Wakuu,
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Taifa na Mgombea wa Uenyekiti, Tundu Lissu kwenye mahojiano na Wasafi Media amesema;
"Nachotaka kusema ni kwamba Uchaguzi huu kumekuwa na fedha nyingi...
Huu mchezo wa mtalaamu wa siasa Mbowe nimuelewa sana kwanza ame-expose wapambe nuksi kwake na kwa Tundu Lissu lakini pia kajua kuteka attantion ya Taifa kwenye uchaguzi wa CHADEMA.
Ni dhahiri...
Emmanuel Ntobi, kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), ametoa pongezi kwa Mwenyekiti mpya wa chama hicho, Tundu Lissu, kutokana na ushindi wake wa nafasi ya uenyekiti wa taifa...
Hili limeleta maswali mengi pande zote mbili. Kuwa kuna pandikizi la akina Tundu Lissu lilikuwa upande wa Mbowe. Watu wengi wamejiuliza je alikuwa Bonny Bonge au nani?
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Jeshi la Polisi litaendelea kutekeleza jukumu lake la kikatiba kwa kusimamia usalama katika mikutano na shughuli za Vyama vya...
Vigogo wawili wa Chadema ambao ni wajumbe wa Kamati Kuu Mh Godbless Lema na John Heche wamefanya Kikao kizito kujadili mustakabali wa Chama Chao
Source Mwanahalisi Digital
Kumeanza kupambazuka 🐼
Wanabodi,
Haya ninayoyaandika hapa, yanatoka ndani kabisa ya moyo wangu na ninaandika kwa uchungu!, kwa mtu yoyote ambaye alikuwa na matumaini ya labda 2015, tunaweza kupata mabadiliko...
Leo katikati pitapita zangu mtandaoni, nilikutana na habari fulani kuhusu Profesa Baregu na nikaona niingie WIKIPEDIA labda naweza kupata taarifa zaidi.
Hata hivyo, baada ya kuingia licha ya...
NImeamka saa kumi kasoro 20 muda huu usiku.
Nikawasha Data naona bando limeisha.
Nikajiunga bando. Nikaaingia mtandaoni nikaona Web browsee zinagoma kufunguka.
Nikawasha VPN ikagoma.
Nikasema...
Ndugu zangu Watanzania,
Mheshimiwa Paul Makonda ni Mwamba na chuma kwelikweli,ni field Marshall ,Ni jemedari hodari,ni mpambanaji mwenye moyo na damu ya kipambanaji. Mpaka inafika hatua unasema...
Uchaguzi Umeisha; ni wakati wa kumpa USHIRIKIANO Lissu.
Tuweke tofauti zetu kando na tujenge chama chenye TIJA na Chenye UWEZO wa kushika Dola.
Kwa mabadiliko haya, ipo siku Chadema inakwenda...
Wanabodi,
Kichwa cha habari cha bandiko hili kinajieleza wazi, hili likiwa ni bandiko la swali, kuwa siku zote huwa nailaumu Chadema kuwa hawajitambui na hawajui wanataka nini!. sasa kesho...
Heche anajulikana kwa ubinafsi, huku hekima na busara vikimpitia pembeni kama ilivyo kwa Lissu.
Lakini pia ni Heche ni muoga sana field ukilinganisha na majigambo yake kwenye mikutano au press...
Miongoni mwa mambo ambayo yametugharimu sana Watanzania ni hofu kuu ya watawala wetu wa vipindi mbalimbali kuogopa au kuona haya kufiwa na CCM na muungano wa bara na visiwani!
Watu wamepatwa na...
Mpo salama!
Watu wengi wanaamini pesa inanguvu kila sehemu na kila wakati.
Lakini Sisi wengine tunajua kuna wakati na sehemu pesa hushindwa na huwa kama makaratasi mengine.
Round hii, Lisu...
Mwanaharakati huru Cyprian Musiba akitoa maoni yake kuhusiana na uchaguzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
"Freeman Mbowe sio tough (mgumu) vile, sababu Mbowe mnaweza mkazungumza...
Ukweli ni kuwa CCM ipo ilipo kwa sababu ya vyombo vya dola. Na endapo leo hii vyombo hivi vikisema hatuiungi mkono tena CCM huo ndio utakuwa mwisho wa CCM kuongoza Tanzania.
Kwa upande wa vyama...
Mshindi wa nafasi ya uenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu ametoa kauli yake ya kwanza baada ya Mpinzani wake Freemn Mbowe kukubali matokeo hata kabla hawajafika ukumbini, kwa kutweet.
Lissu...
Wakuu mmesikia huko? John Heche rasmi ametangaza kumuunga mkono Tundu Lissu na atagombea Umakamu Mwenyekiti wa Chama.
Heche ameongeza "Mimi Mbowe kwangu ni Baba wa Kisiasa, amenilea na hamheshimu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.