Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Freeman Aikael Mbowe Freeman Aikael Mbowe, kiongozi mwenye msimamo thabiti na maono makubwa, alichaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwa mara ya kwanza mwaka...
0 Reactions
8 Replies
240 Views
Chama cha ACT Wazalendo kimeonyesha ukomavu wa kisiasa kwa kumpongeza Tundu Lissu kufuatia ushindi wake kama Mwenyekiti wa CHADEMA, nafasi ambayo pia inamfanya kuwa Mwenyekiti wa Kituo cha...
1 Reactions
3 Replies
415 Views
Freeman Mbowe haamini yaliyotokea. Hakujiandaa kustaafu kwa hiyo amepata mshtuko mkubwa! Kuna mengi yamemponza lakini machache ni haya yafuatayo: 1. Kuondoa wanachama wenye uwezo katika nafasi za...
8 Reactions
14 Replies
604 Views
Kila mtu huwa na Imani fulani kwenye haya maisha,lakini usiweke Imani kubwa kwenye battle ,yaani sehemu ambayo watu wawili ama watatu wanagombea. Leo timu kubwa yenye mafanikio,mvuto na ya maana...
12 Reactions
52 Replies
2K Views
Kuchaguliwa kwa Tundu Lissu kuwa mwenyekiti wa Chadema kunatoa fursa ya kushughulikia madhaifu kadhaa ndani ya chama hicho wakati kikijiandaa na uchaguzi wa 2025. Maeneo muhimu yanayohitaji...
1 Reactions
3 Replies
189 Views
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ameapishwa na Kaimu Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Tanzania, Kanda ya Dodoma, Edwin Kakolaki kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Jeshi la Polisi...
0 Reactions
8 Replies
607 Views
Wakuu, Kamanda wa polisi kanda maalumu ya Dar es salaam Jumanne Muliro amesema jeshe la polisi lipo imara kwa ajili ya kusimamia uchaguzi mkuu wa chadema, kuhakikisha unafahamika kwa amani na...
1 Reactions
28 Replies
1K Views
Sikumuogopa Rais John Magufuli aliyekuwa na majeshi leo hii nimuogope Tundu Lissu,ambaye ni kiongozi mwenzangu tulikuwa nae kwenye chama! kauli tata sana hii,kumekucha!!,Chadema kazi imeanza,Lissu...
1 Reactions
8 Replies
330 Views
Ni kipindi ambacho chadema itadhiofika zaidi kwenye medani ya siasa huku wanachama wake wenye hekima na busara wakijiengua mapema kuepuka aibu ya ukosefu wa hekima na busara miongoni mwa viongozi...
5 Reactions
94 Replies
2K Views
Hakuna ubishi kuwa umejitahidi kujenga chama chako kwa kadri ya uwezo wako kwa miaka zaidi ya ishirini ambayo ulikuwa Mwenyekiti. Hata hivyo kwa jinsi mchakatao wa kampeni ulivyokuwa ikiwemo...
0 Reactions
0 Replies
116 Views
Salaam, Shalom!! Nimefanya Utafiti mdogo na kufanikiwa kupata kujua size ya viatu vya mzalendo na mchapakazi Magufuli vilivyotelekezwa. Viatu hivyo vimenakshiwa na sifa ZIFUATAZO, 1. UTHUBUTU&...
40 Reactions
514 Replies
22K Views
Hellow Tanganyika, Katika wimbo huu Kuna mashairi yasemayo, "Alipoturejesha tulikuwa waota ndoto, hatukuamini macho yetu*2🎶 "Sio free mason, ni Mungu anetenda"*3🎶 Sio mazingaombwe, ni Yesu...
1 Reactions
28 Replies
675 Views
Takribani miaka 60 sasa Watanzania hususani tabaka tawaliwa, tumeishi kwenye ufukara uliotopea. Wakati huo tabaka tawala wakijineemesha kupitia msamiati uzalendo. Miaka 60 ya uhuru bado tunapewa...
21 Reactions
50 Replies
4K Views
Inadaiwa wanakata umeme na kuwasha mara kwa mara Taarifa hii ni kwa Mujibu wa Katibu Mkuu wa Chadema aliyoitoa Ukumbini hapo. Nashauri wazime umeme wa Tanesco wawashe Generator. Kuhusu...
8 Reactions
79 Replies
3K Views
Godbless Lema avunja ukimya baada ya ushindi wa Tundu Lissu Uchaguzi CHADEMA adai yeye kwenda kinyume na Mwenyekti Freeman Mbowe ilikuwa ngumu sana. "Nitendo gumu la kisiasa, katika matendo...
8 Reactions
18 Replies
1K Views
Huenda Freeman Aikaeli Mbowe akatangazwa mshindi wa uenyekiti wa CHADEMA Taifa kwa kujizolea kura zaidi ya 700 za wajumbe halali waliothibitishwa kua wapiga kura na kamati kuu. Ni wazi na ukweli...
6 Reactions
56 Replies
2K Views
Mpo Salama! Wapo watu walitaka na wanatamani kuwa sehemu ya watakaotumia Haki Yao ya kikatiba kuwania Tiketi ya Urais kwa Njia ya CCM. Hata kama Wana CCM hao ni wawili au Mmoja. Wanahaki ya...
0 Reactions
0 Replies
108 Views
1. Mstaafu Kikwete aliwahi kutamka kuwa ni aheri Dr Slaha ashinde Urais kuliko Tundu Lisu kushinda ubunge. Kauli ile, indirect ilikuwa maagizo kwa CCM nzima pamoja na taasisi zake kuhakikisha...
6 Reactions
4 Replies
357 Views
Hayawi hayawi yamekuwa, Licha ya matarajio makubwa kutokana na ushindi huo, nawaona CHADEMA wanaenda kukomba wabunge wengi kwenye uchaguzi mkuu. Hii inatokana na furaha ya wananchi wengi...
2 Reactions
0 Replies
149 Views
Mchungaji Peter Msigwa, ambaye ni mbunge wa zamani wa jimbo la Iringa Mjini kwa tiketi ya CHADEMA na sasa mwanachama wa CCM, ametupa dongo mtandaoni kwa Freeman Mbowe kufuatia kushindwa kwake...
0 Reactions
5 Replies
808 Views
Back
Top Bottom