Angalizo kwa Wanabodi na Mode
Bandiko hili ni C&P kutoka kwa mwana JF fulani.
Kwasababu mwandishi ni member wetu humu na humu hajaileta, naomba ikitokea ameileta humu, then futa hili bandiko...
Naomba nitoe ushauri Kwa chama changu Cha CHADEMA, kwamba imefika wakati tuondokane na Business as usual. Kuna Afisa mmoja wa CHADEMA anaitwa John Mrema ambaye kwa ujumla anahusika na uenezi wa...
Godbless Lema, Mjumbe Kamati Kuu CHADEMA amesema Mwenyekiti aliyemaliza muda wake ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), alitaka kugombea Urais 2025
Soma, Pia: Godbless Lema...
Kwanini ni Wasira tena? Nadhani mnajuwa maana yakuchaguliwa mtu alie kula chumvi mingi kati kati ya familia yenye kila aina ya vipawa.....
CCM patachimbika ila kuna mzee wakuwapooza na kuwaelekeza...
Kwanza umefanyika kimkakati, lakini pia umefanyika kwa muda muafaka kama surprise, lakini kwa kuzingatia sheria na katiba ya CCM, bila kuathiri kwa namna yoyote ile sheria na katiba ya nchi...
Noam Chomsky ana mtazamo wa kina na wa kukosoa kuhusu demokrasia, hasa jinsi inavyotekelezwa na kuathiri nchi zinazoendelea. Kwa Chomsky, demokrasia mara nyingi haina maana halisi ya kuwa sauti ya...
Mara nyingi wazee hawa wakitoa neno kwa nia njema ya kuboresha, wamekua wakibezwa na wakati mwingine hata kukogeshwa matusi, wengine wamewahi kupigwa pia
Chama sasa miaka yetu hii imekua ni...
Kwa utawala usioeleweka na kuingia kiti kwa mkono wa kifo, kwanini ssh asimalize ngwe hii akawekwa oembeni na mgombea afuataye akatoka bara? Mie nebulization tu
Uje wekwa mdahalo wa Lissu Simba na Mama Abdul tupime IQ zao. Nani ana uelewa. Kisha baada ya hapo tuamue tu nani anafaa bila kutumia gharama kubwa kwenye uchaguzi.
Ajali ya kisiasa ni tukio ambalo linamtokea mtu kwa yeye mwenyewe kulitengeneza au kutengenezewa, na ambalo linamuondoa moja kwa moja kwenye ulingo na ramani ya kisiasa.
Zitto Kabwe ni mfano hai...
Akihitimisha salamu zake za pongezi kwa ushindi wa Tundu Lissu, Mwenyekiti mpya wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe amesema sasa anaenda kupiga mzigo ili kutafuta mafekeche (fedha) na wataonana...
Kama hawa ndio mboni ya CCM hadi August 2025 watabaki walamba bendela kwenye CHAMA.
Kama chama kinataka kuendelea kuongoza kifanye u-turn mapema sana.
Kilete watu wenye mchakamchaka na wanao jua...
Mpaka sasa nimepokea offer tano za wabunge ili nikawasaidie kufanya robbing Majimboni .
Nasikitika kusema kuwa hawa jamaa Kazi wanayo na ngumu Sana .
Mtu umekula bata Sana Ila unajisahau...
Binafsi naona Mbowe angeachia kijiti cha uenyekiti wa Chama ampe Lissu au Heche John
Nasema haya kwasababu Chadema kwa sasa na upinzani unahitaji mtu mwenye maamuzi magumu, misimamo mikali na...
Msije mkasema hamkujulishwa au hamkuambiwa mapema!
Niwatakie siku njema!!
Makonda, RC Dodoma,Mkurugenzi Moshi Manispaa na wengine wengi.
======
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na...
Ni kweli kwamba Chadema inahitaji uongozi mpya baada ya miaka 20 ya Mbowe.
Ila sio kwa mtu kama Lisu.
Tatizo la lisu ni mihemko isiyokuwa na mipaka.
Uongozi wa Taasisi unahitaji mtu mwenye...
Wasalaam,
Taifa likiwa katika mchakato wa kuandaa sera ya mtaala mpya ya Elimu na mtaala huo kupendekeza kuwepo kwa Somo la Historia ya Tanzania na Maadili ni jambo jema kwa kizazi Cha Sasa na...
Ninakifahamu vizuri Chama Cha Mapinduzi na kila ninaposikia kinaelezwa tofauti na ninavyokifahamu hususani na wapinzani nawaza mengi sana lakini mwishowe nahitimisha mawazo yangu kwa kusema ni...
Aliyewahi kuwa waziri wa mambo ya Nje kwenye Serikali ya awamu ya nne, Bernard Membe amefariki Dunia. Taarifa za awali zinaeleza Membe alipata changamoto ya Kifua na kupelekwa Hospitali ya Kairuki...
Japokuwa kwa watu wa majira na nyakati wameshajua nani mshindi kwenye sanduku la kura, lakini pia mambo hubadilika kama mmoja wao akiamua kumuachia mwenzake.
Ila wakiendelea kugombea wote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.