Wakuu,
Mambo yanakuwa matamu huko, Hilda ameweka bandiko kupitia account ya X kuwa mpaka CHADEMA yanatokea mambo ya hovyo ambayo kila wakati wanayapinga wakifanya CCM. Katika orodha hii...
Baada ya Dr. Faustine Engelbert Ndugulile kuchaguliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Dunia (WHO) hapo jana jimbo la Kigamboni ambalo alikuwa anahudumu yeye kama mbunge lipo wazi kwani kwa...
==
Chonde chonde waheshimiwa wajumbe wa Mkutano Mkuu CHADEMA Taifa kwa unyenyekevu mkubwa tunawaomba sana kamwe msiruhusu Freeman Mbowe ashinde kwani madhara yake ni makubwa sana kwa chama na...
Kwa heshima na taadhima naomba ushauri kwenu wadau.Mimi ni mwananchi katika nchi moja ya SADEC.Kwa hali ilivyo hivi sasa nchini kwangu,mwananchi yoyote anayeweza kusema siasa za taifa lake...
Ndugu wanajamii,
Katika mazingira ya sasa, uzalendo na maadili ya taifa yamekuwa masuala muhimu sana yanayohitaji kufanyiwa kazi kwa bidii, hasa miongoni mwa vijana. Kama taifa, tunahitaji kizazi...
HONGERA NCHIMBI RAIS AJAYE 2030.
Bashir Yakub, WAKILI
Asubuhi ya leo baada ya tafakuri ya usiku mzima wajumbe ndio sasa wanajua kuwa ule mkutano wala haukulenga kumpata makamu mwenyekiti...
===
Wana jamii forum hii ndio habari kuu mpya toka mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Taifa kuwa Mhe Dkt Emmanuel Nchimbi ndio Mgombea mwezi wa CCM katika Uchaguzi Mkuu Ujao Oct 2025...
Wakati wowote kuanzia sasa Mhe Freeman Mbowe kutoa tamko rasmi la ama atagombea Uenyekiti wa CHADEMA ngazi ya Taifa ama laa.
Mtakumbuka Mhe Freeman Mbowe ameitumikia nafasi hii kwa zaidi ya...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika ikiwa upo mbali na Tv yako basi nenda hata migawahani au vibanda umiza au hata kwa jirani mwenye Tv ushuhudie kinachoendelea Dodoma. kwa sababu ikiwa upo mbali...
Na. M. M. Mwanakijiji
Hakuna jinsi. Kinachotokea CHADEMA ni matokeo tu..
Nashauri wafanye uamuzi kuwa atakaye peperusha bendera ya mgombea wa Urais HATOKUWA Mwenyekiti wa chama na kuwa...
Ukisikia mambo yamezidi kunoga ndiyo hii sasa.
Tunasubiri final nani kuwa bingwa wa mchezo huu mkubwa na wa kihistoria hapa Tanzania.
=========================
Mwenyekiti alifanya kikao na Watu...
Angalizo:-
Huu sio uzi wa kidini, ila nitatumia Biblia na vifungu vyake kukuelekeza ni kwa jinsi gani unaweza kupeta kibali, upended, uteuzi, vyeo nk kutoka kwa rais.
KIBALI:-
Kibali ni upendeleo...
Hawa mabwana mvua ikinyesha kidogo tu afisa mkata umeme anakata mji mzima na hawafanyagi kazi usiku hivyo mvua ikinyesha wakikata sa 1 jioni hiyo ni mpaka kesho yake.
Napendekeza meneja wa mkoa...
Uchaguzi wa Taifa wa CHADEMA, umekuwa ni jambo la heri sana. Ndio uchaguzi uliowafanya watu wengi wayatambue madudu ya baadhi ya viongozi.
Ni uchaguzi uliowaamsha wanachama na viongozi wa ngazi...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoa wa Katavi Rhoda Kunchela ameeleza kusikitishwa na kauli iliyotolewa na Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CHADEMA kutoka jimbo la Hai, mkoani...
===
Baada ya ukimya wa muda mrefu hatimaye Mhe Rhoda Kunchela Mbunge pekee mstaafu wa kike wa CHADEMA aliyechaguliwa kuongoza chama ngazi ya mkoa ataongea na wanahabari kesho katika Hoteli...
Kiongozi mwandamizi wa Chadema Mh Mdude Nyagali ameshangaa vikosi Vya polisi kujazana Kwenye Mkutano wao Mlimani City
Mdude anasema 2019 shujaa Magufuli aliwaacha Wajichague Kwa Amani na Haki
Ni...
Kupitia ukurasa wa Youtube wa Jambo TV, kumevuja sauti ambazo zinaonesha baadhi ya viongozi wa CHADEMA wakiwa wanapigia simu wajumbe watakaoenda kupiga kwenye uchaguzi mkuu wa CHADEMA...
Mbowe analaumu Lissu kugombea Uenyekiti huku akilalamikia kumsaidia Lissu wakati tukijua yeye ni alimsaidia Lissu ili kufanikisha biashara zake za kisiasa.
Sasa kama walikubaliana abaki na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.