Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Imekuwa! Kunapokuwa na mambo ya uchaguzi, mapambano ya kuwania nafasi au cheo na katika mpambano huo ukahusisha Mkubwa au Legend au mtu anayetetea Kitu alichokikalia kwa Miaka mingi kama Miaka...
7 Reactions
17 Replies
637 Views
Kuna vitu vinatokea kwa namna ya kipekee na ajabu kabisa. Ujio wa Lissu kurejea nyumbani akiwa bukheri wa afya una mengi ya kusimulia Lissu aliyeondoka mahututi hajitambui kwenye machela baada ya...
120 Reactions
272 Replies
56K Views
Kwanza sina chuki na Mbowe wala ajenda yoyote dhidi yake kwanza tumetokea tarafa moja mimi naye ila nalizungumzia hili kwa maslahi mapana ya nchi na chama Kwa sasa mbowe angeachia tu nafasi ya...
10 Reactions
35 Replies
2K Views
Erythrocyte ni red blood cell inayohusika na usafirishaji wa oxygen kutoka kwenye lung kwenda kwenye tissue za mwili vilevile inahusika na usafirishaji dioksidi kaboni(carbon dioxide) kutoka...
9 Reactions
29 Replies
579 Views
Naiona Tanzania ya kipekee sana baada ya Tundu Antipass Lissu kushinda uenyekiti Chadema. Tundu Antipass Lissu aliyesoma shule ya vipaji maalum ya Ilboru na akasoma Sheria katika Chuo Kikuu cha...
10 Reactions
27 Replies
912 Views
MH LISSU, baadhi ya Waswahili watakuambia, Ukimya nao ni Jibu . Mimi Mdogo wako nakuambia La Hashaa !! Kwenye kupigania Haki yako, usiache kupiga kelele ,piga kelele mpaka wasikie wale ambao...
9 Reactions
25 Replies
950 Views
Godbless Lema nimekwita mara 3 kwa herufi kubwa (X3). Baba yako sio mjinga kukupa hilo jina na sio kama majina mengine hakuyaona. Najua sasa hivi unamuonea huruma kaka yako Mboe lakini...
3 Reactions
8 Replies
753 Views
Hii ni fundisho kwa viongozi wote kwamba Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu,na sauti ya umma si yenye kudharauliwa hata kidogo,ni wakati umefika sasa kwa viongozi wengine kujifunza haya yalitokea...
4 Reactions
20 Replies
891 Views
Wanabodi Habari Za Mchana... Nimekaa nikatafakari kwa kina matokeo ya uchaguzi mkuu wa Chadema 2025, hasa katika ushindi wa Tundu Antipas Lissu Kwenye Nafasi Nyeti Na Ya Juu Kabisa Ya Chama...
0 Reactions
9 Replies
516 Views
Wakuu Matokeo bado hayajatangazwa ila Godbless Lema anashangilia na kucheza pamoja na wajumbe mbalimbali. Soma: Lema afunguka baada ushindi wa Tundu Lissu Uchaguzi CHADEMA, Mbowe ni kaka yangu...
26 Reactions
122 Replies
7K Views
Wana CCM wanauliza Lissu kushinda nini kitabadilika, na Mimi nawauliza Mbowe angeshinda, nini kingebadilika? Swali la pili, hicho ambacho hakitabadilika kwa ushindi wa Lissu ni kitu gani? Jee ni...
8 Reactions
41 Replies
818 Views
Wakuu, "Kwahiyo ukisoma Biblia yote na imeandikwa kabisa, hakuna nabii mkubwa kuliko Mussa lakini Mungu alimpumzisha akampa Joshua akamalizie kazi, kwahiyo hata sasa tunaye Freeman Mbowe amefanya...
16 Reactions
36 Replies
1K Views
John Heche amesema kuwa Tundu Lissu ana nafasi kubwa ya kushinda Uchaguzi wa Uenyekiti wa CHADEMA ngazi ya Taifa, akisisitiza "hilo liko wazo na halipingiki" Licha ya kumuunga mkono Tundu Lissu...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Alipokubali kushindwa uchaguzi wa uraisi mwaka 2005, akiwa nafsi ya tatu na kwenda kukijenga chama, uungwana wake uliigusa Sheria ya asili na kumpandisha kutoka mwenyekiti wa chama cha siasa cha...
2 Reactions
12 Replies
515 Views
Maana wakati Anachochea Vijana wanauwawa yeye alikuwa anakula maisha Kwa Mabeberu. Rais Daniel Chapo aliapishwa tena na Viongozi walialikwa akiwemo PM Majaliwa.Baadae Jamaa amerudi anadai Yuko...
0 Reactions
40 Replies
903 Views
Hellow! Matokeo ya Uchaguzi wa nafasi ya Mwenyekiti Taifa CHADEMA ndio yataamua ikiwa atagombea au HATOGOMBEA. NB: Mto wenye kina kirefu mara nyingi maji yake Kwa juu Huwa yametulia, lakini Kwa...
1 Reactions
13 Replies
510 Views
CCM ni chama kinachobadilika kutokana na wakati na mazingira. Sasa ni wakati sahihi kurudi katika siasa za awamu ya tano. Ni wakati sahihi Sabaya na wenzake warudi ili watakaoleta ubabe...
-2 Reactions
24 Replies
547 Views
Ujumbe wake huu hapa Binafsi Naunga Mkono jambo hili na Namtakia kila la heri
15 Reactions
101 Replies
3K Views
Ndugu wana jamvi kwa uamuzi wa hovyo hivi ni kwa nini nisiamini kuwa huyu hakimu ni mla rushwa? Amehongwa na kampuni ya honora tz mobile solutions ili kufuta kesi hii. Ni utaratibu kuwa watoa...
1 Reactions
12 Replies
524 Views
Wakati Lissu na timu yake wakiandaa mikakati mbalimbali bado naona anahitajika mtu Kama Salim Mwalimu katika safari ya ukombozi . Nimemfahamu Salim Mwalimu tangia akiwa Vodacom katika idara ya...
3 Reactions
1 Replies
248 Views
Back
Top Bottom