Mhe. Bashungwa kwamba ametoa uraia kwa wachezaji wa Singida. Nikiangalia aliteuliwa lini na toka ateuliwe anafanya nini naamini bado hana sahihi yake...
Zab23
Bwana ndiye mchungaji wangu sitapungukiwa na kitu
...nijapopita katika bonde la mauti sitaogopa.
Yeremia 17:5
Amelaaniwa yule amtegemeaye mwanadamu
Of all the people ndani ya chama cha mapinduzi eti CCM wanamleta Stephen Wassira. Mzee wa miaka 80 eti awe ndiyo makamu mwenyekiti wa chama hicho. Hili ni jambo la kustaajabisha sana kwa viwango...
Jopo la Mawakili wanaomwakilisha Dkt.Wilbrod Slaa kwenye Kesi ya Jinai Namba 993 ya Mwaka 2025 wamewasilisha maombi mawili kwenye Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, ambapo ombi la kwanza ambalo...
Kama jibu ndio January Makamba na wenzakewote wenye imani kama yake itawapasa kusubiri mpaka 2040,Makamba atakuwa mzee wa miaka 65+,
Watoto wa 2000 watakuwa na umri kama alionao yeye kwa...
Kuna tuhuma kwamba wachezaji wa mpira wa miguu wa Singida Big Stars wamepewa uraia wa Tanzania kukwepa wasilipe vibali vya kufanya kazi Nchini. Naamini hii ni skendo kubwa na Mamlaka ya NIDA au...
Wakuu,
Rais Samia ashiriki halfa ya Utoaji Tuzo kwa Walipakodi wa Bora kwa Mwaka 2023/2024 leo Januari 23, 2025.
https://www.youtube.com/live/TG_FM-Bmau4?si=bv6zVfSuMokVe-uk
RAIS SAMIA...
JUNI 3, mwaka huu, Mwandishi Wetu, Godfrey Dilunga, alifanya mahojiano kuhusu masuala mbalimbali na Mbunge wa Singida Mashariki (CHADEMA) ambaye pia ni mwanaharakati wa haki za binadamu, Tundu...
Walikuwa mashujaa, sauti za upinzani,
Heche, Lissu, na Lema, majina ya matumaini,
Walilia haki, wakapigania usawa,
Leo wameondoka, mioyo imejaa maswali na uchungu wa ndani.
Ni uchaguzi wa ndani...
1. Rais Samia
2.Dr. Nchimbi
3. Paul Makonda
4. Mrisho Gambo
5. Lucas Mwashambwa
6. @Mtumshi wa Mungu asiyemjua Mungu mama D
7. Crimea
8. Gwajima
9.Job Ndugai
Ziwa Natron linalopatikana Kaskazini Mashariki mwa Tanzania mkapani na Kenya lina chemical materials ambazo ni muhimu viwandani. Ziwa Natron lina sodium carbonate na baking soda zenye matumizi...
Kikao cha 75 cha mkutano wa 59 wa Umoja wa Mataifa kilichofanyika Aprili 16,2021 kilitambua mchango wa kiuchumi kwa taifa la Tanzania na alama za uongozi za aliyekuwa rais wa Tanzania, Hayati...
Akizungumza na wananchama wa CCM mkoa wa Dodoma Wasira amesema kuwa CCM kushika dola na kuongoza ni lazima hii ni kutokana na idaid kubwa ya wananchama walio nao na ambao wanaendelea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.