Wakuu, kama tulivyomsikia Mbowe akizungumza namna alivyoibua vipaji vya kisiasa , na miongoni mwa aliowataja kama matunda yake ni kitila Mkumbo wakati anasoma!
Kuna ukweli hapa? Mwenye kumbukumbu...
Wakuu,
Mbowe amekuwa kama Sukuma gang lia lia, kazi ni kuongelea legacy tu, utafanyia nini chama.... aaah unajua nimetoa damu na kamasi kwenye chama hiki, nipeni niwaongoze tena :BearLaugh...
Mgombea nafasi makamu mwenyekiti wa Chadema Bara, John Heche amesema kutokana na hali ya kisiasa ya sasa ya nchini inahitaji watu wagumu kuziongoza ili kuleta mabadiliko.
Soma Pia: Yanayojiri...
Mgombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, Ezekia Wenje ameulizwa kuhusu takwimu za madai ya ubadhilifu wa fedha za mkakati wa 'Join the Chain' ambazo alizitoa katika mkutano na...
Makada wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) George Sanga, Gudluck Mfuse na Octatus Mkwela walivyopokelewa kwa shangwe na wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CHADEMA Mlimani City Dar Es Salaam...
Kwa kweli Rais anastahili pongezi kuliokoa taifa hili. Kipindi kile upinzani ulikuwa kama uko ukimbizini. Jamaa alikuwa katili zodi ya Adolf Hitler.
Nakumbuka mpaka akina Boni Yai walivuliwa...
Moja ya jambo ambalo ningependa libali kwenye kumbukumbu na vitabu vya historia za uchaguzi nchni ni pamoja na majina ya timu iliyoandaa uchaguzi wa mabaraza na sasa uchaguzi wa viongozi wakuu wa...
Wakuu
Mgombea akiwa Kikaangoni
Katika hali ya kushangaza mgombea wa umakamu mwenyeketi Chadema Zanzibar, Suleiman Makame Issa (62) ameshindwa kuitaja falsafa ya chama hicho wakati akijinadi...
Kwa siku mbili kati ya tarehe 18,19/01/2025, CCM itakuwa na mkutano wake maalum huko Dodoma.
Kwenye mkutano huo, pamoja na mambo mengine, wajumbe watapiga kura ya kumthibitisha (siyo kumchagua )...
Mgombea wa Mkamu Mwenyekiti wa Chadema Zanzibar, Hafidh Ali Salehe amedai vijana walipewa nafasi ya kukiongoza chama hicho na hawakufanya kitu, hivyo wazee wana uchungu nacho.
Msingi wa Salehe...
Bado Tupo!
Mchezaji anaweza mzuri kwenye ku- defence, ku-drible, kushambulia lakini akawa anashindwa kwenye final touch kumalizia kufunga Bao.
Huyo Mbowe tayari alikuwa ametepeta, Timu yake...
Uchambuzi wa Numerology
Numerology inahusisha kupunguza tarehe ya kuzaliwa hadi Nambari ya Njia ya Maisha (Life Path Number) ili kufunua sifa za kibinafsi na uwezo.
Uchambuzi:
Mbowe akiwa na 4...
Mwenyekiti wa Baraza la vijana wa CHADEMA (BAVICHA) Jimbo la Mbeya Mjini, Hassan Mwamwembe, amesema anatamani Tundu Lissu aibuke kidedea kwenye kinyang'anyiro cha uenyekiti wa CHADEMA Taifa ili...
Wakwanza mimi kunyoosha mikono SSH kapiga pasi ndefu sana, kapiga butua kali sana, kusema ukweli umepigwa mwingi wa ali ya juu,
We have been caught up by surprise haieleziki hasira na kicheko...
Wakuu,
Akiwa anazungumza kwenye mkutano mkuu ambao utaenda kuamua nani atakuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Lissu amshukuru Mwenyekiti wa Chama, Freeman Mbowe kwa kufanya nae kazi kwa kipindi cha miaka...
Wakuu
Katibu wa chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA wilaya ya Kahama Samwel Peter akieleza namna gani wajumbe wa mkutano Mkuu wa Chama hicho wamekuwa wakishawishiwa kwa fedha kuelekea...
Hellow!!
Ni UKWELI kuwa wachawi na wasio wachawi hufa maana hiyo ni Amri Toka Kwa muumba kuwa Kila mwanadamu shart arudi mavumbini.
Sasa juzi hapa Mzee mmoja mtani wangu katoa kauli kwenye umati...
Kwa chama tawala tayari tumeona ndugu Nchimbi yupo pale kuchukua nafasi ya Dkt. Mpango, ambapo Rais aliyepo ni ndugu Samia. Aliyemtangulia ni Hayati Magufuli. Au tuweke hivi;
1. Rais wa kwanza...
Wakuu
Mbowe kaamua naye, kamteua Boni Yai
Freeman Mbowe mgombea wa nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA amemteua Mjumbe na Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani, Boniface Jacob maarufu kama Boni Yai...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.