Katika uhalisa ndani ya taifa letu chama tawala ndio chama chenye nguvu kuliko vyama vingine ambapo Mgawanyiko huu wa sehemu mbili yani dhaifu na nguvu unaweza kuondoa demokrasia, usawa na haki...
Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa
1. Usuli
“Kama una haraka tangulia lakini ujue nitakukuta feri,” ni msemo uliozoeleka kwa wakazi wa Kigamboni tangu uhuru wa Tanganyika hadi leo. Mtu...
Ndugu zangu Watanzania,
CCM ni chama kiongozi Barani Afrika na ndicho chama ambacho hutoa Dira na mstakabali wa Taifa hili. Ambapo mambo yake mengi yamekuwa kama Dira na muelekeo wa Taifa hili...
LISU Na KICHWA CHA YOHANA MBATIZAJI KWENYE SINIA
Na, Robert Heriel
Moja ya hadithi mashuhuri duniani hasa kwa Wafuasi wa Dini za Ukristo ni Pamoja na Kisa cha Nabii Yohana Mbatizaji ambaye kwa...
Nakumbuka NCCR Mageuzi walimdharau Lyatonga Mrema Lakini alivyowatenda Chama kimedumaa hadi Leo
CUF nayo ndio wale wale
Sasa ni zamu ya chadema
Nawatakia uchaguzi mwema!
Wakuu,
Kama mnavyojua leo ndo ile siku ya Uchaguzi wa Nafasi ya Uenyekiti ndani ya CHADEMA na saa chache kabla ya Uchaguzi huo kuanza Jeshi La Polisi limetoa msimamo wake
Akizungumza na Samuel...
Wandugu Habarini...
Kama mada tajwa hapo juu, naomba kufahamu sera za ACT Wazalendo na namna ya kujiunga na chama hicho.
Nimewiwa kufanya hivyo kutokana na ndoto yangu usiku wa kuamkia leo...
Lile tukio la pale Idodomia majuzi limenifanya nione kumbe nyumbu wa serengeti wana akili na maarifa kuliko lile kundi la watu wazima waliokutana Idodomia hivi karibuni.
Yaani nyumbu pamoja na...
Tukosema Tanzania kuna maigizo ya upinzani mtuelewe
Tukisema CHADEMA ni kampuni ya watu flani wachache msibishane na sisi
Ushauri wangu kwa wanachadema kuliko kuendelea kuteseka na kuumia...
Hapo Jana, Trump ameapishwa kama raisi wa 47 wa U.S, moja ya hatua alizochukua ni kuitaka U. S kujiondoa haraka Sana WHO.
Hakuna asiejua kuwa America inamchango mkubwa Sana kwenye budget ya...
Anaanza kwa kukaribishwa na "Hangaya" kwa sauti nyororo ya Kizanzibari...
Lakini all in all, nasema..;
Huyu jamaa ni mtukutu sana. Anapiga nyundo sadistically kiasi cha kukera sana...!
Lakini...
Akijibu maswali ya Wakatoliki wenzake waliohoji kwanini alimlaumu sana Mchengerwa alipokata majina ya wagombea wa Chadema Kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa ilhali yeye mwenyewe anaitenda dhambi...
Uhusiano baina ya Tanzania-Czech kung’ara
Uhusiano wa kiuchumi baina ya mataifa umeelezwa kuwa ndio uhusiano imara na bora zaidi ukilinganisha na nyanja nyingine za uhusiano duniani kwa sasa...
Wakuu,
Tumemaliza Uchaguzi wa Serikali za Mitaa November, 2024 na sasa tunaelekea kwenye Uchaguzi Mkuu Oktoba 2025.
Tumeona hamasa zikifanywa na watu mbalimbali juu ya ushiriki wa wanawake...
Kaka , toka hapo Baraza Kuu. Nenda Makao Makuu ya Chama , kuna malalamiko ya watu wengi wanaweza kukosa vitambulisho !
Mod hii ipo account yake ya twitter katembeeleni.
Swali. Kama Lissu...
Kama unabisha angalia wapambe Wao
Timu ya Kampeni ya Mbowe inaongozwa na Dalali Wenje na Msanii wa Malaria No More Sugu Moto Chini
Timu ya Tundu Lisu inaongozwa na Kibatala na Ponda
Vipaji...
Uhuni huo uliofanyika na CCM akina Samia et al kujivika madaraka ya kuvunja Katiba ya nchi, Katiba ya CCM , sheria zoooote, upinzani sahau kuwa kupata katiba Mpya na Tumehuru ya uchaguzi!
sasa ni...
Wananchi na Wanachama wote huku kwangu wanamuunga mkono sana Tundu Lissu,
Wameniambia kama sitamchagua Lissu basi wao hawatakuwa tayari kuendelea na Ujenzi wa Chama,
Lakini kwenye huu Uchaguzi...
Mara baada ya Twaha Mwaipaya aliyekuwa mgombea wa nafasi ya mjumbe wa kamati kuu Chadema na aliyekuwa mwenezi wa Bavicha katika uongozi uliopita kuenguliwa katika kinyang'anyiro hiko wanachedema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.