Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Ndugu zangu Watanzania, Nimekaa nikatafakari juu ya Mama yetu huyu mpendwa nikaona kuwa pamoja na kuwa Rais Samia alisema kuwa yeye katika mawazo yake hajawahi kuwaza kugombea Urais wala kuwa...
4 Reactions
33 Replies
940 Views
Ni wazi kwamba Tundu Lisu ni mwenyekiti Mpya wa CHADEMA. Wakati huo Mbowe anakwenda kuwa mjumbe na mshauri wa chama. Mabaraza yote yamesimama na Lisu siyo kwa bahati mbaya, wamesukwa kufanya...
11 Reactions
20 Replies
1K Views
Wakuu kesho ndio kesho.. Je serikali itakubali chadema ionekane? Je Media zitakubali kutangaza ikibidi 'live" Kama walivyofanya kwa CCM? Binafsi naona matangazo yakikatwa katikati
0 Reactions
3 Replies
132 Views
Habari ndio hiyo Samia kumpendekeza Emanuel Nchimbi kuwa makamu wake haijaja kwa bahati mbaya. Mipango imeshapangwa na imepangika vyema.
0 Reactions
3 Replies
297 Views
2025 ndio uchaguzi rasmi wa kwanza kwa mama kugombea urais 2030 itakuwa ni awamu ya pili, Wajumbe wa CCM kwa kauli moja hawana tatizo lolote kwa Samia Suluhu Hassan kuwania tena nafasi katika...
6 Reactions
58 Replies
2K Views
Uchaguzi wa kumpata Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa kesho una maana kubwa sana kwa Taifa letu. Ni siku ambayo Historia ya siasa za upinzani Tanzania inakwenda kuandikwa. CHADEMA wanakwenda kuamua ama...
5 Reactions
17 Replies
415 Views
Kamati Kuu ya CHADEMA kupitia ofisi ya Katibu Mkuu imetangaza Majina ya watu wanaoaminika sana miongoni mwa wengi, ambao wameteuliwa kusimamia Uchaguzi wa Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti wa Chama...
4 Reactions
30 Replies
2K Views
ENGUA style ya Mbowe ni ya kikatili mno haina maelezo, wajumbe wanaenguliwa bila sababu maalum, Tulizoea kusikia watu kuenguliwa kwa makosa kwenye ya kuandika barua ila hii ni next level, unapigwa...
3 Reactions
36 Replies
678 Views
Wadau hamjamboni nyote? Umewashtua na kuwashangaza pakubwa mno wamebaki wasijue nini kimetokea na nini wafanye You took them by surprise very much unprepared! Tafakuri ya kina kwa wenye hekima...
0 Reactions
20 Replies
1K Views
Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.hii leo amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa...
0 Reactions
0 Replies
177 Views
1. Hongereni CCM kwa Mkutano Mkuu Maalum hapa Dodoma. 2. Yanayofuata yote ni kukamilisha mechi za kwenye ratiba tu a.k.a stand up comedy. **Sasa naelewa kwann Wasanii wote walialikwa Dodoma
2 Reactions
16 Replies
632 Views
Habari wadau! Kama kumbukumbu zangu ziko sawa, sheria ya uchaguzi ilifanyiwa mabadiliko enzi za Mwendazake lengo ni kudhibiti watu kuhamia vyama vingine uchaguzi unapokaribia. Kwa kumbukumbu...
1 Reactions
3 Replies
175 Views
1. V8 zinatembezwa mwanzo-mwisho (400-1000kms) ifikapo weekend kisha kurudi Dom J3 alfajiri. Hapo NI mbali na wanaosafiri na ndege, SGR kila weekend kwa gharama za mwajiri wao. 2. Hii si sawa...
18 Reactions
91 Replies
5K Views
Mimi nilikuwa mmoja wa watu niliyekuwa nikimuhamasisha Mzee Philip Mpango afanye kampeni kubwa ya kuifanya Dodoma ya kijani kwa kupanda mamia ya mamilioni ya miti. Hii ingemuacha na kumbukumbu...
1 Reactions
6 Replies
476 Views
Uko Dar? au mikoani? Unafanya nini? Mpaka Bozi Boziana yuko Dodoma! Ni mkutano mkuu wa chama kongwe kuliko vyote Afrika. Ni mkutano ambao unaenda kupanga sera za nchi kwa ajili ya vizazi vingi...
5 Reactions
90 Replies
3K Views
Wakuu, Mpina hapa alipigwa na kitu kizito, hakuamini alichokuwa anakisikia :BearLaugh: :BearLaugh:. Kama vile alitaka awe anaota, hajaelewa kabisa kuhusu mama ake Lucas Mwashambwa kupitishwa...
19 Reactions
86 Replies
4K Views
Kwenu wana CCM mnaojitambua, wenye mapenzi mema na chama na mustakbali mwema wa nchi hii. Hicho mlichofanyiwa Dodoma ni uhuni mtupu, hakipo ndani ya kanuni, taratibu wala culture ya chama...
16 Reactions
50 Replies
2K Views
Wakuu, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tanzania Bara na 'mgombea' wa nafasi ya Mwenyekiti wa chama hicho Taifa Tundu Lissu amewashukia wale wote wanaodai kuwa...
15 Reactions
127 Replies
5K Views
Watanzania wana maumivu mengi na hasira kubwa dhidi ya CCM, chama ambacho kimekuwa kama syndicate ya kuwaumiza watanzania walio wengi na kuzineemesha familia chache kupitia kodi za hao wengi...
5 Reactions
16 Replies
428 Views
Na Mwandishi Wetu WANANCHI wa Kijiji cha Bulembo, Tarafa ya Kamachumu, wilaya ya Muleba mkoani Kagera wamechangishwa fedha za nguzo ‘hewa’ katika mradi unaotekelezwa na Wakala wa umeme vijijini...
0 Reactions
0 Replies
167 Views
Back
Top Bottom