Baada ya kulipwa "pesa zao" na serikali ya Mama Samia awa viongozi wa Chadema wamekuwa kimya sana na zaidi wameingia kwenye maridhiano ambayo wafuasi wao hawajui wanaridhiana kitu gani...
Mtoto wa Freeman Mbowe ambaye anatajwa tajwa sana kurithi mikoba ya baba yake kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA.
Lakini mimi binafsi naona hatoshi sababu amekimbia na mishahara ya wafanyakazi wa kampuni...
Viongozi wa dini, wazee mashuhuri pamoja na wakazi wa mkoa wa Tabora, wamefanya matembezi katika kila kona ya manispaa ya Tabora kwa lengo la kumpongeza Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
Wakuu,
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amelipongeza jeshi hilo kwa kusimamia ulinzi na usalama kwa weledi katika mkutano mkuu wa CCM uliofanyika Dodoma pamoja na wa Chadema...
Nimemaliza kuisoma Katiba ya Chadema na nimejiridhisha kuwa Chadema ina Mwenyekiti Mtendaji
Tundu Lisu hakujiandaa kuwa Mwenyekiti ila uchokozi uliofanywa na Wenje ndio ukamkasirisha akataka...
Salamu kwako Mzee wangu Freeman Mbowe a.k.a FAM.
Ni Matumaini yangu u heri wa Afya.
Dhumuni la Waraka huu ni kukuelezea Yafuatayo / bucketed
1. Inawezekana kabisa una Ushawishi Mkubwa ndani ya...
Wanabodi
Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere aliwahi kusema ""Umasikini mkubwa zaidi na umasikini m-baya zaidi, ni umasikini wa fikra!". Hii ni ile hali ya mtu kuwa na mawazo ya kimasikini, unakuwa...
Jamani naanzisha zogo kile kimetokea mkutano mkuu Hayati baba wa Taifa angekuwa hai kingepita yaani Mzanzibari Bara na Mzanzibari visiwani yaani nchi ipo luteka naomba kuwasilisha naomba...
Kwako, Mheshimiwa Rais Dr. Samia Suluhu Hassan,
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Amiri Jeshi Mkuu,
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Taifa,
Mpendwa Kiongozi wetu,
Nakupa salamu za...
Wanabodi,
Kwa kawaida siku za Ijumaa na Jumamosi ndio huwa nakaa viti virefu, Jumapili ni family day, huwa sikai viti virefu nakaa viti vya chini na mwendo sio wa Joni Mtembezi ni mwendo wa...
Kwenye sayansi ya tiba na saikolojia kuna kitu kinaitwa "anxiety" na "Post-traumatic stress disorder' au PTSD. Hizi ni hali zinazomkabili mtu baada ya kupitia tukio fulani linaloacha kumbukumbu...
Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Hishim Rungwe Spunda ametuma salamu za pongezi kwa Mwenyekiti mpya wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa Tundu Lissu kufuatia...
Hebu wakuu nanyi muicheki tuone kama bado inalipa. Hii iliandikwa kipindi kile cha mwaka 2015 wakati TAL anagombea urais. Katika uzi mmoja nikasema kama wakivuka salama hawa wakuu na FAM akawa...
Tangu CHADEMA kutangaza mchakato wa kumpata Mwenyekiti, wagombea hawakulala, walitoa ya moyoni.Wengi walituhumu, wengine walitoa maneno ya kashifa ili kuvutia kura upande wao, Wenye Hekima na...
Ntobi na jamaa yake Yericko Nyerere hatimaye wamebaki hadithi na maujinga yao ya kumtweza Lissu kabla ya Uchaguzi Mkuu wa CHADEMA kumalizika.
Ninao uhakika kwa sasa nafsi zao zinapitia wakati...
Jeshi, Polisi na Usalama msijihusishe na siasa na kuanza kupendelea vyama kwasababu inaelekea wananchi wengi sio washabiki wa vyama bali ni wapenda haki.
Vitendo vya watu kuona waziwazi wanaiba...
Mungu amefanya kazi, nimezaliwa upya baada ya kuponywa kutoka ICU.
Nilijeruhiwa na siasa mufilisi za chama changu CHADEMA ambazo ziliniliza kwa miaka kadhaa.
Ama kweli sasa nipo tayari...
Hali yangu na hawa wenzangu ambao tulijitolea kwa hali na mali kumshambulia Lissu na kumsifu Mbowe ni mbaya. Hatuna raha, tumekonda ghafla na nuru imezidi kufifia. Hiki ni kipindi ambacho...
Wanabodi,
Niko hapa Dodoma kuhudhuria mkutano mkuu wa CCM, nimelala bonge la hotel, bonge la chumba, bonge la kitanda, ila sisi watu wa yale mablengeti, nimejikuta nimekosa kabisa usingizi, hivyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.