Historians wanalijua hili.
The glory of Tanzania ilikuwa kabla ya mwaka 1967 ambapo kwa mara ya kwanza nchi yetu ilipata chama makini chenye watu Makini kilichojulikana kwa jina TANU.
Kwa ukanda...
Wakuu,
Kupitia ukurasa wake wa X, askofu Mwamakula amasema wajumbe wameambiwa waweke alama ya ushahidi kwenye kura ili wapewe kipoozeo baadaye kwa kumchagua (Mbowe).
Mambo yameanza kuwa yamoto...
Kwanza niwape Hongera CHADEMA kwa kuendesha Uchaguzi wa Kiwango cha juu, na nimpongeze Lissu kwa Ushindi.
Pili niombe Watanzania wote tuungane kuiombea CHADEMA kwa kipindi kigumu itakachopitia...
Inadaiwa Boni Yai Kwenye Nusu mkate yuko Jimbo la Kawe na Yeriko Nyerere yuko Kigamboni baada ya Makonda kukubalika Arusha
Sugu anakwenda Makete na Ntobi anamuondoa Katambi
Uchaguzi wa Chadema...
CHADEMA ilianzishwa kama chama cha mabepari yaani capitalist party kinachoamini kwenye capitalism
Waanzilishi walikuwa matajiri na walitoa pesa na mali zao nyingi ndani na nje kukiendesha...
Wakuu!
Retired FUSO Tlaatlaah
Ambaye yupo tayari aweke Laki mbili Mimi naweka Laki tano.
Lisu akishindwa unachukua Laki tano.
Akishinda nachukua hiyo Laki Mbili.
Aliyetayari kwa Mchezo aniambie...
Kuficha jambo ambalo unalipenda ni ngumu sana, nafsi hauwezi kuipinga juu jambo fulani.
Ukimwangalia Peter Msigwa kwa jicho la tatu bado CHADEMA anaipenda sana, ingawaje yupo CCM, unaweza kuona...
Ni wajinga pekee wenye maono kimo cha mbilikimo ndio wanaoweza kafanya uharamia ili CHADEMA kigawanyike , kivurugane ama kisambaratike!
Tangu harakati za kugombea nafasi ya mwenyekiti CHADEMA...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika Mheshimiwa Freeman Mbowe Mwamba na Jabali la Siasa za Upinzani katika ukanda huu wa Afrika Mashariki aliyekwepa mishale mingi kama Mbayuwayu Anapendwa na wana...
Wakuu,
Katika wagombea wa nafasi ya makamu mwenyekiti hakuna aliyefikisha zaidi ya 50% hii inamaanisha uchaguzi wao unarudiwa ili kumpata mshindi.
Kulingana na taratibu za CHADEMA matokeo...
Mbowe is very smart, he is always speaking confidently, ndio maana habagazi mtu.
Anaposema chama kitaendelea maana yake atashinda kwa vyovyote vile Iła atampa LISSU agombee urais.
Atashinda...
Halafu mbona bado mapema sana my friends, ladies and gentlemen? Yaani wamepoteza umakini kabisa.
Au kuna kitu wamekula au kunywa kinawafanya kusinzia kwa pamoja? Na inaruhusiwa kufanya hivyo...
Wakuu,
Godbless Lema ametangaza kufanya Press Conference muda wowote kuanzia sasa ikiwa ni saa chache mpaka CHADEMA ifanye Uchaguzi kwenye ngazi ya Uenyekiti
Kupitia mtandao wa X wengi...
Mpo salama!
Nimeamka zangu!
Hata sijaomba!
Hata sijaenda washroom!
Hata sijafanya lolote!
Jambo la Kwanza naomba Simu niangalie nini kimejiri huku CHADEMA. Kumbuka Mimi ratiba yangu ya Kulala ni...
Mimi sio mwanachama wa Chadema na sifurahii siasa zao za kutukana tukana viongozi hivyo hasa vijana wao wanavyofanya harakati za kijinga mitandaoni jambo linalosababisha wawaudhi viongozi wa...
John Heche mgombea wa nafasi ya Makamo Mwenyekiti Chadema anadaiwa kuvunja kanuni za uchaguzi ndani ya chama hicho.
Akitangaza kugombea nafasi hiyo tarehe 5/1/25 John Heche akiwa na walioitwa...
Zipo nyakati ambazo mtoa Mamlaka hua amemuamlia mtu.
Zinapofika Nyakati hizo, hata ufanyeje, hata uwe na nani nyuma yako, Kamwe hatuwezi kuzuia Hilo.
Mungu anachukia DHURUMA, Mungu anachukia...
Mimi nimesoma Political Science, siasa za Tanzania tangu 1992 vuguvugu linaanza la mfumo wa vyama vingi nilikuwa nafatilia.
Nimekuwa nikimsikiliza Mbowe akihubiri amani ndani ya chama, in fact...
Hellow wakuu,
Kwa uelewa wangu kila mwanasiasa kuanzia mbunge hadi Rais huwa wana ofisi, na hizo ofisi zimesheheni watu wa kada mbalimbali, mkuu wa watumishi wote ktk ofisi anaitwa chief of...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.