Wakuu,
Kufikia sasa tumeshajua kuwa Lisu amemchagua Godbless Lema kuwa wakala wa kusimamia kura zake kwenye Uchaguzi.
Mbowe atamchagua nani awe wakala wake?
Au ndo Kigaila bestie yake?
Kuhusu...
Anaitwa Benson Kigaila.
Cheo chake Naibu Katibu Mkuu Bara - CHADEMA.
Hajawai kuchaguliwa wala kupigiwa kura ila ameongoza miaka mingi CHADEMA.
Mke wake yupo bungeni ni mmoja wa wale COVID-19...
==
Mwl Nyerere aliwahi kusema mwanasiasa yeyote atakayeta kuchaguliwa kwa minajili ya kabila au dini yake huyo ni sawa na mwanasiasa mfu Mkataeni.
Leo Freeman Mbowe Mchaga wa Machame anaonesha...
CHADEMA IMARA KUELEKEA UCHAGUZI WA NDANI, NA PIA ULE WA NO REFORM NO ELECTION 2025
CHADEMA imedhihiri kuwa misukosuko, mipasuko, chaguzi za ndani, kutofautiana misimamo uwe ule ulio mkali au wa...
Pili Said Mohamed, ni Diwani wa Wadi ya Mahonda, Wilaya ya Kaskazini ‘B’ Unguja, simulizi yake katika harakati za uongozi inaonesha historia ya kipekee katika safari za Wanawake wengi wenye ndoto...
CCM pekee ndio chama kinachokataa rushwa na kuizuia kwa nguvu zake zote,
Kama wewe ni mpinga rushwa kwanini ubaki CHADEMA inayonuka rushwa?
Njooni CCM tujenge nchi yetu nzuri.
https://www.youtube.com/live/98PbB_z9DZo?si=ErMXG6DXe_NNGU6_
Hawa watu wanaomwambia Mbowe hadharani kuwa amechoka sio wajinga wasikilizwe wamekuwa wengi huenda Wana hoja.
Huenda Mbowe akishinda...
Kigaila kawanyima baadhi ya wajumbe
vitambulisho makao makuu, Mikocheni.
Amewaambia warudi kesho asubuhi.
Wengi ya walio nyimwa vitambulisho ni
kutoka maeneo yaliyo onyesha upande.
Kigaila...
Wakuu,
1. Atupele Fredy Mwakibete - Mbunge wa Busokelo
Chama: CCM
Uchaguzi (2020): Alipata kura 79,950 (alishinda kwa wingi)
Elimu:
Shule ya Msingi: Gerezani (1994-2000)
Sekondari: Azania...
Sidhani kama Wajumbe wa CHADEMA wanalifahamu hili?
Tanzania ilipofikia sasa, hasa kutokana na changamoto za rushwa na uongozi mbaya unaogharimu maisha ya wananchi masikini kila kukicha, ni jambo...
https://www.youtube.com/live/3eUZr56l98U?si=Ri2UPJYSDc5O1vN2
Tuache Kudanganyana Mbowe hawezi kushinda huu Uchaguzi tuweni wa kweli na Mungu atatubariki Mbowe hatakiwi kabisa.
Mjumbe hata kama...
Anaandika Wakili wa Mahakama kuu ya Tanzània Livino
==
UZIMA NA MAUTI: UNACHAGUA NINI?
(Maalumu kwa Wajumbe wa Mkutano Mkuu - CHADEMA 2025)
Chagueni hivi leo mtajayemtumikia. YOSHUA 24:15...
Inasikitisha sana kuona chombo kikuu cha habari hapa nchini, kikifanya ubaguzi kwa walipa kodi ambao kimsingi ndiyo chanzo cha uwepo wa chombo hicho.
Uchaguzi wa CHADEMA, soma Tundu Lissu ashinda...
Wakuu,
Lissu amepiga hotuba moja safi sana, Mbowe karudi kule kule kuanza kuanza kuongelea historia ya chama, mara kusifia wafanyabiashara (wanaompa hela za kuhonga wajumbe :BearLaugh...
Kuhama kwa mhadhiri Dr. Adam kutoka Chuo Kikuu cha Mwecau, kilichopo Kilimanjaro, kumekuwa na tukio la kihistoria ambalo wanafunzi wa shahada ya pili chuoni hapo wameamua kulisherehekea kwa...
Ni jambo lisilo la kawaida kutokea katika zama hizi, ambapo huko Mbeya Vijijini, Serikali ya kijiji cha Mashese kata ya Ilungu imegharamia bima za afya kwa zaidi ya wananchi 1,500 kwa shilingi...
Kwa nini begi hili halikufunguliwa wakati wa ukaguzi kabla ya kuingia ukumbini kwenye uchaguzi wa CHADEMA, ilhali taratibu hizo zilifanyika kwa wengine? Swali hili linaibua maswali juu ya usawa wa...
Wakuu habari za mchana, wakati joto la uchaguzi likizidi kupaa kuna hii notion imekuwa ikirudiwa rudiwa na Team Mbowe.
Kwanza walianza campaign team ya Mbowe, akafuata Mbowe mwenyewe kwenye...
Wataalamu wa siasa wanasema "Politics is all about numbers and influence"
Taifa limeshuhudia matamko ya Viongozi wa CHADEMA kutoka katika kila Kona ya nchi wakisema wao watasimama na Lissu,
HOJA...
Kwa kweli nafuatilia mkutano wa hawa jamaa,wako smart and organised.
Sio ule mkutano wa show offs za vijisanii uchwara uliofanyika huko dodoma.
Kwa kweli nimepita hapo mtaani muda wa lunch naona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.