Na Samson Mwigamba
MKAKATI WA MABADILIKO 2013
UTANGULIZI:
Taasisi tunayozungumzia ilisajiliwa rasmi mwezi Januari 1993. Tangu wakati huo, imeongozwa na wakuu wapatao wawili, na aliyepo kwa sasa...
Hii ndio tabia ya masikini, hawapendi watu wenye kipato, badala wawapende ili waonyeshwe njia.
Mbowe alikaa katikati ya kundi hilo, akatoa fedha, magari na kila kitu awanyanyue.
Lahaula...
Halima Chadema moto unawaka 🔥
Kichwa Cha Habari ni ujumbe wa Kamanda Twaha Mwaipaya wa Bavicha Kwa Wajumbe wa mkutano mkuu wa uchaguzi huko Ukurasani X
TLS ni Chama Cha Wanasheria nchini...
Anaandika Mohonia Joseph
Mwenyekiti Mstaafu BAVICHA Mkoa wa Mara.
Wenyeviti wa CHADEMA wa Mikoa.
Makatibu wa CHADEMA wa Mikoa.
Wenyeviti wa CHADEMA wa Majimbo.
Makatibu wa CHADEMA wa Majimbo...
Anaandika Rev Dkt BENSON BAGONZA
"Tatizo kubwa la hivi vyama vyetu vya upinzani vikianzishwa hugeuzwa kuwa vyama vya watu badala ya kuwa vyama vya wanachama.
Viongozi hufikia hatua ya...
Anachokifanya Lema na wenzake sasa kwa hivi kwa Mbowe ni sawa na kile walichokifanya CHADEMA enzi za Lowassa kumgeuza kuwa mbuzi wa kafara na kumuhusisha na kila ufisadi mkubwa nchini?
Soma
Uzi...
Freeman Mbowe amekodi kampuni binafsi ya ulinzi kulinda uchaguzi wa CDM.
Amefanya hivi bila idhini ya Kamati Kuu.
Hakutaka uamuzi huo uhojiwe.
Maswali: kampuni imepatikanaje. Ni ya nani...
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Bara. Benson Kigaila akitoa ufafanuzi wa taarifa za baadhi ya wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama hicho unaotarajiwa kufanyika kesho...
Barua ya Wazi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Amiri Jeshi Mkuu, na Mwenyekiti wa CCM Taifa
Kwako, Mheshimiwa Rais Dr. Samia Suluhu Hassan,
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
Nimekutana na hii picha, imenifanya nitafakari sana. Ngoja tuone.
Huyu mbowe hawezi kushinda kirahisi labda system iingilie kati kwa nguvu zote.
Pia nikakumbuka na thread ya Pascal Mayala...
Joto la kisiasa linaloendelea kupanda kila uchwao miongoni mwa kambi hasimu za wagombea uenyekiti wa chadema taifa, huenda likaishia kuwasha moto wa ghasia na fujo kutokana na kujipiga kifua kwa...
Kuanzia jana nimekuwa mtu mwenye furaha sana baada ya Mama Dr Samia kumaliza biashara mapema sana kuhusu urais wa Tanzania kwenye huu mwaka wa uchaguzi. Mama kawamaliza kisiasa wapinzani wa nje na...
Yaani mambo mengine ni ya kikuda sana.
Wajumbe ambao ni wapiga kura wa kesho wanalalamika vyumba walivyofungiwa ni vidogo sana hivyo hewa haipiti na kupelekea kuwa na joko kaki sana. Na bahati...
Andiko langu litakua fupi sana, ni imani yangu hamjambo wana JF.
Husika na somo tajwa hapo juu chama cha Chauma ndani ya siku chache kinaweza kwenda kuwa chama kikuu cha upinzani .
Hii itaenda...
Wakuu
Mgombea wa nafasi ya uenyekiti wa Baraza la Wazee Chadema (Bazecha), John Mwambigija maarufu ‘Mzee wa upako’ akiomba kura kwa wajumbe huku miongoni mwa sera yake ni kuwapeleka wajumbe wa...
Ewe Mola Mwenye rehema, tunakuomba umuongoze Freeman Mbowe katika uchaguzi huu wa ndani wa CHADEMA.
Mpe hekima, busara, na nguvu za kushinda kwa haki.
Ikiwa ushindi wake ni kwa manufaa ya...
Kuna nini ndani ya kuhitaji kuishi ziada kwa Dk Mpango?
Seems ameona akiwa ndani ya mfumo maisha yake yapo hatarini-kwanini yawe?!
Na kwa nini Rais Samia alijihami na kusema hitaji la Dk Mpango...
Makada na viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wameendelea kutoa maoni juu ya hali ya sasa ndani ya chama hicho kuelekea uchaguzi wa uongozi hasa ule wa nafasi ya uenyekiti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.