Wakuu
Viongozi mbalimbali wameendelea kutuma salamu za pongezi kwa Tundu Lissu baada ya kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa CHADEMA Taifa.
Kupitia ukurasa wake wa X, Luhaga Mpina amesifu namna...
Endapo Mbowe angeamua kumuunga mkono Lisu je wananchi wangeshuhudia demokrasia iliyoonyeshwa?
Kuhusu imani kwa umma, je mjadala unaoendelea sasa ungekuwepo? Je, angepata heshima aliyonayo sasa...
BAVICHA wamelipuka kwa shangwe kubwa baada ya Tundu Lissu ambaye ni Mgombea wa Uenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wakati akiingia kwenye ukumbi wa uchaguzi wa Mwenyekiti wa...
Wakuu,
Aliyekuwa anagombea Makamu Mwenyekiti upande wa Zanzibar Said Said ajiondoa kwenye kinyanga'nyiro hicho
Pia soma Pre GE2025 - Nafasi ya Makamu Mwenyekiti Zanzibar kurudiwa baada ya...
Siku za hivi Karibuni nimekuwa nikiwasiliana na Wasaidizi wa MH Rais hasa mawaziri,DC na Watendaji mbali mbali.
Lengo la kuwasliana nao ni kero mbali mbalimbali ambazo tunapitia kwenye Jamii zetu...
Siku zote CHADEMA na vyama vingine vya upinzani, vimekuwa vikilalamikia mambo ya hovyo ya kukata majina ya wagombea wa upinzani wanaoonekana kuwa tishio dhidi ya wagombea wa CCM kwenye chaguzi...
Dk. Lwaitama, moja kati ya nguli wa zamani pale UDSM ameshangazwa na msimamo wa Lissu kwamba hataki kuzungumza au kuridhiana na yeyote. Katika moja ya makala zake, mzee wa maswali magumu Ansbert...
Mhe Lissu kama alivyoahidi kuhutubia Taifa Leo siku ya tarehe 01.01.2025 majira haya ya mchana,
Mhe Lissu ni mkweli na tayari amenafanya hivyo msikilize.
Usiondoke Jf kwa habari na madili...
Nimeshangazwa na namna Tundu Lisu anavyopewa umaarufu wa bure bila sababu za msingi. Wakati Lisu akitumia vyombo vikubwa vya habari duniani kuinanga serikali na bunge lake, bunge linatumia TBC...
Freeman Mbowe angesikiliza watu wanaomuambia astaafu amuachie Lissu, Chadema kingekuwa ni chama ambacho kinatoa uongozi kwa kurithishana badala ya demokrasia, hii ingekifanya kuonekana bado ni...
Friends ladies and gentlemen,
Inasekekana kuna mgombea wa nafasi ya mwenyekiti Chadema taifa, aliandaa mapema sana, hotuba mbili muhimu na za maana sana. Moja ya kushinda uchaguzi, na nyingine ni...
Kupanga ni kuchagua ila hapa Tanzania Sina hakika kama.tunajua kuchagua mipango ya kipo kianze au kipi kifuate.
China imeripoti kwamba mwaka 2024 imewatoa Wachina zaidi ya Milioni 33 kutoka...
Mwenyenzi Mungu azidi kukupa maisha marefu na uvumilivu katika siasa na maisha binafsi. Ni vigumu kwako kutambua ukubwa wa kazi uliyofanya lakini naomba kukujulisha kwamba umefanya kazi kwa moyo...
Ni kama alivyofanya Trump
Freeman Mbowe anaweza Kugombea tena Uenyekiti wa Chadema kama ataona Chama kinayumba kwa huu uongozi wa Sasa. Katiba inamruhusu
Mkutano mkuu wa Chadema umeazimia...
Niwapongeze CHADEMA kwa kufanya Credible,Free and Fair Election ambayo ni Funzo kubwa sana kwa nchi yetu na nimpongeze Lissu kwa kushinda na Mbowe kwa kukubali kushindwa.
Lakini kipekee...
Heri ya Krismasi na Mwaka Mpya ndugu wanaJF. Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha wala kuwapotezea muda. Baada ya CCM kumpigia Mbowe kelele kwa muda mrefu kwa sababu za kuchakachua...
Wanabodi,
bandiko hili ni bandiko la swali kuhusu uwezo, ability,na uwezekano wa kuwezekanika,yaani capability ya umuhimu mkubwa zaidi wa Tundu Lissu ndani Chadema,ni uwezo wa uongozi kama...
Wanabodi,
Hili ni bandiko la pongezi kwa ITV kuwa ndio the first mainstream TV Station kumhoji Tundu Lissu. Huu ni mwanzo mzuri, TV nyingine zifuate.
Pia nampongeza Mhe. Tundu Lissu kuzungumza...
==
https://www.youtube.com/live/N5uOf6VW-OA?si=oguOArFN95aS-bTR
Hatimaye Mwamba mwingine wa siasa toka CHADEMA Mhe John Wegesa Heche anaunguruma muda huu kupitia wanahabari wa nje na ndani...
Kwa kuwa sasa CCM imeazimia kwa kauli moja kupitia mkutano wake Mkuu maalamu kuwa mgombea wake awe ni Dkt.Samia licha ya kwamba ilikuwa inajulikana muda mrefu atakuwa yeye lakini kwa azimio la Leo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.