HATOSHI KWA CHOCHOTE ZAIDI YA UCHOCHEZI:
Lissu ni mtu ambae ukifatilia uwezo wake wa kuwasaidia wananchi kimaendeleo hawezi kabisa lakini kuwachochea na kuwapandikizia chuki dhidi ya serikali...
Wilaya hii makao makuu yake yapo moro mjini kwa kuwa watendaji wengi wa wilaya hii wanakwepa maisha ya dhiki yasiyo stahili kuishi binadamu ndani ya wilaya.
ELIMU:
-Wilaya ya Morogoro hakuna hata...
"....kachanganyikiwa!"
"...hivi anapigia simu watu wake kule CCM mfululizo. Mkubwa mmoja kamshauli aondoke kabla ya kushughulikiwa ili eti kulinda heshima yake. Kaahidiwa mapokezi makubwa siku...
Huo ndio utabiri wa Kada wa CHADEMA na mfuasi wa Mbowe akiwataka wajumbe kutomchagua Tundu Lissu kwani hana hata pesa ya kujiongoza mwenyewe hivyo atawezaje kukiongoza chama chenye mamilioni ya...
Wadau!
Kama kichwa cha huu uzi kinavyosomeka hapo juu.
Swali la kujiuliza 🤔
Kwa nini binadamu aliyeifanyia makubwa Chadema, aliyejenga wasifu wa kipekee na uliotukuka kwenye siasa za upinzani...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe.George Simbachawene amemshukia aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mhe. Freeman...
Mimi siyo mwandishi mzuri sana. Ni msanii wa mjini tu, najua kukuimbisha ukaelewa somo na ukafanya maamuzi sahihi.
Baada ya Mkutano wa Baraza Kuu la CHADEMA kukamilika hapo 22 January 2025...
Kama inavyofahamika kuwa mwaka huu ni mwaka wa uchaguzi mkuu kwa ushauri wa upendo kabisa muanze kujipanga vyema na madudu yaliyojitokeza kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa yasijirudie kwenye...
Katika kuweka chama katika heshima na ubora hatuezi kupuuzia busara za wajumbe.
Wajumbe ni jicho la wanachama!
Wanachama hatuwezi kuendelea kuwakilishwa na walemavu wa ubongo mkutano mkuu wa...
TAHADHARI 1;
Akae pembeni na a behave kama mwanachama wa kawaida tu. Kama alivyosema, aendelee na biashara zake na familia yake kwa Sasa.
TAHADHARI 2;
Ikibidi kushirikishwa jambo ndani ya...
Godbless Lema, Mjumbe Kamati Kuu CHADEMA.
"Kwa sababu mara ya kwanza nilipoona misuguano imekuwa mikali sana nilikuwa natuma nilituma watu wajaribu kumwambia Mhe. Mwenyekiti (Freeman Mbowe)...
Kuna watu uliwaamini kwa dhati ya moyo wako kuwa
Ni
1. Best friends
2. Best family friends
3. Significnt others
akina Lisu, Lema, Heche these three in particular, and a few others.
Si kwa...
Mkurugenzi Mtendaji Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Dkt. Anna Henga amesema Uchaguzi wa ndani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) umefanyika kwa Haki na Uwazi, kinyume na...
Hili ni jambo lililowashangaza wengi, Idadi ya wajumbe kutoka UN, EU, BALOZI ZA ULAYA na AMERICA, ni rekodi ya Africa.
Ushahidi huu hapa
Kama unabisha nionyeshe watu kama hawa waliohudhuria...
Wanabodi,
Kumekucha, Chadema Kazi Imeanza!
Baada ya Mwenyekiti Mbowe kuamua kutetea Uenyekiti wake Chadema, kiukweli hatma ya Tundu Lissu ndani ya Chadema ndio imefika at the end of the road...
ni zaidi ya mara moja sasa huyu muungwana analalamikia nje ya reli kutuhumu chama chake mwenye kwa rushwa. na safari hii ameenda mbali zaidi na kutishia kukihama chama hicho. sasa sijui anamtisha...
Msajili Msaidizi wa Vyama Vya Siasa nchini, Sixty Nyahoza, azomewa na umati wa watu baada ya kutaja 4R za Rais Samia kwenye uchaguzi wa CHADEMA. Uchaguzi huo unafanyika leo, Januari 21, 2025...
Mimi nina kadi ya muda mrefu.
Marekani nchi iliyoendelea kuliko zote duniani, nchi ambayo mwanaume anaweza kubadili jinsia, akakimbia mke na watoto na jamii ikamkubali.
Nchi hii kwa mara ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.