Baada ya wataka urais wengi kutokuwepo kwenye baraza hili jipya la uwaziri na Seleman Jafo kuwepo sasa njia ya Chamwino 2025 ni nyeupe.
Jaffo amepunguziwa upinzani kabisa hapo amebakia yeye na...
Habari za asbh
Kutokana na umahiri wa Kabudi katika wizara ya Sheria napenda kuamini ya kuwa huenda akaja kuwa kiongozi wa nchi hii.
Binafsi nampenda anavyotoa maelekezo na majibu bila Shaka...
Wanachama Wengi wa Chadema hawanaga vigezo Vya kuwa Viongozi ndio sababu uchaguzi wa Serikali za Mitaa wengi waliondolewa na October hata Mgombea uRais wao ataondolewa
Mzee Alipipi Kasyupa ni...
Nimesikitika sana na vitendo viovu na hujuma mnazosema mmefanyiwa.
" Wote mliokatwa majina,
Wote mlioenguliwa,
Wote mtakaodhihakiwa,
Wote mnaopenda demokrasia pana,
Kwa mikono miwili na kwa...
Kwa ujumla huu mfumo ni mzuri sana. Maana umeondoa ukiritimba wa maafisa utumishi kwa watumishi.
Tatitizo kubwa ni kuwa sasa hivi watumishi wa umma wanatakiwa kutumia mfumo wa Ess kwa kufanya...
Katika ukurasa wake wa X Lema ameandika hivi, "LEADERSHIP IS A BEHAVIOR NOT A TITLE."
Swali: Kwanini anahangaika Lissu na Heche ili wawe viongozi kwani hawana Title?
Pia, Soma: Godbless Lema...
Usibishe. Angalia watu wenye misimamo mikali, wenye akili nyingi na majasiri. Hawaishi sana. Hufa mapema. Waliowahi fanya mambo makubwa au harakati kubwa duniani wengi walikufa mapema.
Walikufa...
Kikao cha Baraza Kuu la CHADEMA 2025 kinafanyika muda katika makao makuu ya chama yaliyopo Mikocheni, ambapo viongozi wakuu, Freeman Mbowe na Tundu Lissu, wakutana uso kwa uso. Huu ni mkutano...
Habari njema itawaamsha waliolala kwa kukosa MATUMAINI waliokata tamaa kujaa Furaha walioshindwa kutembea KURUKARUKA wasio ona KUONA walio na KIU kuuona mto walio na machozi KUFUTWA
Kesho NYATI...
Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam leo Jumatatu Januari 20, 2025 ulilipuka kwa shangwe kutoka kwa wajumbe wa mkutano wa Baraza Kuu la Chadema unaoendelea baada ya Katibu Mkuu wa chama...
Historia yake
Stephen Wasira alizaliwa mwaka 1945 katika Wilaya ya Bunda, Mkoa wa Mara (ana miaka 70). Alisoma katika shule tatu tofauti, ya kwanza ni Shule ya Msingi Bariri 1956-1959, ya pili ni...
Kuna vyeo vya kisiasa ukishavifikia huwezi tena kusonga mbele,inakuwa ndio climax ya mafanikio yako.
Tanzania haijawahi kuto Rais ambaye amewahi kuwa PM au VP,imeonekana kama ndio kautaratibu...
I hope African leaders will address the unfriendly, inhumane treatment of employees in Chinese companies operating in Africa, which is not in accordance with the labor laws of African countries...
Wasiwasi ndio akili. Chadema leo wamekuja hadharani na kutamka kwamba Lissu hafai kuwa mwenyekiti wa chama chao. Chadema wanasema Lissu lazima awe chini ya mtu Yaani mwenyekiti.
Kwa mazingira...
Mpo salama!
Ni hakika Kesho Lisu anashinda.
Ubatizo wa Utakaso "Baptism of purification" ndio Jambo pekee ambalo Lisu itampasa aanze nalo.
Hakuna haja ya kugombana, kuvunja Chama. Mshindi...
Ukifuatilia siasa za upinzani za nchi hii utaona NCCR Mageuzi ilianza kama chama mahiri cha upinzani Tanzania kikapotea katika ramani kisha CUF ikafuatia kama chama kikuu cha upinzani nacho...
https://www.youtube.com/live/z2jNbADMJ_A?si=47oGOnBf4YbVgAA_
BAWACHA wanafanya Uchaguzi wao wa kuwachagua Viongozi wao wa Baraza kwa mwaka 2024-2029.
Usiondoke Jf kwa habari motomoto
Hii Nchi ilishapata Uhuru so mambo ya siasa ni ajira tu na kusaka Fursa
Mchungaji Msigwa kalipiwa faini ya Kutoka gerezani na kuahidiwa Ubunge lakini akakataa akidhani Chadema ndio wazazi wake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.