51% vs 49% ni ushindi mwembamba sana ambao ulimfanya mchungaji Msigwa akimbilie CCM kujisalimisha
Lakini Freeman Mbowe amekubali na kumpongeza mshindi Tundu Lisu
Ni Ukomavu wa kisiasa...
Tumeandaa tafrija fupi ya kuwapongeza waheshimiwa Tundu Lissu na John Heche kwa ushindi wao katika uchaguzi Mkuu wa CHADEMA uliofanyika jana/leo.
Lakini pia katika tafrija hiyo tutampongeza...
Salaam wana jukwaa,
Kwanza kabisa namshukuru Mungu kwa kunipa nafasi ya kushuhudia UCHAGUZI WA kihistoria ndani ya chama cha demokrasia na maendeleo.
Pia nichukue nafasi hii kumpongeza mh Tundu...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es salaam limesema December 12, 2024 katika kituo cha Polisi Chang'ombe, Temeke ilipokelewa taarifa ya kutafutwa na Familia yake Mtu aitwaye Daisle Simon Ulomi...
Hivi yule Mzee alikuwa na matatizo ya afya ya akili?
Miaka 5 anazunguka Tanzania nzima kujinadi halafu kipindi cha uchaguzi mkuu 2020 bado tena akawaminya kwa kutumia Dola.
Mtu mwenye akili...
Ndugu Lissu.
Tumeziona teuzi zako, lakini hatuoni kuwa iko sahihi Lema kubaki bila kuwa na nafasi yoyote nzito ya kiuongozi hapo CHADEMA.
Huyu mtu alikuwa critical kwenye ushindi, ni kichwa...
Binafsi nimpongeze Lema kwa kazi nzuri aliyofanya, najua kapitia mambo mengi katika huu uchaguzi ila kawa imara mpaka ushindi umepatikana .
Viva Tundu lissu, Mungu ibariki CHADEMA
Ndugu zangu Watanzania,
Hii ndio taarifa ya jeshi la polisi
Soma Pia:
Rais Samia aagiza Vyombo vya Uchunguzi kumpa taarifa ya kina ya Kifo cha Ali Mohamed Kibao
Ally Mohamed Kibao auawa na...
Habari ni kwamba nguvu iliyopo na ushawishi ndani ya chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA nikubwa na yakushangaza vijana wengi wanaunga mkono chama hicho pamoja na mawakili wengi tanzania...
Huo ndiwo UKWELI!
Bwana Mbowe nenda kapumzike salama kaka, ulichokifanyia Chama kwa wakati wako kinatosha na ASANTE!
Binafsi nitakukumbuka kwa namna jioni ya giza changa pale Bungeni...
Vijana wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), wakiongozwa na Mwenyekiti Mohammed Kawaida na Katibu Mkuu Jokate Mwegelo, wamesema wako tayari kuhakikisha wagombea wa Urais, Rais Dkt...
Mbunge wa Nzega Dr Kigwangala ambaye ni team Mbowe amefurahishwa sana na Demokrasia ya Chadema katika kuchaguana
Amefurahi akiwa ukurasani kwake X
Ahsanteni sana 🐼
Hatimaye Chama Cha Mawakili Tanganyika (TLS) kimempata Rais wake kwa mwaka 2019/20
Kura zilipigwa na wengi wamemchagua Dr Rugemeleza Nshala kuwa Rais wa TLS 2019/20, ambae pia alikua makamu wa...
Hawa ni wale viongozi wasioweza kukaa bila madaraka. Ni target ya CCM kama Msigwa. Hakuchaguliwa kwenye uongozi mpya. Mke wake ni Covid 19. Huyu mwingine anatumiwa na CCM
Salimu mwalimu wanaweza...
Utawala wa Nyerere vyeo vya juu vya nchi akihakikisha kunakuwa na mkatoliki ,muislamu na mprotestanti
Mfano raisi akiwa Raisi makamu anaweka muislamu waziri mkuu mprotestanti
Mfano Nyerere akiwa...
Nianze Kwa kukutoeni wenge. Siasa ni mchezo mchafu.
Hakunaga mwanasiasa ambae yupo Kwa ajili ya watu wengine.
Kila mwanasiasa yupo Kwa ajili ya maslahi Yake binafsi.
So kama una Amini Kuna...
Huu uchaguzi ndani ya CHADEMA umetuonyesha sura nyingi sana chanya na ndani ya CHADEMA na nje ya CHADEMA.
Huwezi kuzungumzia ushindi wa Lissu bila kutaja timu ya kampeni ya Lissu iliyopiga kazi...
Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Njombe, Rose Mayemba amejitokeza kugombea nafasi ya Ujumbe wa Kamati Kuu ya Chama.
Hakuna asiyefahamu uwezo wa Dada huyu kwenye uongozi, na inashangaza kwanini hadi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.