Naona mdogo mtu akiwa anamsapoti Freeman Mbowe wakati kaka mtu yeye akiwa anamsapoti Lissu,
Msikilize jamaa kamchana chana vibaya Freeman Mbowe kwa hoja tano.
======================
Mwenyekiti wa...
Makamu mwenyekiti ambaye pia ni mgombea wa kiti cha mwenyekiti wa Chadema kwenye uchaguzi ujao tarehe 21, January Bwana Tundu Antipas Lisu amefichua siri kuwa uhusiano wake na mwenyekiti wa chama...
Lissu ameendelea kumkalia kooni Freeman Mbowe, safari hii ameiambia BBC anataka kumuokoa Mbowe asitoke kwenye chama kwa aibu kama Mugabe.
---
Chama hakiwezi kuokolewa na mtu aliyekiongoza kwa...
"Mwenyekiti aliyeenda gerezani sio aliyetoka gerezani miezi nane baadaye, alikuwa tofauti, anaimba maridhiano"
Makamu Mwenyekiti wa chama cha upinzani nchini Tanzania Chadema na Mgombea wa...
Hapo Juu ni Email: vikao vingi vimefanyia Makao Makuu kati ya Chama na mwekezaji wa Chadema TV, Project ikaanza, Tukafunga mifumo Kanda zote. Gafla Chama Cha Mbowe kikaacha hii Project sababu eti...
Mhe Freeman Mbowe bila kujali yeye alianza uongozi ndani ya CHADEMA akiwa na umri wa miaka 30 bado ameendelea kujiapiza lazima na yeye afikie miaka ya Baba Mkwe wake ambayo ni miaka 68 ya...
FREEMAN MBOWE-MTIA NIA
••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••
TUNDU AM LISSU-MTIA NIA
••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••
Tanzania ni yetu sote!!
Habari kuu ndani ya CHADEMA ni...
Mgombea makini wa nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA ngazi ya Taifa Mhe.Tundu Lissu amekiri hadharani kuwa CHADEMA chini ya Mbowe haina uwezo tena wa kuvitia hata Mwanachama kichaa.
Soma alichosema...
====
Kama Mbowe tayari ni mjumbe wa Kamati kuu ya CHADEMA mpaka kifo chake kwanini anataka kumtoa Lissu kwenye Kamati kuu?
Nia ya Mbowe ni Nini?
Kitendo Cha CHADEMA na Kamati kuu kumkosa Tundu...
Ni kosa kubwa na la kiufundi wajumbe wa mkutano mkuu wa Taifa kumchagua mtu kuwa mjumbe wa Kamati Kuu wakati Kwa mujibu wa Katiba ya CHADEMA yeye tayari ni Mjumbe wa Kamati kuu mpaka Kufa, hili...
Aisee kumtetea huyu mmiliki wa CHADEMA ni kazi ngumu sana. Haina tofauti na kuwatetea single maza na polisi.
Igizo lake alilofanya leo lina makosa mengi sana ya kiufundi kiasi kwamba wapinzani...
WAKATI MAJIMBO NA MIKOA HAMPATI HATA LAKI MOJA YA KUWASAIDIA KWENYE KAMPEINI KUJENGA CHAMA, MAKAO MAKUU TUMEGAWANA ZAIDI YA MILIONI MIA NNE KUTOKA KWENYE RUZUKU
Nawasalimu wakubwa Viongozi na...
HAWA WOTE WALIONDOKA CHADEMA KWA SABABU YA MBOWE WAKATI BAADHI WAMEAHIDI KUREJEA CHADEMA KAMA MBOWE ATAFURUSHWA KWA KURA.
Prof. Safari
Dr. Wilbroad Slaa
Dr. Vicent Mashinji
Zitto Zuberi Kabwe...
LISSU AMESHINDA KABLA YA KUSHINDA
Kwakutumia Elimu yangu ya Sayansi ya siasa Leo natoa facts tano (5 ) tu kuonesha tayari Lissu ni mshindi hata kabla ya kura,
1. Uchaguzi wowote ni namba...
Kuna mambo tunaweza kubishana pengine ili kulinda itikadi au falsafa zetu ila kamwe hatuwezi kubishana ili kulinda uhalifu na uovu mkubwa kwa kiwango hiki kwenye taasisi kubwa kama CHADEMA...
1. Kwa sasa! Tundu Lissu anatosha ili aje aisuke upya Makao Makuu ya CHADEMA maana imeyumba sana!
2. HQ ya Chama chetu inaendeshwa kimazoea sana; watu wenye fikra pevu hawawezi kudumu na...
AMEANDIKA REMIGIUS AFISA WA IT CHADEMA MAKAO MAKUU
Secretariat ya Chama Makao Makuu ilizuia majimbo 78 yasipewe printer bure, Laptop 254 na Video Camera 10 .
Twende pamoja; Ndugu Mwanachama na...
CHADEMA tangu kuanzishwa kwake imekuwa ikipewa nguvu zaidi na Wafuasi na mashabiki Wala sio wanachama wa chama hicho au Viongozi ambao kimsingi ni chini ya 10%
Kitu pekee CHADEMA wanapashwa...
Habari za Chini chini zinasema wafadhili wa CHADEMA na Lissu wamemuhakikishia Lissu endapo atakuwa Mwenyekiti wa CHADEMA wao na marafiki zao watatoa helkopa tatu pamoja na gari moja katika kila...
Wakili wa Mahakama kuu ya Tanzania Mhe Jebra Kambole amewaonya wanachadema wanaotaka Freeman Mbowe aendelee na Uenyekiti kwa miaka mingine 25 ijayo waache hayo mawazo.
Wakili Jebra Kambole...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.