Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Uchaguzi wote upo live, na hata waliokatwa kumbe sio wapiga kura wa kesho. Waliokatwa uchaguzi wao utakuwa kesho kutwa Sababu kubwa ni ipi?
1 Reactions
5 Replies
221 Views
Wasalaam, Kuna taarifa za uhakika kutoka kwa mjumbe mmoja wa kamati kuu kwamba CCM wameingilia kati uchaguzi kwa lengo la kuhakikisha Mbowe anashinda na wajumbe wengi wametumiwa miamala kwa simu...
5 Reactions
42 Replies
1K Views
Baraza kuu la CHADEMA, kwa kauli moja, limekubaliana na maamuzi ya Kamati Kuu ya kuwaengua kina Twaha na genge lao kutogombea ujumbe wa kamati kuu kwa kupiga kura za wazi. Demokrasia inazidi...
4 Reactions
7 Replies
568 Views
Wajumbe wa Mkutano Mkuu salini kwa Mungu wetu ili mtuletee Mwenyekiti anayefaa hata kama mmepewa pesa. Hiyo si hoja Muogopeni Mungu wa Mbiguni. Hofu ya Mungu iwaongoze kesho. Usiku mwema.
0 Reactions
1 Replies
66 Views
Kura zinapigwa na wajumbe;nikiangalia muundo wa CHADEMA na wajumbe wapiga kura sioni Lissu anakura
5 Reactions
37 Replies
1K Views
Nilipopata tetesi hizi za Rais wa Yanga kuwa mwaka 2025 atakwenda kugombea ubunge Jimbo la Kongwa nilibisha na sababu iliyonifanya nibishe ni sijawai kumuona Enjinia Hersi Said akijiusisha na...
10 Reactions
70 Replies
4K Views
Katika vikao vya Baraza Kuu vinavyoendelea leo hii, tayari mambo kadhaa yameanza kutolewa maamuzi. La kwanza ni hili la kuidhisha mtanange wa Wagombea wa Juu wa uongozi wa Chama hicho. Taarifa...
13 Reactions
55 Replies
2K Views
Kwanini Marekani haijampa mwaliko kabisa? Ni bora hata ingemwalika akatae kuliko hiki walicho mfanyia. Hawajui kuwa huku tumempa mi5 tena? Kwa taarifa yenu wamarekani nasisi hatumwaliki Trump...
8 Reactions
60 Replies
1K Views
Dr. Philip Mpango alikuwa waziri wa Fedha wakati wa utawala wa Rais John Magufuli, ambapo alionesha uwezo wa kipekee katika kusimamia masuala ya kifedha ya nchi. Katika nafasi yake, alifanya kazi...
4 Reactions
23 Replies
1K Views
Tukiwa katikati ya mtanange mkali wa kidemokrasia wa CHADEMA ambao umetoa usawa na fursa kwenye kugombea nafasi mbalimbali hivo kuibua vipaji vipya vya uongozi; CCM waliibuka na wao Dodoma kwenye...
13 Reactions
62 Replies
2K Views
Wakiwa katika Mkutano Mkuu Maalum wa CCM msanii maarufu Baba Levo akiwa na mfanyabiashara mkubwa Tanzania Fred Vunjabei Babalevo amemtaka mfanyabiashara huyo kuacha uoga kutaka kugombea kiti cha...
2 Reactions
7 Replies
412 Views
CCM HUYU MTU HAFAI KABLA HATA HAJAJADILIWA KWA FOMU YAKE YA KUTAKA KUWA MBUNGE... RUSHWA kwenye chaguzi ni mbaya sana! Hatuwezi kukalia kimya matendo machafu sana anayoyafanya huyu mtu anajiita...
2 Reactions
3 Replies
145 Views
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema msomi aliyetukuka kwenye maswala ya Fedha na Uhasibu ACCA Ahobokile Mwaitenda ( mheshimiwa) ametangaza Kujiuzulu nafasi ya Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema Mh...
5 Reactions
60 Replies
1K Views
Hela hizo karibu milioni 900 Lissu na genge lake wamezifunikia wapi?
2 Reactions
7 Replies
211 Views
Anaandika Mjumbe wa Mkutano Mkuu === "Mbowe na wote wanaogawa rushwa natangaza kuwafuta katika Ulimwengu wa Kiroho na natangaza hawatashinda wale wote wanaogawa rushwa. Natangaza Lissu & Heche...
2 Reactions
2 Replies
131 Views
Huu uchaguzi wa chadema umetuonesha jinsi gani hawa wanaojinasibisha watetezi wa wananchi wapo kwa ajili ya matumbo yao na si kwa ajili ya wananchi! Soka,mawazo,saa nane,mzee kibao, azory,mwangosi...
1 Reactions
2 Replies
125 Views
Naona wafuasi wengi wa TAL wamekuwa wakipost kuashiria kuwa huenda wakajiunga na CHAUMA kwa mzee wa Ubwabwa Hashim Rungwe. Ingawa TAL mwenyewe alishasema kuondoka CHADEMA labda wamtimue. Je...
1 Reactions
1 Replies
166 Views
Utaratibu wa kawaida wa chama kile ni mgombea wa urais ni kujaza fomu ya kuomba apate ridhaa ya kukiwakilisha chama kwa kuzunguka mikoani kutafuta wadhamini ili athibitishwe kuwa mgombea wa urais...
3 Reactions
13 Replies
767 Views
Wengi wanaweza kukataa au kukubali, lakini huyu kijana ameonesha uwezo tangu akiwa mkuu wa wilaya Kinondoni, mkuu wa mkoa Dar, mwenezi wa chama cha mapinduzi na sasa mkuu wa mkoa Arusha. Uwezo...
4 Reactions
17 Replies
926 Views
Kama kichwa cha habari kinavyosema hawa waheshimiwa wawili ambao ni viongozi wakuu serikalini ningependa kuona mmoja kati ya hao wawili aje kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwani wana...
1 Reactions
91 Replies
8K Views
Back
Top Bottom