Wakuu
Mbunge wa zamani wa Kilwa Kusini, Selemani Bungara maarufu kama Bwege adai busara za Freeman Mbowe hazina maana yoyote katika nchi hii, kumlinda mtu mwizi ndio busara hiyo?
"Yeye ni mtu...
Miongoni mwa sera bora kabisa kuwahi kusimamiwa na mgombea wa uongozi hapa nchini ilikuwa ELIMU ELIMU ELIMU.
Binafsi nimeona mambo yafuatayo kuelekea kumjua Mwenyekiti wa CHADEMA kwa miaka mitano...
Mimi ni mpinzani yes naamini kwenye upinzani wa kuiondoa CCM madarakani ila kwa kinachoendelea kwenye uchaguzi wa CHADEMA ni wazi bado Tanzania hatujapata chama ambacho ni mbadala wa CCM
CHADEMA...
Wakuu
Ukweli unaweza kugeuka sumu, Bwege naye kasema TAL tatizo ni mkweli kupiliza
Mbunge wa zamani wa Kilwa Kusini, Selemani Bungara maarufu kama Bwege anasema tatizo kubwa la Tundu Lissu ni...
Kesi ya mauaji inayowakabili viongozi watano wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Kilolo, imeahirishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Iringa kwa kuwa upelelezi wake haujakamilika.
Mwendesha...
Katika siasa za kisasa, uongozi wa taasisi za kisiasa unahitaji mtu mwenye busara, hekima, na uwezo wa kuunganisha watu wenye mitazamo tofauti kwa ajili ya kufanikisha malengo ya pamoja. Ndiyo...
Mgombea wa Uenyekiti CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, amewasili Mlimani City akiwa ndani ya gari alilopigiwa risasi na watu wasiojulikana mjiji Dodoma mwaka 2017 likiwa bado na alama za risasi katika...
Wakuu
Kitaalam tunaiitaje hii?
Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Godbless Lema, ambaye ni wakala wa mgombea uenyekiti Taifa wa chama hicho, Tundu Lissu, akifurahia jambo na...
Mhe.Rais wa JMT,
Mhe.Waziri wa TAMISEMI
Nawapongeza kwa jitihada zenu katika kutengeneza na kutoa fursa za ajira nyingi sana katika kada ya ualimu na Afya. Ni ishara njema katika kupunguza tatizo...
Chadema Wao wale Wajumbe 1200 ndio Wenye Maamuzi nani awe Mwenyekit wa Taifa na ukiweza kuhonga Wajumbe 700 wewe ni Mshindi
Ila Wenzao CCM Wajumbe huingia na Azimio Kutoka mkoani kwamba...
Mtindo huu utaitafuna sana CCM na kuna baadhi ya mambo wanayajutia kuyakubali kwa upambe lakini ndiyo hali waliyo iruhusu wenyewe
CCM ya sasa ukiweza ku mobulise wajumbe kwa namna yeyote ya...
Kwa taarifa zisizo RASMI( unpublished data) ni kwamba Dr Mpango amekuwa haridhishwi na namna nchi inavyopelekwa kwa sasa hasa kwenye uwekezaji wa resources .
Kwa mfano, uwekezaji wa DP world...
Kwako Rais wa JMT Mhe.Samia Suluhu Hassan, ninakusalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mhe.Rais, kwa namna ya pekee pekee ninapenda kuchukua nafasi kukupongeza kwa kuwa kielelezo...
Rip chadema, ndivyo hivyo tunavyokuaga huku wakuu walliokuua maksudi wakipanga namna ya kujipoza mioyo yao kutokana na majeraha uliowaachia?
Chadema leo umeiga nyendo za CCM za kuengua watia nia...
Kila nikimtazama Rais wetu, naona matarajio aliyonayo katika kukuza utalii wetu kimataifa ni makubwa mno. Ili kutimiza matarajio hayo, anatumia mikakati mbalimbali hususani kushiriki katika...
Hii ni kwa vyama vyote vinavyoshiriki uchaguzi ,uwe uchaguzi mdogo, uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu. Kila chama ni muhimu kufanya maandalizi ili kuepuka kutupa lawama kusikostahili...
Lissu ndio kiongozi pekee asiye na kisasi ndani ya CHADEMA,
Pamoja na matusi ya kila namna aliyemtukana Lissu Leo wako pamoja wanacheka na kufurahi,
Yakiwa yamesalia masaa machache kwenda kwenye...
Wakuu,
Sarakasi za Uchaguzi wa CHADEMA zinaendelea kuwa moto.
Akiwa anaongea siku ya leo, moja ya mjumbe wa mkutano mkuu CHADEMA aliyrjitambulisha kama Wilfred Alfred Mgina amesema kuwa...
Kunapofuka Moshi moto unawaka na dalili ya mvua ni mawingu, wahenga walisema. Rais Samia anakubalika, anapendwa na anahitajika mno na watanzania na watanzania watafanya juu chini kumheshimisha...
Wapo watu ambao Gambo aliwavunjia heshima na hivyo kuwadhihaki au kuwafanya wataabike mbele ya umma japo ni watu wasio na mawaa.
1-Mhe.Felix Ntibenda -alikuwa mkuu wa mkoa wa Arusha.(alimfitini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.